Putin asaini waraka wa kuamuru Majeshi ya Urusi kuingia Ukraine kulinda amani majimboni

Putin asaini waraka wa kuamuru Majeshi ya Urusi kuingia Ukraine kulinda amani majimboni

12 April 2022
Borodyanka, Kyiv Region
Ukraine

MAMLAKA ZA UOKOZI NA RAIA ZAFANYA OPERESHENI KUONDOA MABAKI NA KUWEKA MAGOFU SALAMA


Wilaya ya Borodyanka katika mkoa wa Kyiv nchini Ukraine, mamlaka zake pamoja na raia wakiondoa mabaki ya uharibifu ktk wilaya hiyo baada ya majeshi ya Russia kuivamia na kuikaliwa maeneo ya Ukraine kwa wiki 4 baada ya mashambulio makali na kupigwa makombora na majeshi ya uvamizi ya Russia. Wilaya hiyo iliyopo kaskazini magharibi ya Ukraine, majeshi ya Russia yalikutana na upinzani mkali na kuamua kujiondoa kurudi nchi jirani ya Belarus nchi-shirika ya Russia ktk uvamizi wa Ukraine

Borodyanka dismantles the blockages and recovers from the Russian occupation


Borodyanka, Kyiv region, was fired at with rockets during the Russian occupation
 
13 April 2022

Borodyanka, Kyiv Oblast
Ukraine

Marais zaidi wa Ulaya wafika nchini Ukraine kuwatia moyo serikali na wananchi

Waonana na rais Volodymyr Zelenskyy: wa Ukraine Ikulu




Wakiongozana na waziri mkuu wa Ukraine Mh. Denis Shmygal, waheshimiwa marais wa nchi nne zaidi za ulaya walizuru eneo la
Borodyanka, Kyiv Oblast Ukraine
kushuhudia madhara ya uvamizi ya majeshi ya Russian. Viongozi hao ni Rais wa Poland Mh Andrzej Duda, rais wa Estonian Mh. Alar Karis, rais wa Lithuanian Mh. Gitanas Nauseda na rais wa Latvian Mh. Egils Levit


Polish President Andrzej Duda and Estonian Presidents Alar Karis, Lithuanian President Gitanas Nauseda and Latvian President Egils Levits visited Borodyanka in Kyiv Oblast, which has been hit hard by the Russian invasion.

Prime Minister Denis Shmygal visited Borodyanka with the presidents of the four states.


 
18 April 2022

Swahiba wa rais Putin, Bw. Viktor Medvedchuk aomba atumiwe kama rehani ya kuwanusuru wapiganaji wa ki Ukraine wajiojichimbia mjini Mariupol




Viktor Medvedchuk mbali ya uswahiba wa kisiasa pia ni baba wa ubatizo wa mmoja wa watoto wa Vladimir Putin kutokana na urafiki wao wa karibu.



Medvedchuk asked the Presidents of Ukraine and Russia to exchange him for defenders and civilians of Mariupol.

Putin friend and Ukrainian opposition leader Victor Medvedchuk captured after escaping from house arrest

The Security Service of Ukraine (SBU) has arrested Viktor Medvedchuk, Ukrainian opposition leader and personal friend of Russian President Vladimir Putin. He was disguised as a Ukrainian soldier and was attempting to flee the country
 
21 April 2022
Kiev / Kyiv
Ukraine 🇺🇦

VIONGOZI ZAIDI WA ULAYA WAINGIA MJINI KIEV KUONANA NA RAIS ZELENSKY WA UKRAINE

Waziri mkuu wa Spain Mh. Pedro Sanchez na waziri mkuu wa Denmark Mh. Mette Frederiksen waingia mjini Kiev kukutana na rais Volodymyr Zelensky wa Ukraine



Meeting of president Volodymyr Zelensky of Ukraine with Pedro Sanchez prime minister of Spain and Mette Frederiksen prime minister of Denmark in Kiev Ukraine
 
14 April 2022

"Unboxing" of Russian "Orlan"



Genious solution from the innovative center of Skolkovo: a Russian drone without a single Russian part.

Source : Operator Starsky UA
 
Jamani timu NATO, mimi nawapenda sana naomba aka kawimbo kawape faraja Aleyn YEHODAYA



Sisi wana Z hatunaga maneno mengi wala mikwara, nikufanya tulichoahidi kufanya. Mikwara waachie mbwa
 
28 April 2022
Kyiv / Kiev
Ukraine 🇺🇦

Bw. Antonio Guterres awasili mjini Kiev, afanya mazungumzo na rais Volodymyr Zelensky

Katibu Mkuu wa UN / Umoja wa Nation Bw. Antonio Guterres ashuhudia uharibifu mjini Kiev na alaani uharibifu huo uliosababisha na majeshi ya Russian ktk uvamizi wake wa Ukraine

United Nations' Guterres condemned the destruction caused by Russian forces | DW News

The United Nations Secretary General Antonio Guterres has condemned war in Ukraine as evil. On his first visit since the invasion, the UN chief inspected the damage inflicted by Russian attacks. Guterres was in Russia earlier, where he secured an agreement in principle for the evacuation of civilians trapped in Mariupol. Several countries and organizations, including the UN, have vowed to bring to justice any perpetrators of war crimes committed during Russia's invasion. Key players pushing for accountability for atrocities met informally at the UN on Wednesday. There, Ukraine's prosecutor general said via video link that she had already opened more than 8,000 investigations into alleged violations
Source: DW News
 
11 May 2022
Kyiv, Ukraine

Makumbusho ya Jeshi la Taifa la Ukraine yaonesha vifaa vya jeshi la Russia vilivyoharibiwa katika vita ya kulinda mji mkuu wa Kyiv



Vifaa hivyo vya jeshi la Russia ni pamoja na mabaki ya magari ya deraya aina za Tiger BTR-82A, BMD-2 , vifaru vilivyoteketezwa, mabaki ya ndege vita za kisasa ikiwemo SU-25 zilizodunguliwa, mabaki ya helicopter, makombora ya kubebebwa mabegani, resheni za vyakula vya jeshi la Russia, shajara / diary / ramani-operesheni-vita za makamamda wa Russia n.k

Vifaa hivyo vitatumika katika makumbusho ya kijeshi ya taifa la Ukraine kuadhimisha ushindi wa jeshi shupavu la Ukraine dhidi ya jaribio uvamizi wa majeshi ya Russia kutaka kuuteka mji mkuu wa Ukraine wa Kyiv, lakini adui mvamizi alikumbana na wapiganaji hodari wa Ukraine na majeshi hayo ya Russia kutimka mbio kutoka maeneo ya kaskazini magharibi uliopo pia mji huo mkuu na wavamizi kurudisha majeshi yao nyumbani kwao Russia.

Russian "Su-25", "Tiger-M", "BTR-82A", "Stugna", with which the Armed Forces lined up a tank and personal belongings of Russians

The National Military History Museum of Ukraine received exhibits from the Armed Forces of Ukraine, which were obtained during the battles for Kyiv and Kyiv region.

Destroyed enemy vehicles "Tiger" and BTR-82A, BMD-2 were placed under the museum building. In addition, samples of the Russian occupiers, a diary of the Buryats with personal data and other trophies were handed over to the museum. Also, our military gave away "Stugna" from which the enemy tank near Obolon was destroyed.

Video: Eldar Sarakhman / Ukrainian Truth
 
Vita ya Ukraine: Nini Sababu ya jeshi la Russia Kupata Kipigo Kikali



Source : The Economist
 
9 May 2022

Sasa, pote, majeshi yetu duniani

NCHI YA UFARANSA MWANACHAMA WA NATO AONESHA UWEZO WA KUFIKA POPOTE KUTEKELEZA OPERESHENI ZA KIJESHI



Ufaransa imelaani uvamizi wa Russia huko nchini Ukraine. Na sasa inaonesha utayari wa majeshi yake kufika haraka katika mstari wa mbele wa vita, Iwe maeneo ya ulaya yote, sahel africa, Afghanistan au kusini mwa Afrika jeshi la Ufaransa laonesha uwezo wake wa kilojistiki jinsi inavyoweza kufika eneo lolote dunia kutekeleza majukumu yake ya kijeshi.

Huku vita ikiendelea Ukraine jeshi la Ufaransa laonesha utayari wa kufika eneo hilo iwe kupitia Norway, Estonia, Bulgaria, Romania Poland au bahari ya Mediterranean ili kutekeleza operesheni za NATO dhidi ya tishio lolote kwa nchi wanachama wa NATO .

Le transport aérien militaire : des renforts entre terre et ciel

Projecting with force, quickly and far are the key words of the French military transport fleet. Relying both on long-distance means and on aircraft capable of landing on rough terrain, it contributes to giving France the means to fulfill its ambitions and its responsibilities in terms of defense and security. Immediate take-off for a new issue of the Journal de la Défense

Source : Ministère des Armèes
 
15 May 2022
Mstari wa Mbele
Ukraine

Zana nzito za majeshi ya Ukraine vikielekea mashariki kwenda kupambana mvamizi Russia




Vifaru na miziga mikubwa ya Jeshi la Ukraine ikielekea mashariki ya Ukraine kuongeza nguvu wapiganaji wake walio mstari wa mbele ktk vita kukabiliana na mvamizi Russia katika miji ya Ukraine ya Lyssytchansk na Severodonetsk.


Tanks and heavy artillery from Ukrainian forces are advancing to reinforce the country's eastern front following reports of a Russian offensive towards the cities of Lyssytchansk and Severodonetsk.

La artillería ucraniana se moviliza tras los informes de la ofensiva rusa en el frente oriental
Source : La Vanguardia
 
14 May 2022
Kyiv / Kiev
Ukraine

rais Volodymyr Zelensky apokea ujumbe toka Marekani



Mitch McConnell Seneta wa baraza la congress la Marekani amtembelea rais Volodymyr Zelensky na kumuelezea mikakati ya Baraza la Congress la Marekani msaada wa US$ 40 billion kwa Ukraine


The Senate minority leader’s secret visit to Kyiv this weekend to meet with Ukrainian President Volodymyr Zelenskyy, along with McConnell’s staunch advocacy for the $40 billion Ukraine aid bill in Congress
 
29 May 2022
Kharkiv

Rais Volodymyr Zelensky wa Ukraine atembelea mji wa Kharkiv



Rais wa Ukraine atembelea maeneo ya mstari wa mbele ambapo alipata nafasi ya kuingia katika mji wa Kharkiv uliokombolewa toka kwa majeshi vamizi ya Russia.

Mji wa Kharkiv ni mji wa kimkakati kwani ulikuwa una viwanda kama trekta maarufu la kharkiv hivyo wahandisi na mafundi mchundo wa mji huo wa Kharhiv walitoa mchango wao wa kutengeneza vipuri na kurepair zana nyingi zinazotumika katika kuliwezesha jeshi la Ukraine kupigana bila kupungukiwa na vifaa vunavyohitaji ukaravati / ukarabati au kuongezwa ubora na kuibuka na ushindi katika maeneo mbalimbali ya Ukraine yalio mstari wa mbele katika vita inayoendelea.
Toka maktaba 24 Feb 2018 Over the last year, a factory in Kharkiv sent roughly fifty restored tanks to the frontline. The factory specializes in repairing tanks that have sustained serious damage on the frontline.

Kharkiv pia ina mchango mkubwa katika kuifanya Ukraine kuwa mzalishaji mkubwa wa nafaka kama ngano na pia alizeti duniani kutokana na uzalishaji wa matrekta yenye uwezo wa kufanya kazi kwa ufanisi.
https://www.grid.news › 2022/05/06
Ukrainian tractors vs. Russian tanks: The hundred-year history behind ...

6 May 2022 — In its near-century of existence, the Kharkiv factory “produced more than 3 million units of heavy equipment,” according to Sergii Rodionov ...

President Volodymyr Zelensky arrived in Kharkiv Region on May 29. He visited the front line and looked at the destroyed houses in Kharkiv.
 
29 May 2022
Kharkiv, Ukraine

Rais Zelensky afika mstari wa mbele wa vita

Rais Volodymyr Zelensky akiwa na makamanda na wapiganaji akizuru maeneo ya mstari wa mbele wa kivita Kharkiv

1653836270460.png




1653836847318.png


Rais Volodymyr Zelensky akiwa na viongozi wa mkoa wa Kharhiv akipata maelezo ya utambuzi (intelligence) na operesheni inayoendelea kukabiliana na mvamizi Russia



Rais Volodymyr Zelensky baada ya kikao kazi na maafisa waandamizi cha mikakati ya vita inayoendelea awazawadia askari wapiganaji kadhaa kwa niaba wa askari wengine nishani ya utumishi uliotukuka kwa kuipambania nchi yao ya Ukraine
 
25 May 2022
Rome , Italy

Impact of Russia/Ukraine conflict and implications for Africa’s food security



FAO Chief Economist, Maximo Torero, speaks about the impact of the Russia/Ukraine conflict and its implications for food security in Africa. He also shares some policy recommendations for governments to consider so as to reduce the impact of the conflict and build the resilience of countries to future shocks.
Source : UN Office of the Special Adviser on Africa

More :
26 May 2022

The collateral of Russia vs Ukraine​


Russia-Ukraine war has razed global agriculture system, once sold as the magic formula. It led to concentration of food production in a few countries, making others net importers, and has now fuelled a historic price rise.

The food market is intricately interconnected. “One of every five calories people eat has crossed at least one international border,” wrote Maximo Torero Cullen, chief economist of the United Nation’s Food and Agriculture Organization (FAO), in a blog on the FAO website.

The food market is also extremely fragile, with just six food baskets supplying the major chunk of the world’s staple food. It is also highly unequal in terms of production and supply — the poor countries are net importers and the high income countries net exporters, irrespective of their food production potential.

Worse, the advanced economies spend just 17 per cent of their earning on food while Sub-Saharan Africa forks out 40 per cent on the same, according to FAO data. As a result, even a slight disturbance in the system leads to a major food crisis in the poor countries, as is happening now.

The Black Sea region, which includes Russia, Ukraine and Kazakhstan, is one of the world’s six food baskets. Russia is the world’s largest wheat exporter while Ukraine is sixth on the list.

Together, the two warring countries produce 12 per cent of all food calories traded globally; control 29 per cent of global wheat exports, 19 per cent of maize exports, and 78 per cent of sunflower oil exports.

Russia is also the world’s top exporter of nitrogen fertilisers, the second-leading supplier of potassium fertilisers and the third-largest exporter of phosphorus fertilisers.

Some 50 countries depend on Russia-Ukraine for their food supply, particularly for wheat, maize and sunflower oils. The majority of these are poor and import-dependent countries in Asia and Africa.

Of the 53 countries or territories that faced food crisis last year, 36 depended on Ukrainian and Russian exports for more than 10 per cent of their total wheat imports, as per an analysis by Washington DC-based International Food Policy Research Institute (IFPRI).

In terms of food supply, in 2019 wheat and wheat products represented 408 kilocalories per capita per day in the countries facing food crisis.

In east Africa, where wheat and wheat products account for a third of the average cereal consumption, 90 per cent of the wheat imports come from Russia and Ukraine, the UN World Food Programme (WFP) noted.

Inputs for farming have been curtailed. Both in Russia and Ukraine, fuels have been diverted for military use. As per Ukraine’s Ministry of Agrarian Policy and Food, the country could plant 14 million hectares of spring wheat by the first week of May, which is 3 million hectares less than normal or a year before.

In February, both the countries had 16 million tonnes of maize and 13.5 million tonnes of wheat packed for export by the end of the month. That stock never moved out. Before the war, nearly all of Ukraine’s agricultural exports — about 5 million tonnes a month — were through the Black Sea, but Russia has blocked all the harbours.

On the other hand, international sanctions against Russia have made shipping impossible. For west Asia and Africa, importing from Ukraine and Russia is the best option because wheat is cheaper from these two countries and shipping through the Black Sea costs less.

Even for the countries importing now, the special war time insurance rates have dramatically increased and added to the costs.

Nicolas Denis, partner with McKinsey’s Chemicals and Agriculture Practices, in a podcast in April, estimated that “between 19 million and 34 million tonnes of export production could disappear this year”.

He foresees that even in 2023 there would be 10 million tonnes to 43 million tonnes of global wheat shortage due to the restricted supply from Russia-Ukraine. “To translate, that represents caloric intake for 60 million to 150 million people”, he said.

With this supply stream abruptly stopped, food and energy prices have leaped to historic levels. Wheat prices are forecast to increase by 40 per cent, reaching an all-time high this year.

In the immediate future, the overall global availability of foodgrains will be further reduced. The rise in prices of energy and fertilisers is likely to reduce yield, as per IFPRI’S report.

The fertiliser shortfall comes at the start of planting seasons in many countries, including India. The report said “food-crisis countries”, such as Honduras, Cameroon, Guatemala, Sierra Leone, Nigeria, Mozambique and Kenya, depend on Russian and Ukraine for 10-50 per cent of their fertiliser imports.

As countries substitute the commodities that are in short supply with others, the prices of the substitutes will go up.

Rice is being used to fill the gap in cereal imports, and its price has increased by 12 per cent globally since the beginning of the year.


As countries start sourcing food, fuel and fertilisers from countries other than Russia and Ukraine, it will add to the overall costs, ultimately adding to the cost of the produce.

This is also where the true character of a “globalised world” can come to fore: Countries have already resorted to hoarding staple foods that till recently they exported for profits.

Russia, for instance, has banned sales of fertiliser, sugar and grains. Indonesia, which produces more than half the world’s palm oil, has halted outgoing shipments.

READ MORE : Food for all to free for all: The collateral of Russia vs Ukraine
 
30 May 2022
Talks about the decisive battle for Donbas began almost immediately after
liberation of Sumy, Chernihiv, Kyiv and its environs from Russian invaders.

To show the real picture of what is happening in hotspots



However, about the beginning of a really hot phase of fighting for Donbas experts
talked in the last few weeks. Currently, fierce fighting is raging around the perimeter of Luhansk and Donetsk regions. The hottest now is near Avdiivka, Bakhmut, Severodonetsk and Lysychansk.

93rd Independent Kholodnyi Yar Mechanized Brigade has been considered legendary since 2014. The brigade fighters participated in all the major battles of the war in the Donbas, including Ilovaisk and the battle for the Donetsk airport. From the first hours of the full-scale invasion of Russia, the 93rd brigade attacked the enemies in the Sumy region, fought for Okhtyrka, and liberated Trostianets. Now the Kholodnyi Yar fighters are fighting in the most difficult area of the war, near Izium. Russian planes, helicopters, the command post of the Russians, and enemy artillery were shot down by them. hromadske visited both the artillerymen and the infantrymen of the brigade, saw with their own eyes the results of the work, and told how they live, fight, what they worry about, and why they think they have the best job on earth.
 
01 June 2022

The Battle for Donbass, Ukraine




Colonel Markus Reisner of the Austrian Armed Forces describes how the fighting in eastern Ukraine developed.
 
US- TULSA ACTIVE SHOOTING: MULTIPLE DOWN, INCLUDING SHOOTER. POLICE CALL SCENE ‘CATASTROPHIC’
 
16 June 2022
Kiev / Kyiv

Wakuu wa serikali za nchi za Ufaransa, Germany, Italy na Romania wafika kuonana na rais Volodymyr Zelenskyi wa Ukraine


Viongozi wa Ulaya wazuru mji mkuu wa Ukraine kwa mazungumzo na Rais Volodymyr Zelenskyi, kwa ajenda za nyeti zinazogusa usalama wa chakula, kuipatia Ukraine zana za ulinzi na pia kupanga mkakati ya kuipa Ukraine uanachama wa EU / Umoja wa Ulaya kwa uharaka kutokana na dharura.

President of Ukraine Volodymyr Zelenskyi met with French leader Emmanuel Macron, German Chancellor Olaf Scholz, Italian Prime Minister Mario Draghi and Romanian President Klaus Johannes in Kyiv.

Details: According to Yermak, the parties plan to discuss food security, weapons and support for Ukraine.

In addition, Zelensky expects support for Ukraine's application for EU candidate status.
 
17 June 2022
Kiev / Kyiv
Ukraine 🇺🇦

Zelensky, Johnson watembea ktk mitaa ya Kyiv,​


Na kuangalia picha za mashujaa ki Ukraine wa vita zilizobandikwa katika kuta za vyumba ya watawa ya St. Michael's Golden-Domed Monastery yenye historia ya Ukraine dhidi ya uvamizi wa Russia karne za nyuma.

Pia Boris Johnson, mgeni rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky alimuonesha waziri mkuu wa Uingereza makumbusho ya wazi inayoonesha vifaa vingi vya aina mbalimbali vya majeshi ya Russia vilivyoteketezwa na majeshi shupavu ya Ukraine katika vita inayoendelea sasa 2022.

Zelensky, Johnson walk around Kyiv, attend exhibition of destroyed Russian military equipment

Zelensky, Johnson walk around Kyiv, attend exhibition of destroyed Russian military equipment​

PHOTOS, VIDEO
17.06.2022 21:33

Ukrainian President Volodymyr Zelensky and UK Prime Minister Boris Johnson took a walk through the center of Kyiv.

"Visited St. Michael's Golden-Domed Monastery with Boris Johnson. Walked through St. Michael's Square. Visited an exhibition of destroyed military equipment of Russian invaders. My friend, thank you for this day! Let's continue to fight for freedom for Ukraine," he wrote.

Loading video

According to the presidential press service, Zelensky and Johnson honored the memory of the fallen Ukrainian heroes by laying flowers at the Wall of Remembrance near St. Michael's Golden-Domed Monastery.
1655488851-5833.jpeg

The two countries' leaders also put candles near the iconostasis. Johnson inquired about the history of the monastery and its interior decoration. The clergy, in turn, presented a Pochaiv Icon of the Mother of God to the British prime minister.
Zelensky and Johnson also spoke with the Ukrainian military who took part in the battles for the Ukrainian capital.
"I want to thank you for your service, for protecting us, our state.
1655488851-8725.jpeg

Johnson, in turn, wished the Ukrainian military success. He also congratulated them on destroying Russian military equipment.

The leaders also greeted the residents of Kyiv near St. Michael's Square.
On June 17, Johnson arrived in Kyiv for the second time since the start of Russia's all-out invasion of Ukraine.
Photo credit: President's Office
 
Back
Top Bottom