Putin asaini waraka wa kuamuru Majeshi ya Urusi kuingia Ukraine kulinda amani majimboni

Putin asaini waraka wa kuamuru Majeshi ya Urusi kuingia Ukraine kulinda amani majimboni

5 October 2022

Vikosi vya Ukraine vyajiweka ktk utayari kama ikiwa Russia watatumia nchi ya Belarus kuivamia



Hii ni kufuatia habari za kiintelejensia kuwa nchini Belarus inatayarisha miundo mbinu na kujenga ya ziada kama mitandao ya reli, viwanja vipya vya jeshi n.k ili kuweza kutumika na majeshi ya Russia kupokea wanajeshi kufika mstari wa mbele ktk mpaka wa Belarus na Ukraine.

Majeshi ya Ukraine kwa muda wa zaidi ya nusu mwaka wamewekeza ktk vikosi 7 vya kimbinu (tactical) kuwa tayari ktk mpaka wake wa kaskazini unaopakana na Belarus ikiwa tishio hilo litageuka kuwa kweli Russia kutumia ardhi ya nchi ya Belarus kuivamia Ukraine .

The Ukrainian Army, National Guard, and State Border Guard Service have been conducting joint exercises near the border with Belarus. The Ukrainian military demonstrated for journalists how their forces would handle an invasion by their northern neighbor.


14 November 2022
Volinsky, Ukraine

Ukuta wa utayari ikitokea uvamizi toka Belarus, hali ilivyo baina ya mpaka wa mkoa wa Volinsky Ukraine

 

Viongozi wa Ukraine na Uingereza waweka maua katika mnara wa kumbukumbu ya mashujaa iliyopo Mikhailivska Square mjini Kyiv​

Volodymyr Zelenskyy, Rishi Sunak honor memory of Ukrainian defenders​

19 November 2022 - 17:39



President of Ukraine Volodymyr Zelenskyy and Prime Minister of the UK Rishi Sunak, who is visiting our country, honored the memory of Ukrainian defenders and visited the exhibition of destroyed Russian equipment.

The leaders laid flowers at the Wall of Remembrance of those who died for Ukraine near St. Michael's Cathedral and honored the memory of Ukrainian soldiers with a moment of silence.


The Prime Minister of the UK also brought a lamp to the memorial sign to the victims of the Holodomor of 1932-1933, located in Mykhailivska Square.

After that, Zelenskyy and Sunak visited the exhibition of the destroyed military equipment of the Russian occupiers, presented in Mikhailivska Square.
 
ZELENSKY NA SUNAK TAMKO LA PAMOJA, RUSSIA LAZIMA IPATE MACHUNGU



An extremely important visit to Ukraine took place today – the visit of the new British Prime Minister, Rishi Sunak. A very meaningful visit. We managed to discuss all the key issues of our relations. There will be new results for both our countries – that's for sure.

Thank you, Rishi, Mr. Prime Minister, for your willingness to defend freedom even more strongly with us. We also have some very necessary decisions – we agreed on them today.

As always, today I received reports on restoration work in the energy sector.

We are working throughout the country to stabilize the situation.

The most problems with electricity are in the city of Kyiv and Kyiv region, the city of Odesa and Odesa region, the city of Kharkiv and Kharkiv region. Vinnytsia, Ternopil, Cherkasy, Chernihiv and other regions – energy workers are doing everything possible to give people a normal life.

Kherson – we are restoring transport connections. There is the first train from Kyiv. We create new opportunities for people every day.

We are preparing important international events – they will be soon. We will provide everything that is needed for our protection.

We involve everyone who can be involved in supporting our state.

Source : https://www.president.gov.ua/en/new...potribno-dlya-nashogo-zahistu-zvernenny-79285
 
20 February 2023
Kyiv, Ukraine 🇺🇦


Rais Joe Biden awasili ghafla mjini Kyiv Ukraine,


Source : Times Radio
taarifa toka Ikulu ya Marekani maarufu kama White House mtandaoni imethibitisha ziara hiyo muhimu kuunga mkono Ukraine katika vita yake dhidi ya uvamizi wa Russia nchini Ukraine ulioanza mwaka jana tarehe 24 February 2022

Saa kadhaa kulikuwa na uvumi wa mtu mashuhuri atafika jijini Kyiv wengine walitegemea kuwa pengine atakuwa ni makamu wa rais wa Marekani Bi. Kamala Devi Harris. Mawasiliano ya intaneti yalitishwa kwa muda na hiyo kuongeza shauku ya kujua ni mtu gani mashuhuri atawasili jijini Kiev.

Baadaye vyombo vya mitandaoni vikaonesha clip na kubainisha ni rais wa Marekani ndiyo amewasilia ghafla na kuonekana na mwenyeji wake Rais Volodymyr Zelenskyy wakiweka mashada ya maua kukumbuka mashujaa katika eneo la kumbukumbu za mashujaa wa taifa la Ukraine lililopo mjini Kyiv huku vingora vya kuashiria tishio la kuwepo makombora ya adui mvamizi ya Russia yapo angani.

Rais Joe Biden ataendelea na ziara yake ya ulaya kwa kuelekea nchini Poland akitokea Ukraine.

Statement from President Joe Biden on Travel to Kyiv, Ukraine​

As the world prepares to mark the one-year anniversary of Russia’s brutal invasion of Ukraine, I am in Kyiv today to meet with President Zelenskyy and reaffirm our unwavering and unflagging commitment to Ukraine’s democracy, sovereignty, and territorial integrity.
When Putin launched his invasion nearly one year ago, he thought Ukraine was weak and the West was divided. He thought he could outlast us. But he was dead wrong.
Today, in Kyiv, I am meeting with President Zelenskyy and his team for an extended discussion on our support for Ukraine. I will announce another delivery of critical equipment, including artillery ammunition, anti-armor systems, and air surveillance radars to help protect the Ukrainian people from aerial bombardments. And I will share that later this week, we will announce additional sanctions against elites and companies that are trying to evade or backfill Russia’s war machine. Over the last year, the United States has built a coalition of nations from the Atlantic to the Pacific to help defend Ukraine with unprecedented military, economic, and humanitarian support – and that support will endure.
I also look forward to traveling on to Poland to meet President Duda and the leaders of our Eastern Flank Allies, as well as deliver remarks on how the United States will continue to rally the world to support the people of Ukraine and the core values of human rights and dignity in the UN Charter that unite us worldwide
Source : Statement from President Joe Biden on Travel to Kyiv, Ukraine - The White House
 
24 February 2023
Warsaw, Poland 🇵🇱

Rais Joe Biden kukutana na viongozi nchi za B9

Nchi hizo za ulaya mashariki tisa maarufu kama B9 zilizokuwa zamani ndani ya muungano wa uSovieti wa USSR.

Nchi za B9 baada ya kujitoa kutoka Muungano wa kiSovieti wa USSR kisha kupitia azimio la Bucharest nchi za Bulgaria, the Czech Republic, Estonia, Hungary, Latvia, Lithuania, Poland, Romania na Slova kuunda solidariti yao dhidi ya tishio la Russia.

Nchi hizi B9 ni wanachama wa umoja wa kijeshi wa nchi za NATO, umoja wa NATO una jumla ya nchi 30 hivyo kuwa sehemu muhimu ya kukabiliana na tishio la kutoka Russia.
 
Kitakachofuata ni hayo majimbo kuitisha kura ya Maoni wataamua wawe sehemu ya Urusi na ndio mchezo umeisha .....Nadhani kwasasa tukubali ipo siku zitawaka kati ya US na Hao jamaa zake na Urusi kwa upande mwingine.

Lakini pia Upande Mwingine simlaumu Mrusi nalaumu Ukraine kutokujitambua wao wanaambiwa usijiunge na hao NATO watakuja Kutusumbua hapa Jirani wanangangania. Hii ni Vita Ya Wababe kila mmoja ana Maslahi yake unadhani EU inaweza kukataa Gas ya Urusi wakati ndio wanatumia kwa kujihami na baridi??

Mtu mwenyewe wanahangaika nae Putin ambae hajali kitisho kabisaaa. . .Putin Hajali na mpaka anachukua hatua Hii hakua na namna kwasababu Ukraine ikijiunga NATO ni hatari zaidi kwao or so waanzishe Ile Cuba Crisis ya Mwaka 1962 nae Russia atege silaha zake kule Venezuela au Cuba....

Ukraine ndio watakaoumia hapa wala hamna kingine..Issue ya vikwazo ni kelele tu...
Badala ya kuilaumu urusi kuivaia Jamhuri ya Ukrane!; unamlaumu aliye vamiwa!
Hivi wewe una mji wako jirani yako aje akupangie kwamba humu ndani ni marufuku kula pilau utakubaliana naye??
 
21 February 2023

Putin kusitisha mkataba wa mazungumzo ya kupunguza silaha kali baina yake na Marekani

Hayo yamejiri katika hotuba ya Rais Putin leo kuwa mazungumzo ya kupunguza mashindano ya kutengeneza silaha kali za maangamizi yaliyokuwa yaangaliwe tena mwaka 2026 ili kurefusha usitishwaji wa silaha kali yamesitishwa.

Mataifa hayo ya Marekani na Russia ndiyo yalikuwa katika mashindano ya kutengeneza silaha kali za kivita za maangamizi lakini kwa miaka mingi mataifa hayo mawili yamekuwa yakikutana na kukubaliana kupunguza kasi zao za kuunda silaha hizo.

Vita ya Ukraine na Russia imeibua changamoto mpya na Putin anajiona kuzidiwa maarifa na washirika wanaoongozwa na Marekani hivyo anaona turufu ya Russia kutishia kuongeza kasi ya kutengeneza silaha kali za maangamizi zitasaidia kuchagiza Russia kuweka mbinyo Marekani na washirika wake kufikiria tena njia muafaka ya kutatua vita katika ya Ukraine na Russia imalizike vipi na pande hizo kujihakikishia usalama na pengine Russia kuondoa majeshi yake yaliyovamia Ukraine.

59 minutes ago · Russia has said talks on the treaty, which is due to expire in 2026, are unlikely to resume unless the west agrees to hold comprehensive
 
24 June 2023

Rais Putin amshutumu swahiba wake Yevgeny Prigozhin wa Wagner Group kwa usaliti



Shirika la usalama wa Taifa la Russia FSB limeanza uchunguzi wa Yevgeny Prigozhin kuchagiza usaliti miongoni mwa wapiganaji wanaoisaidia Russia kijeshi huko Ukraine baada ya Rais Putin kushutumu kauli za kiongozi wa Wagner Group kuwa ni kichochezi na za kufifisha morali ya askari wa Russia waliopo mstari ya mbele ndani ya Ukraine katika vita inayoendelea

Yanayotokea Russia yanafanana na vita ya majeshi mawili ndani ya nchi moja yakichapana nchini Sudan Afrika kutokana na hatua ya serikali ya Sudan ilifikiri kuwa na jeshi usu la mgambo litaisadia kupambana na uasi.

Lakini matokeo yake jeshi usu la mgambo la paramilitary nchini Sudan linapigana na jeshi la taifa la Sudan kutokana na kujijengea uzoefu, nidhani, medani na nguvu ya kivita na silaha waliyojikusanyia mgambo hao wa Sudan.

Jijini Moscow Russia magari ya kivita yameonekana yakizunguka pia askari wenye silaha wakiwa ktk doria ya miguu mitaani na kuimarisha ulinzi kutokana na hofu kuwa wapo watu wanaounga jeshi la Wagner Group

Toka jana ijumaa wanajeshi wa Wagner Group wamechukua mji wa Russia ulio kusini ya ndani Russia wa Rovstock na kuzingira makao ya kamandi ya majeshi ya Russia yaliyopo mjini Rovstock

Inaonekana sasa vita vinapiganwa ndani ya Russia yenyewe na pia nje ya mipaka yake katika majimbo Russia inayokalia nchini Ukraine.

Hii ina maana sasa Russia inapigana katika mistari miwili ya mbele ya kivita yaani ndani ya Russia dhidi ya Wagner Group na pia ndani ya Ukraine hivyo kufungua changamoto nyingine kwa Putin kupigana vita mbili kwa mpigo
 
24 June 2023
Rostov-on-Don

YEVGENY PRIGOZHIN - TUMECHOKA KUCHINJWA, TUNAELEKEA MOSCOW !
Yevgeny Prigozhin



Wagner Group head Yevgeny Prigozhin says his men will head to Moscow unless the Russian defence minister and the country's top general come to the city of Rostov-on-Don, which the mercenary group have claimed.
 
Rais Putin asaini waraka wa kuamuru majeshi ya Russia kuingia Ukraine kulinda amani ktk majimbo-yenye-uasi ya Luhansk na Donetsk

Nyuma ya waraka huu wa Putin kuna mengi, na leo tunaelezewa kwa kina


View: https://m.youtube.com/watch?v=j1C8awu_d6Y

Conversations feature John Anderson, former Deputy Prime Minister of Australia, interviewing the world's foremost thought leaders about today's pressing social, cultural and political issues.

John Anderson is joined by Konstantin Kisin, himself Russian by descent, for a conversation about the Russian mindset, popular support for President Putin, the Western response to and coverage of the conflict in Ukraine, Western resilience, the role of satire in public discourse, and much more....
 
February 2024
Ikulu Kremlin,
Moscow

Mahojiano mwandishi Tucker Carlson na rais Vladimir Putin


View: https://m.youtube.com/watch?v=fOCWBhuDdDo
Tucker interviews Vladimir Putin in Moscow, Russia. February , 2024


Rais Putin atoa somo la historia kwa mwandishi nguli mwanahistoria Tucker Carlson kutoka Marekani kuhusu miaka 1,000 ya Ukristo toka Mfalme Vladimir wa Ukraine alivyo batizwa yeye na familia yake kisha taifa, baada ya kupokea ushawishi kutoka Ukristo wa Germany, ukristo wa uturuki ya Byzantine, ukristo wa Greece na Uislamu.

Mfalme Vladimir akaamua atume watu 10 wenye hekima kwenda nchi hizo za kale kuchuguza sababu ya wageni hao kujikomba kuwa imani zao ni bora zaidi ya upagani wa Vladimir. Wajumbe hao walifanya ziara ndefu nje na kubaini mengi kisha kurudi nyumbani kuumpa taarifa Mfalme Vladimir yale waliyo yaona huko ugenini.

The Christianisation of Russia (988)


987 (6495): Vladimir summoned together his vassals and the city elders, and said to them: "Behold, the Bulgars came before me urging me to accept their religion. Then came the Germans and praised their own faith; and after them came the Jews. Finally the Greeks appeared, criticising all other faiths but commanding their own, and they spoke at length, telling the history of the whole world from its beginning. Their words were artful, and it was wondrous to listen and pleasant to hear them. They preach the existence of another world. 'Whoever adopts our religion and then dies shall arise and live forever. But whosoever embraces another faith, shall be consumed with fire in the next world.' What is your opinion on this subject, and what do you answer?" The vassals and the elders replied: "You know, O Prince, that no man condemns his own possessions, but praises them instead. If you desire to make certain, you have servants at your disposal. Send them to inquire about the ritual of each and how he worships God. " Their counsel pleased the prince and all the people, so that they chose good and wise men to the number of ten, and directed them to go first among the Bulgars and inspect their faith. The emissaries went their way, and when they arrived at their destination they beheld the disgraceful actions of the Bulgars and their worship in the mosque; then they returned to their own country. Vladimir then instructed them to go likewise among the Germans, and examine their faith, and finally to visit the Greeks. They thus went into Germany, and after viewing the German ceremonial, they proceeded to Constantinople where they appeared before the emperor. He inquired on what mission they had come, and they reported to him all that had occurred.. When the emperor heard their words, he rejoiced, and did them great honour on that very day.

On the morrow, the emperor sent a message to the patriarch to inform him that a Russian delegation had arrived to examine the Greek faith, and directed him to prepare the church and the clergy, and to array himself in his sacerdotal robes, so that the Russians might behold the glory of the God of the Greeks. When the patriarch received these commands, he bade the clergy assemble, and they performed the customary rites. They burned incense, and the choirs sang hymns. The emperor accompanied the Russians to the church, and placed them in a wide space, calling their attention to the beauty of the edifice, the chanting, and the offices of the archpriest and the ministry of the deacons, while he explained to them the worship of his God. The Russians were astonished, and in their wonder praised the Greek ceremonial. Then the Emperors Basil and Constantine invited the envoys to their presence, and said, "Go hence to your native country," and thus dismissed them with valuable presents and great honour. Thus they returned to their own country, and the prince called together his vassals and the elders. Vladimir then announced the return of the envoys who had been sent out, and suggested that their report be heard. He thus commanded them to speak out before his vassals. The envoys reported: "When we journeyed among the Bulgars, we beheld how they worship in their temple, called a mosque, while they stand ungirt. The Bulgarian bows, sits down, looks hither and thither like one possessed, and there is no happiness among them, but instead only sorrow and a dreadful stench. Their religion is not good. Then we went among the Germans, and saw them performing many ceremonies in their temples; but we beheld no glory there. Then we went on to Greece, and the Greeks led us to the edifices where they worship their God, and we knew not whether we were in heaven or on earth. For on earth there is no such splendour or such beauty, and we are at a loss how to describe it. We know only that God dwells there among men, and their service is fairer than the ceremonies of other nations. For we cannot forget that beauty. Every man, after tasting something sweet, is afterward unwilling to accept that which is bitter, and therefore we cannot dwell longer here." Then the vassals spoke and said, "If the Greek faith were evil, it would not have been adopted by your grandmother Olga, who was wiser than all other men." Vladimir then inquired where they should all accept baptism, and they replied that the decision rested with him.

After a year had passed, in 988 (6496), Vladimir marched with an armed force against Kherson, a Greek city, and the people of Kherson barricaded themselves therein. Vladimir halted at the farther side of the city beside the bay, a bowshot from the town, and the inhabitants resisted energetically while Vladimir besieged the town. Eventually, however, they became exhausted, and Vladimir warned them that if they did not surrender, he would remain on the spot for three years. When they failed to heed this threat, Vladimir marshalled his troops and ordered the construction of an earthwork in the direction of the city. While this work was under construction, the inhabitants dug a tunnel under the city wall, stole the heaped-up earth, and carried it into the city, where they piled it up in the centre of the town. But the soldiers kept on building, and Vladimir persisted. Then a man of Kherson, Anastasius by name, shot into the Russian camp an arrow on which he had written: "There are springs behind you to the east, from which water flows in pipes. Dig down and cut them off." When Vladimir received this information, he raised his eyes to heaven and vowed that if this hope was realised, he would be baptised. He gave orders straightway to dig down above the pipes, and the water supply was thus cut off. The inhabitants were accordingly overcome by thirst, and surrendered.

Vladimir and his retinue entered the city, and he sent messages to the Emperors Basil and Constantine, saying: "Behold, I have captured your glorious city. I have also heard that you have an unwed sister. Unless you give her to me to wife, I shall deal with your own city as I have with Kherson." When the emperors heard this message, they were troubled, and replied: "It is not meet for Christians to give in marriage to pagans. If you are baptised, you shall have her to wife, inherit the kingdom of God, and be our companion in the faith. Unless you do so, however, we cannot give you our sister in marriage." When Vladimir learned their response, he directed the envoys of the emperors to report to the latter that he was willing to accept baptism, having already given some study to their religion, and that the Greek faith and ritual, as described by the emissaries sent to examine it, had pleased him well. When the emperors heard this report, they rejoiced, and persuaded their sister Anna to consent to the match. They then requested Vladimir to submit to baptism before they should send their sister to him, but Vladimir desired that the princess should herself bring priests to baptise him. The emperors complied with his request, and sent forth their sister, accompanied by some dignitaries and priests. Anna, however, departed with reluctance. "It is as if I were setting out into captivity," she lamented; "better were it for me to die here." But her brothers protested: "Through your agency God turns the Russian land to repentance, and you will relieve Greece from the danger of grievous war. Do you not see how much evil the Russians have already brought upon the Greeks? If you do not set out, they may bring on us the same misfortunes." It was thus that they overcame her hesitation only with great difficulty. The princess embarked upon a ship, and after tearfully embracing her kinfolk, she set forth across the sea and arrived at Kherson. The natives came forth to greet her, and conducted her into the city, where they settled her in the palace.

By divine agency, Vladimir was suffering at that moment from a disease of the eyes, and could see nothing, being in great distress. The princess declared to him that if he desired to be relieved of this disease, he should be baptised with all speed, otherwise it could not be cured. When Vladimir heard her message, he said, "If this proves true, then of a surety is the God of the Christians great," and gave order that he should be baptised. The Bishop of Kherson, together with the princess's priests, after announcing the tidings, baptised Vladimir, and as the bishop laid his hand upon him, he straightway received his sight. Upon experiencing this miraculous cure, Vladimir glorified God, saying, "I have now perceived the one true God." When his followers beheld this miracle, many of them were also baptised.

Vladimir was baptised in the Church of St. Basil, which stands at Kherson upon a square in the centre of the city, where the Khersonians trade. The palace of Vladimir stands beside this church to this day, and the palace of the princess is behind the altar. After his baptism, Vladimir took the princess in marriage. Those who do not know the truth say he was baptised in Kiev, while others assert this event took place in Vasiliev, while still others mention other places.

Hereupon Vladimir took the princess and Anastasius and the priests of Kherson, together with the relics of St. Clement and of Phoebus his disciple, and selected also sacred vessels and images for the service. In Kherson he thus founded a church on the mound which had been heaped up in the midst of the city with the earth removed from his embankment; this church is standing at the present day. Vladimir also found and appropriated two bronze statues and four bronze horses, which now stand behind the Church of the Holy Virgin, and which the ignorant think are made of marble. As a wedding present for the princess, he gave Kherson over to the Greeks again, and then departed for Kiev.

When the prince arrived at his capital, he directed that the idols should be overthrown and that some should be cut to pieces and others burned with fire. He thus ordered that Perun should be bound to a horse's tail and dragged along Borichev to the river. He appointed twelve men to beat the idol with sticks, not because he thought the wood was sensitive, but to affront the demon who had deceived man in this guise, that he might receive chastisement at the hands of men. Great art thou, O Lord, and marvellous are thy works! Yesterday he was honoured of men, but today held in derision. While the idol was being dragged along the stream to the Dnepr, the unbelievers wept over it, for they had not yet received holy baptism. After they had thus dragged the idol along, they cast it into the Dnepr. But Vladimir had given this injunction: "If it halts anywhere, then push it out from the bank, until it goes over the falls. Then let it loose." His command was duly obeyed. When the men let the idol go, and it passed through the falls, the wind cast it out on the bank, which since that time has been called Perun's Shore, a name that it bears to this very day.

Thereafter Vladimir sent heralds throughout the whole city to proclaim that if any inhabitant, rich or poor, did not betake himself to the river, he would risk the prince's displeasure. Men the people heard these words, they wept for joy, and exclaimed in their enthusiasm, "If this were not good, the prince and his boyars would not have accepted it." On the morrow the prince went forth to the Dnepr with the priests of the princess and those from Kherson, and a countless multitude assembled. They all went into the water: some stood up to their necks, others to their breasts, the younger near the bank, some of them holding children in their arms, while the adults waded farther out. The priests stood by and offered prayers. There was joy in heaven and upon earth to behold so many souls saved. But the devil groaned, lamenting: "Woe is me! how am I driven out hence! For I thought to have my dwelling place here, since the apostolic teachings do not abide in this land. Nor did this people know God, but I rejoiced in the service they rendered unto me. But now I am vanquished by the ignorant, not by apostles and martyrs, and my reign in these regions is at an end."

When the people were baptised, they returned each to his own abode. Vladimir, rejoicing that he and his subjects now knew God himself, looked up to heaven and said: "O God, who hast created heaven and earth, look down, I beseech thee, on this thy new people, and grant them, O Lord, to know thee as the true God, even as the other Christian nations have known thee. Confirm in them the true and unalterable faith, and aid me, O Lord, against the hostile adversary, so that, hoping in thee and in thy might, I may overcome his malice." Having spoken thus, he ordained that churches should be built and established where pagan idols had previously stood. He thus founded the Church of St. Basil on the hill where the idol of Perun and the other images had been set, and where the prince and the people had offered their sacrifices. He began to found churches and to assign priests throughout the cities, and to invite the people to accept baptism in all the cities and towns. He took the children of the best families, and sent them to schools for instruction in book learning. The mothers of these children wept bitterly over them, for they were not yet strong in faith, but mourned as for the dead. When these children were assigned for study, there was thus fulfilled in the Russian land the prophecy which says, "In those days, the deaf shall hear words of Scripture, and the voice of the stammerers shall be made plain" (Isaiah, xxix, 18). For these persons had not ere this heard words of Scripture, and now heard them only by the act of God, for in his mercy the Lord took pity upon them, even as the Prophet said, "I will be gracious to whom I will be gracious" (Exodus, xxxiii, 19).


Source: Povest' vremennykh let (The Russian Primary Chronicle)
 
Mabeberu wamefanikiwa kumwingiza CHOO CHA KIKE rais wa UKRAINE. Walimdanganya kuwa watamlinda dhidi ya Urusi, wakampatia mabilioni ya misaada ya kijeshi, akavimba kichwa na akagoma kufanya maongezi na majimbo yaliyojitenga ili kutafuta muafaka chini ya makubaliano yaliyodhaminiwa na Ukraine yenyewe, Urusi, Ufaransa na Ujerumani.

Unaitwa ni mkataba wa Minsk. Matokeo yake Urusi kaamua kuwalinda raia wake walioko majimbo hayo na amewatambua kama mataifa huru, na NATO hawatafanya chochote kuizuia Urusi kuingia huko!! Sana sana shida yao ilikuwa ni kupata kisingizio cha kuiwekea vikwazo vya uchumi urusi, na urusi ikasema "we are immune to sunctions".

Rais wa Ukraine keshalihutubia taifa lake tayari na HAKUTHUBUTU kuagiza majeshi yake kuyazuia majeshi ya URUSI kutimiza AMRI ya PUTIN. Muda huu anashangaa alivyoingizwa choo cha KIKE!
hawajamlinda ? Ukraine anapiga ndan ya Russia siku hz
 
Russia
Russia
Russia

Putin
Putin
Putin

The end of US & NATO!
20231014_121104.jpg
 
Back
Top Bottom