Putin asema sasa yupo tayari kwa mazungumzo ya amani na Serikali ya Ukraine 'kama wanataka mazungumzo'

Rusia wejiamdaa na mashambulizi ya kimtamdao na hapo usa itaumizwa before haijachukua hatua yake

Moja uwezekano wa kuzimwa satelite yao antime
 
Na mikujuze rais wa ukraine amesema wanajeahi wasiopungua 170, wameuwawa ma majeruhi kibao jeshi la urusi mpaka sasa halijapoteza raia wala askari
 
Unaijua historia ya 1960-1999s kuhusu cold war au unadhani hapo ni simba na yanga....itafute elimu kwanza usijiingize kichwa kichwa kwenye mada kama hizi
 
Linafunguliwa tuu Jamaa kaomba kwa siri mpaka ikabidi atamke hadharani.
Uktaine hana kiburi tena
NBC - Raisi wa Ukraine "Nimetafuta viongozi 27 wa Europe nijue Ukraine inawezajiunga na NATO lakini kimya, kila mmoja anaogopa, sisi hatuogopi na hatutaogopa"

RUSSIA ni Taifa kubwa kiuchumi, kimaendeleo, kivita, kiteknolojia, kijasusi, kibiashara na hata kiubabe.
 
Kihistoria kwenye miaka ya 1960 huko Cuba walishawahi kuomba msaada wa jeshi la Russia kuondoa hizo silaha za NATO na Kambi ilivyokuwa inataka kupigwa hapo Cuba.

Russia waliitikia na kwenda kuvizunguka vikosi vyote vya jeshi la NATO na Kambi ilivyokuwa imewekwa huko Cuba na jeshi la Russia lilifanikiwa kuwaondoa NATO.

Inamaana huyo NATO aliliogopa jeshi la Russia hadi kuondolewa Cuba?
 
Afisa mstaafu wa USA kakiri kuwa Russia iko sahihi maana ni zaidi ya miaka 25 ilikuwa ikiiomba USA isiweke hapo hizo silaha zake na Kambi ya NATO.

Pia kasisitiza USA haiwezi ikamzuia Russia kuvipiga vita kwa Ukraine, afu Mmarekani wa Mwabepande anajitutumua kujiona yuko sahihi kuliko Afisa jeshi na mzawa wa USA [emoji1787]
 
He need to be murdered Yaani my goodness ameogopa wamepiga bomu hospital ya watoto wenye cancer imagine that no he need to die
 
Kama unasikiliza hivyo vyanzo vya habari vya nchi za Ulaya magharibi imekula kwako, kamwe hawawezi kukueleza ukweli halisi ilihali wao wako upande wa Ukraine na hawamkubali Urusi hata punje [emoji847]
 
Defence your territory by any means ndicho anachofanya urusi na ichoicho ndyo anachofanya marekani vita vikiaanza nchi zao zichelewe kupata madhara kukubali Ukrein awe mwanachwma WA NATO ni kuifanya vita ikitokea ipigiwe sebleni Kwa urusi kitu ambacho hataki kufanya makosa kma ya Poland kumwacha huru Bora maumivu ya vikwazo kuliko maumivu ya vita maana urusi anajua vizuri vile aliumia kwenye vita ya pili ya dunia
 
Hatulifungui tu. Labda kwa njia ya mkanyagano
Putin anachofanya ni kuwapumbaza watu , sio Kama anaogopa .ivi uliona wapi anaepigwa ndio aombe mazungumzo? Hapo lazima mpigaji ndio anajifanya kujishusha kutaka mazungumzo huku ikiwa mishen yake imekamilika ya kupeleka message kua akisema jambo atanii kwahiyo hata maadui zake inabidi wakakae chini wapige hesabu upya .jamaa mjanja mjanja sana ndio sifa la jasusi kung'ata na kupuliza.
 
neno
Wewe mnyantuzu....wewe. Kaa kwa kutulia maana huzijui siasa za kimataifa. Propaganda tu unahama mtaroni. Putin anajilinda kwa gharama ya Ukraine. Mfedhuli hapo ni USA and her allies
toka neno propaganda lianze tumika katika media na magazetini limefunga akili za watu kufikiri bila kurusu ubongo kupokwa na upande wowote. propaganda zipo na zinatumika na kila upande, so ni wewe kusikiliza propaganda hizo za kila upande kwa logic.
Poland etc ni wanachama wa Nato na wameizunguka Urusi, ikiwa Dhumni la US ni kutumia Nato kui attack Russia why asizitumie hizo nchi kufanya hivyo badala yake atumie Ukraine ambayo si mwanachama?.
na kwanini putin asiende Poland kufanya hayo anayoyafanya badala yake anakwenda Ukraine ambayo anajua Nato haina ties nae.
yaan kwa mfano, unamjua Maduhu anamtongoza Mkeo na ushahidi unao ila unashindwa kwenda kumkabili Maduhu badala yake kumpiga Mayala kisa uwa anamtazama mkeo kwa jicho la mahaba,does it make sense?.
Urusi inazionea nchi ambazo hazipo KUNDINI-NATO. anatumia hiyo advantage kufanikisha interest zake.
 
RUSSIAN ENVOY TO JAPAN: THERE WILL BE SERIOUS RUSSIAN RESPONSE TO JAPANESE SANCTIONS AGAINST RUSSIA
 
Ukumbuke Ukraine ni mbuzi wa kafara tu....target hapo ni uliowataja. Target ni maduhu ila unaanza na mayalla ambaye ni rafiki yake maduhu ili maduhu akireact unampelekea moto.
Ni mbinu za kivita ngosha....hakikisha huishiwi bando.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…