Putin asema sasa yupo tayari kwa mazungumzo ya amani na Serikali ya Ukraine 'kama wanataka mazungumzo'

Kwani Yeye ni nani asipigwe?. Ukraine wakimtanguliza MUNGU Putin atapigwa km mtoto mdogo niamini Mimi,Kwa MUNGU hakuna lisilowezekana.Kumbuka jinsi Goliath alivyomdharau Daudi lkn mwisho wa siku akapata kichapo kizito hadi akafa.
Inawezekana wewe wamjua Mungu zaidi kuliko waliotuletea hizo dini, ambao wanaamini vita ni pamoja na kuwa na mijisilaha madhubuti. Sio kuishia kusema tu Mungu akusaidie.

BTW, Rais wa Ukrain keshaomba Poo kwa Putin

 
Inawezekana wewe wamjua Mungu zaidi kuliko waliotuletea hizo dini, ambao wanaamini vita ni pamoja na kuwa na mijisilaha madhubuti. Sio kuishia kusema tu Mungu akusaidie.

BTW, Rais wa Ukrain keshaomba Poo kwa Putin

View attachment 2130575
Pamoja na hayo yote lkn Uwezo wa Mungu ni mkubwa Sana,labda Ukraine hawajataka kumuomba tu.
 
Nimewaza tu kwenye Defence expenditures.
Sisi tuna ulinzi wa kutosha
 
Putin who don’t care about sanctions just got pissed and reacted to sanctions
 
Kumbukeni kuwa huyo ni Comedian aliyebahatika kuupata Urais . yaani ni kama Tz msanii kama Mkojani au Masanja agombee halafu ashinde. Fikiria tu nchi iwe Kwenye hali ya hatari halafu rais ni MASANJA
[emoji23][emoji23]Hata akiwa serious vipi tutahisi yupo kuigiza ze orijino comed
 

Marekani na Ulaya ndo chanzo cha instability ya hii dunia, Urusi lazima aiingie uoga kama watakuwa wanauweka silaha zao huko na kuacha kuwa wamoja na ndugu zao
 
Na mikujuze rais wa ukraine amesema wanajeahi wasiopungua 170, wameuwawa ma majeruhi kibao jeshi la urusi mpaka sasa halijapoteza raia wala askari
Mkuu hali ni mbaya sana Ukraine.
Kwa mujibu wa chombo cha habari cha wamarekani, New York Times, ni kwamba facilities za kivita 118 za Ukraine, base 11 za manege ya kivita na mifumo 13 ya kutungulia ndege imeharibiwa na majeshi ya Russia

Pia Russia kadungua ndegevita 5 za Ukraine, helicopter 1 na drones 5, huku wanajeshi 150 wa Ukraine wakisalimu amri kwa kuweka silaha Chini.

 
Putin kaanza kutapatapa majid yako shingoni
 
Hao UK wajisalikishe tuu,hakuna kitu kimewasaidia silaha hawana visaidizi vimeharibiwa kifuatacho ni kuvua uniform na kujifanya raia.
 
Kuna watu ni hamnazo [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Russia ni muovu hata kama anaukosha mtima wako, Rais gani ambaye hataki wengine watawale ni yeye tuu hadi anabadili katiba ya nchi kisa matakwa yake, ila afanye yote siku ya hesabu ikifika hawezi kumkimbia Mungu na hataweza kuongoza watu akiwa mfu.
[emoji706][emoji706][emoji706] garbage
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…