Putin asema sasa yupo tayari kwa mazungumzo ya amani na Serikali ya Ukraine 'kama wanataka mazungumzo'

Putin asema sasa yupo tayari kwa mazungumzo ya amani na Serikali ya Ukraine 'kama wanataka mazungumzo'

Putin lazima apigwe
.
Screenshot_20220224-182447.jpg
Screenshot_20220224-173838.jpg
 

Attachments

  • Screenshot_20220224-182447.jpg
    Screenshot_20220224-182447.jpg
    35.3 KB · Views: 28
Mziki wa Putin huko ni mzito sana kuhimiliwa na Ukraine.

Maafisa wenyewe wa Ukraine wakiri kuwa Ukraine haina uwezo wa kuvirejesha nyuma vikosi vya Russia.

Halafu wamarekani wa Tandale huku wakila chapati na maharage ya kukata ya nazi kwa chai ya maziwa, wanataka kumpa kichwa Ukraine aendelee kula kichapo.
SmartSelect_20220224-194100_Chrome.jpg
 
hakuna cha majadiliano, yeye aendelee kuua tu.
God bless Ukraine and it's people, the entire world has witnessed Russia's evil. only wicked and immorality folks are the ones who supporting Russia oppression.

supporting##@@@@@@ Ukraine from Dutwa Bariadi###@[emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3526][emoji3526]
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Baada ya kuonesha ubabe wake kwa Ukraine kwa kutangaza uhuru wa majimbo mawili ya mashariki mwa Ukraine na kisha kuingia kijeshi na kuchakaza miundombinu ya jeshi la Ukraine huku Ukraine ikiachwa kwenye mataa na wale iliyodhani watamsaidia (Marekani na NATO), Putin katoa ofa kwa serikali ya Ukraine kuwa yupo tayari kwa mazungumzo na Ukraine.

Akasisitiza kuwa kama viongozi wa Ukraine wanataka kuzungumza. Putin yeye ataka mambo mawili tu, Ukraine isijiunge na NATO, na wasiweke silaha za US na NATO kwenye ardhi ya Ukraine.

Ikumbukwe kuwa mapema leo, rais wa Ukraine alilalamika kuwa alijitahidi kumtafuta ktk simu Putin ili waongee lakini Putin hakupokea simu yake. Pengine Putin aliona kwanza atembeze mkono, ili hata wakiingia kwenye mazungumzo awe na mkono wa juu ktk mazungumzo hayo.
======


A Kremlin spokesman said on Thursday Russian President Vladimir Putin was ready to negotiate a settlement with Kyiv over Ukraine’s “neutrality,” amid an unfolding Russian invasion of its neighbor.

Kremlin press secretary Dmitry Peskov said Putin was prepared to talk with Ukrainian leaders about both neutrality and demilitarization.

“The president formulated his vision of what we would expect from Ukraine in order for the conceptual ‘red lines’,” he told reporters at a Kremlin press briefing, “if the leadership of Ukraine is ready to talk about it.”
Fake news from fake jf member.
 
Back
Top Bottom