permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 11,682
- 14,241
Kwa Tz badala ya kuulizia matundu ya choo unaulizia air defense systems ??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa Tz badala ya kuulizia matundu ya choo unaulizia air defense systems ??
Hujaelewa au??.Eti Nini !? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Iseme garbage kwa Kirussia [emoji1787][emoji1787][emoji1787]...Pathetic fellow[emoji706][emoji706][emoji706] garbage
Mkuu nilikueleza kuwa mnyonge katu hawezi kuwa na option mbele ya mwenye nguvu.Rais wa Ukraine amesema dirisha la diplomasia limefungwa.
Mh,neno
toka neno propaganda lianze tumika katika media na magazetini limefunga akili za watu kufikiri bila kurusu ubongo kupokwa na upande wowote. propaganda zipo na zinatumika na kila upande, so ni wewe kusikiliza propaganda hizo za kila upande kwa logic.
Poland etc ni wanachama wa Nato na wameizunguka Urusi, ikiwa Dhumni la US ni kutumia Nato kui attack Russia why asizitumie hizo nchi kufanya hivyo badala yake atumie Ukraine ambayo si mwanachama?.
na kwanini putin asiende Poland kufanya hayo anayoyafanya badala yake anakwenda Ukraine ambayo anajua Nato haina ties nae.
yaan kwa mfano, unamjua Maduhu anamtongoza Mkeo na ushahidi unao ila unashindwa kwenda kumkabili Maduhu badala yake kumpiga Mayala kisa uwa anamtazama mkeo kwa jicho la mahaba,does it make sense?.
Urusi inazionea nchi ambazo hazipo KUNDINI-NATO. anatumia hiyo advantage kufanikisha interest zake.
MUNGU USA au Mungu yule anyehubiriwa na vitabu vitakatifu.Kwani Yeye ni nani asipigwe?. Ukraine wakimtanguliza MUNGU Putin atapigwa km mtoto mdogo niamini Mimi,Kwa MUNGU hakuna lisilowezekana.Kumbuka jinsi Goliath alivyomdharau Daudi lkn mwisho wa siku akapata kichapo kizito hadi akafa.
Mbona husemi Uingereza inatawaliwa na mtu mmoja tu bibi kizee kwa miaka dahariRussia ni muovu hata kama anaukosha mtima wako, Rais gani ambaye hataki wengine watawale ni yeye tuu hadi anabadili katiba ya nchi kisa matakwa yake, ila afanye yote siku ya hesabu ikifika hawezi kumkimbia Mungu na hataweza kuongoza watu akiwa mfu.
Kasome Utawala wa Uingereza kwanza, acha kujichoresha.Mbona husemi Uingereza inatawaliwa na mtu mmoja tu bibi kizee kwa miaka dahari
MUNGU anayeishi milele, MUNGU wa Ibrahimu,Isaka na Yakobo,Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo.Kuhusu maafa kutokea duniani hiyo haiondoi ukweli kuwa MUNGU wetu yu hai na ana uwezo.Maafa yanatokea kwasababu mbalimbali mojawapo ikiwa ni uovu wetu sisi binadamu,lkn pia Mungu Anataka kutupa onyo,au wakati mwingine Anataka tupitie njia ya mateso ili kifikia Uzima wa milele km ambavyo mwaae mpendwa Yesu Kristo alipitia, kufanya hivyo haimaanishi kuwa hatupendi bali anatupenda.MUNGU USA au Mungu yule anyehubiriwa na vitabu vitakatifu.
Mbona maafa yapo mengi duniani na Hana msaada
My friend from Dutwa am your neighbour from Nyakabindula its too late to catch the bus, if such triumphatic statements were to be stated before Russian invasion it would be helpful but not now.hakuna cha majadiliano, yeye aendelee kuua tu.
God bless Ukraine and it's people, the entire world has witnessed Russia's evil. only wicked and immorality folks are the ones who supporting Russia oppression.
supporting##@@@@@@ Ukraine from Dutwa Bariadi###@❤️❤️❤️☺️☺️
Halafu kikao ni Minsk kwa Belarus [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mtu siku mbili tuu Russia washaingia mji mkuu unamwita kidume. Analia lia Viongozi wa Ulaya hawapokei cm zake...