Putin atahadharisha ataingamiza NATO kwa WWIII au Nyuklia

Nimekujibu kuwa walilipiza shambulio la hospitali ya watoto kwa kushambuliana ndani ya Russia hukuelewa nini? Malengo sio kuchukua eneo ni kujibu shambulio maana walikuwa bado hawajaruhusiwa na washirika wao kushambuliana sasa kikao cha miaka 75 ya NATO wameruhusiwa kushambuliana ndani ya Russia

USSR
 
unaona mbali sana pongezi.
 
Advancing sio kizembe kama kukaanga chips acha ujinga nimekuambia juzi wameshambulia ndani ya urusi wewe unasema maeneo kumbe majadili na kiazi sasa

USSR
Wanamgambo wa Ukraine mpo bize kutangaza LGBT
 

Attachments

  • IMG_20240712_134524.jpg
    97.8 KB · Views: 1
Mikwala Tu hiyo NATO imeanza kuizunguka Russia Leo?...mbona hajapiga Hilo nuke....
 
Unafikir ni rahisi kama unavyookoteza hiv vihabar vyako vya uongo....nuke pia NATO wanazo...akijalibu Tu ndo utakuwa mwisho wa Putin na yeye anajua ndio maana toka huko nyuma anatishiatishia Tu...kama unakumbuka Russia alisema yoyote atakaye saidia Ukraine atakutana na Moto lakini tumeona usa anatoa mpaka missile za kushambulia Russia na hakuna Moto
 
Malengo sio kuchukua eneo ni kujibu shambulio
Aaaah!
Kwahiyo hawana mpango wa kurudisha maeneo yao!?
Duuuh!!!
walikuwa bado hawajaruhusiwa na washirika wao kushambuliana sasa kikao cha miaka 75 ya NATO wameruhusiwa kushambuliana ndani ya Russia
Aaaah, kumbe walikuwa wanasubiri ruhusa!?
Kweli Ukraine ni wanoma!!!
 
Huyo ni wale walio potea njia walikiwa wakienda kanisani, akajivisha kanzu.

Kuna wakristo wamehifadhi Qur'an kuliko waislam ili wapate kazi ya kusomesha Qur'an, ukiwa umehifadhi juzu ama hapo mitani na ujidai muislam na uvae kanzu, watu watasema wewe mwalimu.

Kuna mkristo mmoja kule Egypt anaitwa John, alienda nchi za Gulf akajidai mwislam na alikuwa akitwa Abdilqadir badala ya jina lake khalisi John.

Huyo John akisoma Qur'an MashaAllah kuliko waislam wenyewe.
 
Russian Foreign Minister:

If Ukraine joins NATO, either Ukraine will disappear or NATO will.
 

Attachments

  • IMG_20240712_211021.jpg
    182.5 KB · Views: 1
piga nuclear baba tuheshimiane...
Uingereza kabadili gia angani baada ya onyo la Putin

UPDATE🗞️🚨


🇬🇧 The UK has changed its mind and now does not allow strikes on Russian territory with their missiles.

British MoD now says Great Britain did not give Ukraine permission to fire Storm Shadow missiles deep into the territory of the Russian Federation.

The British government allowed missiles to be launched at targets in Crimea and mainland Ukraine, but not to hit targets in the Russian Federation.

Officials fear the escalation of the war and the involvement of Great Britain in the conflict with Russia.

#Russia #UK #Ukraine
 

Attachments

  • IMG_20240712_212605.jpg
    134.3 KB · Views: 1
Huo ni ujanja wa vita ashambulie mara ngapi ndani ya Russia, mbona mnakuwa waoga kama ukrane amevumilia kushambuliwa ndani ya ardhi yake kwanini Russia awe muoga na anajifanya ana mbinu na uwezo,yanamkuta tu

USSR
N
 
Si mara ya kwanza kusema hivyo.
Kwamba hataki kupigwa ndani ndani si ndiyo?, ila yeye pekee ndo apige popote atakapo.
Kama huna mwendo au mbiousichokoze nyuki. Kisha baadae ukaanza kusema sikujua nyuki wanaweza kung'ata.

Uliwahi kujiuliza NATO Ina wanachama 32 wanaoungana kijeshi kupigana na nani ambapo Hadi sasa mmojammpja hawawezi kumpiga?

Huyo unaeona Bado wanaona hawana uwezo wa kupigana na nae hivyo lazima waongeze wanachama zaidi ni URUSI.

Tambua Urusi si taifa dogo kwa Kila kitu,
 
Ni kweli Ukraine hajatumia haya makombora ya Uingereza ndani ya Urusi tokea awali.
 
Unajua Urusi aliwahi kuomba kuungana na NATO na alikataliwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…