USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 10,904
- 26,184
Nimekujibu kuwa walilipiza shambulio la hospitali ya watoto kwa kushambuliana ndani ya Russia hukuelewa nini? Malengo sio kuchukua eneo ni kujibu shambulio maana walikuwa bado hawajaruhusiwa na washirika wao kushambuliana sasa kikao cha miaka 75 ya NATO wameruhusiwa kushambuliana ndani ya RussiaTaratibu basi mkongwe!
Mbona povu tena!?
Okay, nijibu maswali yangu vizuri, acha ubinafsi!
Kwahiyo Ukraine wameanza kushambulia ndani ya Urusi lakini bado hawajafanikiwa kurudisha hata heka moja ya eneo lao?
Vipaumbele vyao ni nini hawa Ukraine? Mbona wanatuchanganya!
USSR