Masaa 24 unaenda kukomboa mateka sehemu au unaenda kuvamia nchi?.acha kuwa na akili ndogo
Wenzako wanachezea kichapo huko ww unaleta porojo hapa [emoji16][emoji23]Sasa special operation alisema ya masaa 24 ndio hiyo imelamba wiki, kwenye huu ugomvi Urusi imedhihirisha udhaifu mkubwa sana, kainchi jirani yake kamemsumbua licha ya yeye kutoka na all-out-war, Marekani hufanya deployment za nchi za mbali na anapiga huko hadi kunakalika.
Naona Urusi atapoteza sana soko la silaha maana wanunuzi wanafuatiilia kwa mbali uwezo wake.
Vita ya mbali gani na wakati Marekani ana base kibao Middle East na pia washirika wake lukuki walioingia nae vitani wapo karibu na Iraq. Au kwa akili zako wadhani umbali wa kuruka kwa ndege toka UK/France ni sawa na umbali toka Kenya hadi Iraq?Marekani hapo alikua anapigana vita vya mbali, deployment ya mbali sana ambayo hugharimu sana kijeshi.
Mi kama msoma comment nimeshindw kkuelewa kabisa, nimeridia 3times.Impact ya Hii vita ni hatujui. Lakini hata wewe ukiona Tanzania utaona uchumi utakavyokiwa.Hitler alianza hivihivi akaenda nchi ya kwanza wakamwachia alipoenda ya 2 wakamwachia walipoamka too late .Putin is very isolated now and very dangerous ana nuclear akifusha hiyo USA wana uwezo wa ku hi protect . protect wewe Tanzania utafanyaje msimfurahie
Mimi swali ninalojiuloiza kuwa akishalishinda jeshi la Ukraine itakuwaje? maana ndio kazi nzito iliyopo hapoMarekani hapo alikua anapigana vita vya mbali, deployment ya mbali sana ambayo hugharimu sana kijeshi, huyu Mrusi wenu kajirani kake hapo anafanya deployment ya all out na mpaka sasa ni ngonjera tu, Warusi wengi wanapata aibu maana walijua wako sawa kijeshi na walitembea kifua mbele siku zote, ila Putin kawatia aibu sana.
Hawa si uliwaita dhaifu?Ngoja tuone what next.
Kwani wewe nani hata maneno yako yamsumbue Putin?!He is a serial narcissistic controlling
Sadist .Century Hii anawaza ukoloni vita .Narcisstics tend to destroy themselves .Putin 8 days a go nilikuwa name ona very strong leader very colorful resume patriotic Kumbe he is a thug na a serial
Killer using his own people to do what he wants .Putin ameniacha hoi na anatishia nuclear very dangerous men
Mkuu embu acha kwanza tuoneshane makali, jeshi dhaifu lifahamike.Mimi swali ninalojiuloiza kuwa akishalishinda jeshi la Ukraine itakuwaje? maana ndio kazi nzito iliyopo hapo
Itabidi aweke serikali itakayotii matakwa yake na kuijenga UKRAINE? maana hii task ni ngumu sana kuliko kushinda vita, hasa ukiweka vikwazo na resistance waliyompa Ukraine
Nimemuona Zelensky jana na fomu ya kuomba uanachama wa EU na kaweka sahihi zake zote., ni wazi Putini hasikilizwi kwa chochote Ukraine ni nchi huru kujiunga ama kutokujiunga na NATO ni matwaka ya Ukraine wenyewe ataisoma namba soon vikwazo viendeleeRais Putin wa Russia kaeleza masharti yake juu ya kuimaliza vita yake inayoendelea na Ukraine wakati alipozungumza kwa simu jana na rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron. Mazungumzo hayo ya simu yalifanyika baada ya kikao cha mazungumzo ya amani kilichofanyika kati ya wajumbe wa Ukraine na Russia.
Putin kasisitiza kuwa amani nchini Ukraine itarejea tu kama madai ya msingi ya usalama wa Russia yatazingatiwa pasi na masharti yoyote, ikiwemo
Mkuu vita sio kitu rahisi kama unavyo dhani.Sasa special operation alisema ya masaa 24 ndio hiyo imelamba wiki, kwenye huu ugomvi Urusi imedhihirisha udhaifu mkubwa sana, kainchi jirani yake kamemsumbua licha ya yeye kutoka na all-out-war, Marekani hufanya deployment za nchi za mbali na anapiga huko hadi kunakalika.
Naona Urusi atapoteza sana soko la silaha maana wanunuzi wanafuatiilia kwa mbali uwezo wake.
Syria sio Ukraine, wala Ulaya hawakuwa na interest nayo sana kama Ukraine, kama unafananisha hii na Ukraine basi upo wrongMkuu embu acha kwanza tuoneshane makali, jeshi dhaifu lifahamike.
Hiyo habari ya kinachofuata, ikifika muda wake Putin atatuonesha kwa vitendo.
Hii sio mishen ya kwanza kutekelezwa na Putin. Kaweza kumtuliza madarakani Bashar Asad wa Syria (mbali na Russia) aliyetaka kuondolewa na Marekani ndio itakuwa hapo mlangoni kwake (Ukraine)
Sawa, ngoja kwanza tukamilishe ushindi wa mechi hii.Syria sio Ukraine, wala Ulaya hawakuwa na interest nayo sana kama Ukraine, kama unafananisha hii na Ukraine basi upo wrong
Hapa ana kazi nzito sana mbeleni baada ya vita kuisha hata kama atashinda
Masharti magumu sana hayo,ila kama Zelensky anataka kuendelea kukaa pale Ikulu akifurahia maisha,choice ni yake...Rais Putin wa Russia kaeleza masharti yake juu ya kuimaliza vita yake inayoendelea na Ukraine wakati alipozungumza kwa simu jana na rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron. Mazungumzo hayo ya simu yalifanyika baada ya kikao cha mazungumzo ya amani kilichofanyika kati ya wajumbe wa Ukraine na Russia.
Mmarekani kutoka kiberaSasa special operation alisema ya masaa 24 ndio hiyo imelamba wiki, kwenye huu ugomvi Urusi imedhihirisha udhaifu mkubwa sana, kainchi jirani yake kamemsumbua licha ya yeye kutoka na all-out-war, Marekani hufanya deployment za nchi za mbali na anapiga huko hadi kunakalika.
Naona Urusi atapoteza sana soko la silaha maana wanunuzi wanafuatiilia kwa mbali uwezo wake.
Uko sahihi Mkuu.Japo msimamo wangu ni kila nchi iwe huru kujiamulia mambo yake na Urusi hana haki ya kuamua maslahi ya Ukraine lakini sioni ulazima wa Ukraine kujiunga NATO kwa gharama ya kuhatarisha amani ya dunia, na pia sioni ulazima wa USA/NATO kuweka silaha zake Ukraine kwa gharama hiyo hiyo ya kuhatarisha amani ya dunia.
Vita ya mbali gani na wakati Marekani ana base kibao Middle East na pia washirika wake lukuki walioingia nae vitani wapo karibu na Iraq. Au kwa akili zako wadhani umbali wa kuruka kwa ndege toka UK/France ni sawa na umbali toka Kenya hadi Iraq?
Kama ni gharama sana nani alimtuma? Kwanza wewe nani hadi uzungumzie kuwa ni gharama sana? Ulichangia hata thumni kwenye kupeleka hao wanajeshi?
Mimi swali ninalojiuloiza kuwa akishalishinda jeshi la Ukraine itakuwaje? maana ndio kazi nzito iliyopo hapo
Itabidi aweke serikali itakayotii matakwa yake na kuijenga UKRAINE? maana hii task ni ngumu sana kuliko kushinda vita, hasa ukiweka vikwazo na resistance waliyompa Ukraine
hahaha una hasira sana ndugu shevchekhal putinkal kremlin..Vita ya mbali gani na wakati Marekani ana base kibao Middle East na pia washirika wake lukuki walioingia nae vitani wapo karibu na Iraq. Au kwa akili zako wadhani umbali wa kuruka kwa ndege toka UK/France ni sawa na umbali toka Kenya hadi Iraq?
Kama ni gharama sana nani alimtuma? Kwanza wewe nani hadi uzungumzie kuwa ni gharama sana? Ulichangia hata thumni kwenye kupeleka hao wanajeshi?