Sikirimimimasikini
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,926
- 15,634
- Thread starter
-
- #41
Marekani anaitwa huku narais wa Ukraine akaseti N-fly zone Ukraine ili kuzuia mashambulizi ya anga ya Mrusi. Mbona kakimbia huku Ikulu ya Marekani ikisema yaogopa kupigana vita na Russia?Hizo base ku-maintain sio mchezo, yaani hadi ziwe na uwezo wa kupiga taifa kubwa na kulisambaratisha, huo ni ubabe wa kipekee, na usisahau hupigana vita kadhaa kwa wakati mmoja tena mbali sana ya nchi yake.
Mkuu vita sio kitu rahisi kama unavyo dhani.
Hizo silaha za Urusi unazo ziita dhaifu ndizo zimeifanya Syria kuwa shinda waasi waliokuwa wanatumia silaha za kimagharibi ,silaha za Urusi ndizo zilimfanya Marekani aikimbie Vietnam.
Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
Acha kwanza tuoneshane makali, Timu Putin tunyakue ushindi.ha
hahaha una hasira sana ndugu shevchekhal putinkal kremlin..
Sawasawa...Marekani hakukimbia Vietnam kisa silaha, kilichomtoa huko ni hili kosa analolifanya Putin la kutaka kupigana na taifa lote wakiwemo wananchi. Marekani alijikuta anapigana na akina mabibi, mababu, watoto, n.k.
Yaani mnapita kijiji wakulima wanaojilimia hawana issue, ghafla mnashangaa hao wakulima wanageuka kuwa wapiganaji wanawafyatulia risasi za ghafla.
Wananchi wakishaaminishwa propaganda za kutosha na kupata mzuka, mbona utaomba poo maana hizo silaha zako watakua wanazikojolea, utaua wangapi, mamilioni ya watu kwenye nchi yao, vitongoji vyao, milima yao, mashamba yao, mito yao....
Mzee nenda kawaambie ndugu zako wasibake mbuzi.Hivi vita ni complicated, maana ataishia kupigana na Wa-Ukraine, sio jeshi tu, kadiri anavyozidi kushindwa kuiteka Kiev ndio raia wanazidi kuamini kumbe alikua nguvu ya soda na kupata ujasiri wa kujichimbia.
Hamna kitu kigumu kama kupigana na wananchi kwenye yao....
Sasa special operation alisema ya masaa 24 ndio hiyo imelamba wiki, kwenye huu ugomvi Urusi imedhihirisha udhaifu mkubwa sana, kainchi jirani yake kamemsumbua licha ya yeye kutoka na all-out-war, Marekani hufanya deployment za nchi za mbali na anapiga huko hadi kunakalika.
Naona Urusi atapoteza sana soko la silaha maana wanunuzi wanafuatiilia kwa mbali uwezo wake.
Marekani anaitwa huku narais wa Ukraine akaseti N-fly zone Ukraine ili kuzuia mashambulizi ya anga ya Mrusi. Mbona kakimbia huku Ikulu ya Marekani ikisema yaogopa kupigana vita na Russia?
View attachment 2135078
Mzee wewe katika mambo haya ungeyaacha tu. Nenda kawadanganya wakikuyu wenzako kibera. By the way umekula!?Marekani hana nia ya kuingilia vita maana uhusika wake utasababisha alaaniwe na dunia yote kwa vile vita baina ya Marekani na Urusi vitavuruga kote mpaka kuwakuta hapo Uswahili, maana Mrusi hatakawia kuachia makombora ya nyuklia bila kujali yatapiga wapi, kwamba atakua anajitoa mhanga. Kumbuka Mrusi na Marekani walishaingia mkataba wa Mutual Assured Destruction (MAD)
kwa sasa kikubwa ni Ukraine kuendelea kumuaibisha Urusi aliyeaminisha dunia atamaliza mchezo ndani ya dakika 24
Pengine ulikuwa Mdogo vita vya Iraq ama unaamua makusudi kudanganya.Sasa special operation alisema ya masaa 24 ndio hiyo imelamba wiki, kwenye huu ugomvi Urusi imedhihirisha udhaifu mkubwa sana, kainchi jirani yake kamemsumbua licha ya yeye kutoka na all-out-war, Marekani hufanya deployment za nchi za mbali na anapiga huko hadi kunakalika.
Naona Urusi atapoteza sana soko la silaha maana wanunuzi wanafuatiilia kwa mbali uwezo wake.
Kwanini vivuruge? Urusi si umesema hana kitu? Kwamba Taifa Kubwa kama Us si masaa 24 tu linaipiga Urusi?Marekani hana nia ya kuingilia vita maana uhusika wake utasababisha alaaniwe na dunia yote kwa vile vita baina ya Marekani na Urusi vitavuruga kote mpaka kuwakuta hapo Uswahili, maana Mrusi hatakawia kuachia makombora ya nyuklia bila kujali yatapiga wapi, kwamba atakua anajitoa mhanga. Kumbuka Mrusi na Marekani walishaingia mkataba wa Mutual Assured Destruction (MAD)
kwa sasa kikubwa ni Ukraine kuendelea kumuaibisha Urusi aliyeaminisha dunia atamaliza mchezo ndani ya dakika 24
So unataka afanye maanganizi? Akili ndogo sana. Ulimwengu wote unafaham kuwa Russia ana silaha za nyuklia. So unataka azitumie? Attacks za mabom ya kawaida tu...yameleta madhara makubwa
Kwanini vivuruge? Urusi si umesema hana kitu? Kwamba Taifa Kubwa kama Us si masaa 24 tu linaipiga Urusi?
Chanzo: BBCHivi vita ni complicated, maana ataishia kupigana na Wa-Ukraine, sio jeshi tu, kadiri anavyozidi kushindwa kuiteka Kiev ndio raia wanazidi kuamini kumbe alikua nguvu ya soda na kupata ujasiri wa kujichimbia.
Hamna kitu kigumu kama kupigana na wananchi kwenye yao....
Hiv nyie wakenya mna matatizo Gani?Sasa special operation alisema ya masaa 24 ndio hiyo imelamba wiki, kwenye huu ugomvi Urusi imedhihirisha udhaifu mkubwa sana, kainchi jirani yake kamemsumbua licha ya yeye kutoka na all-out-war, Marekani hufanya deployment za nchi za mbali na anapiga huko hadi kunakalika.
Naona Urusi atapoteza sana soko la silaha maana wanunuzi wanafuatiilia kwa mbali uwezo wake.
Hiv nyie wakenya mna matatizo Gani?
Na isingekuwa nyie na ubaraka na upumbavu wenu East Africa yote kuanzia Uganda,Tz na Kenya tungekuwa mbali sana kimaendeleo...
Acheni ubaraka wa magharibi ndo wanafanya East Africa iwe hivi maskini Hadi leo
Mpaka sasa karibu miji yote imetwaliwa. Endeleeni kujidanganyaChanzo: BBCView attachment 2135093
Nendeni mkanye vichakani kwanzaJikite kwenye mada, nyie timu Putin naona mumeishiwa jamaa kawaibisha sana yule, masaa 24 imekua zaidi ya wiki na bado kamasi linamtoka.