Putin atoa masharti yake ya kumaliza vita yake na Ukraine, na hivyo kuondoa majeshi yake kwenye nchi hiyo

Wewe muongo, thibitisha iraq alijiaandaje kwa vita? Nchi mbili USA na UK ziliungana kumpiga unasema alijiandaa??
Sasa kupigwa na watu wawili ndio nini Iraq walijuwa kuwa watavamiwa lakini Ukraine hata kuorganize jeshi hakufanikiwa
 
We endelea kunywa mataputapu huko kwa bibi yako kijijini Ling'onyoka huna ujualo kuhusu Russia pia aliyebinywa makende ni baba mpumbav weye yaani unamtukana role model wangu kizembe hivi? Nyambaf.
 
Masaa 24 unaenda kukomboa mateka sehemu au unaenda kuvamia nchi?.acha kuwa na akili ndogo
Putin ndio alipanga hivyo matokeo yake anavuliwa nguo! Kijana wa ze comedy ameamua kukaza na uzuri wananchi wamemuunga mkono kwa kupambana mpaka dakika ya mwisho
 
Wananchi wameauma kusimama na taifa lao kupinga uvamizi. Hata akifanikiwa kufika Kiev bado wanajeshi wake watapata tabu maana wananchi wamekabidhiwa silaha kujilinda.
 
Ukraine kumbe sio ya mchezo.
Jamaa wamejaa ujasiri sana na moyo mkuu wa kulinda nchi yao.
 
Leo amezuia raia kuhamisha pesa
 
Naongea kuhusu matamko ya huyo Putin, mwenyewe alianza kwa kusema ni special operation ya masaa 24, leo imeshindikana, hawezi kugeuza na pia kuingia ndani imekua mtihani.
Kadiri anavyo onyesha kulemewa ndivyo watu wa Ukrane wanapata mzuka.
Ugali una kawaida ya kupunguza uwezo wa kufikiri na kuelewa...usitumie nguvu nyingi ndg zangu nawajua
 
Tokea jumapili unaambiwa msafara wa kilometers 64 wa kijeshi wa urusi upo kilometers 20 tu kufika Kiev sasa sijui umenata kuingia Mjini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…