Abu Ubaidah Commando
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 7,591
- 6,946
Putin Kidume Haswaaa
Tena co kidogo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Putin Kidume Haswaaa
Kwamba kuna utajiri ukifikia huwezi filisika au unazungumzia kipi kwama wewe sio shabiki mkate bro..?hujui nguvu ya hivyo vikwazo mzee yani gharama za vita alafu nyuma vikwazo man..!
Sasa kupigwa na watu wawili ndio nini Iraq walijuwa kuwa watavamiwa lakini Ukraine hata kuorganize jeshi hakufanikiwaWewe muongo, thibitisha iraq alijiaandaje kwa vita? Nchi mbili USA na UK ziliungana kumpiga unasema alijiandaa??
Kwamba kuna utajiri ukifikia huwezi filisika au unazungumzia kipi kwama wewe sio shabiki mkate bro..?hujui nguvu ya hivyo vikwazo mzee yani gharama za vita alafu nyuma vikwazo man..!
Mbona hawataki kuweka vikwazo kwenye mafuta na gesi, wanaogopa niniVikwazo alishawekewa kitambo na hakutetereka 😁
Hizi ndio akili za mtu mweusi! Anamcheka mwenzake kwa umasikini wakati na yeye nyumbani kwake kuna umasikini wa kutisha! Hivi Kenya na Tz kuna tofauti gani?!
We endelea kunywa mataputapu huko kwa bibi yako kijijini Ling'onyoka huna ujualo kuhusu Russia pia aliyebinywa makende ni baba mpumbav weye yaani unamtukana role model wangu kizembe hivi? Nyambaf.Putin kishaminywa makende anatafuta pa kutokea na inaonekana hakujiandaa kiuchumi, ukiona central bank wameanza kuhaha ujue kinachofuata ni vita ya ndani, nasikia wamepandisha interest rate to 20% kutoka 9% na international bank zote sasa ni useless kutokana na sanctions alizopigwa, subiri warusi waanze kubeba pesa kwenye matoroli kwenda kununua mikate ndio utajua tumbo halina uzalendo
Putin ndio alipanga hivyo matokeo yake anavuliwa nguo! Kijana wa ze comedy ameamua kukaza na uzuri wananchi wamemuunga mkono kwa kupambana mpaka dakika ya mwishoMasaa 24 unaenda kukomboa mateka sehemu au unaenda kuvamia nchi?.acha kuwa na akili ndogo
Angalia kwa akili zako unajua Tanzania ni Daressalam tuUnaishi tandale maeneo gani babaa,,,au gongolamboto nini?
Mkuu mpe tu nafasi ya kumrushia kokoto Putin😅Mzee nenda kawasaidie ndugu zako maji ya kunywa
Wananchi wameauma kusimama na taifa lao kupinga uvamizi. Hata akifanikiwa kufika Kiev bado wanajeshi wake watapata tabu maana wananchi wamekabidhiwa silaha kujilinda.Mkuu vita sio kitu rahisi kama unavyo dhani.
Hizo silaha za Urusi unazo ziita dhaifu ndizo zimeifanya Syria kuwa shinda waasi waliokuwa wanatumia silaha za kimagharibi ,silaha za Urusi ndizo zilimfanya Marekani aikimbie Vietnam.
Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
Masharti hayatekelezekiNgoja tuone what next.
Ukraine kumbe sio ya mchezo.Sasa special operation alisema ya masaa 24 ndio hiyo imelamba wiki, kwenye huu ugomvi Urusi imedhihirisha udhaifu mkubwa sana, kainchi jirani yake kamemsumbua licha ya yeye kutoka na all-out-war, Marekani hufanya deployment za nchi za mbali na anapiga huko hadi kunakalika.
Naona Urusi atapoteza sana soko la silaha maana wanunuzi wanafuatiilia kwa mbali uwezo wake.
Leo amezuia raia kuhamisha pesaPutin kishaminywa makende anatafuta pa kutokea na inaonekana hakujiandaa kiuchumi, ukiona central bank wameanza kuhaha ujue kinachofuata ni vita ya ndani, nasikia wamepandisha interest rate to 20% kutoka 9% na international bank zote sasa ni useless kutokana na sanctions alizopigwa, subiri warusi waanze kubeba pesa kwenye matoroli kwenda kununua mikate ndio utajua tumbo halina uzalendo
Usichukulie kila kitu serious mazee, hawa nyang'au wa humu jf ni watani zetu...relax.Hizi ndio akili za mtu mweusi! Anamcheka mwenzake kwa umasikini wakati na yeye nyumbani kwake kuna umasikini wa kutisha! Hivi Kenya na Tz kuna tofauti gani?!
View attachment 2135318
Ugali una kawaida ya kupunguza uwezo wa kufikiri na kuelewa...usitumie nguvu nyingi ndg zangu nawajuaNaongea kuhusu matamko ya huyo Putin, mwenyewe alianza kwa kusema ni special operation ya masaa 24, leo imeshindikana, hawezi kugeuza na pia kuingia ndani imekua mtihani.
Kadiri anavyo onyesha kulemewa ndivyo watu wa Ukrane wanapata mzuka.