Putin atoa masharti yake ya kumaliza vita yake na Ukraine, na hivyo kuondoa majeshi yake kwenye nchi hiyo

Putin atoa masharti yake ya kumaliza vita yake na Ukraine, na hivyo kuondoa majeshi yake kwenye nchi hiyo

Wewe muongo, thibitisha iraq alijiaandaje kwa vita? Nchi mbili USA na UK ziliungana kumpiga unasema alijiandaa??
Sasa kupigwa na watu wawili ndio nini Iraq walijuwa kuwa watavamiwa lakini Ukraine hata kuorganize jeshi hakufanikiwa
 
Mzee nenda kawasaidie ndugu zako maji ya kunywa
View attachment 2134951View attachment 2134952
Hizi ndio akili za mtu mweusi! Anamcheka mwenzake kwa umasikini wakati na yeye nyumbani kwake kuna umasikini wa kutisha! Hivi Kenya na Tz kuna tofauti gani?!

F7A22E49-2A83-49F7-B941-E99FA0905A71.jpeg
 
Putin kishaminywa makende anatafuta pa kutokea na inaonekana hakujiandaa kiuchumi, ukiona central bank wameanza kuhaha ujue kinachofuata ni vita ya ndani, nasikia wamepandisha interest rate to 20% kutoka 9% na international bank zote sasa ni useless kutokana na sanctions alizopigwa, subiri warusi waanze kubeba pesa kwenye matoroli kwenda kununua mikate ndio utajua tumbo halina uzalendo
We endelea kunywa mataputapu huko kwa bibi yako kijijini Ling'onyoka huna ujualo kuhusu Russia pia aliyebinywa makende ni baba mpumbav weye yaani unamtukana role model wangu kizembe hivi? Nyambaf.
 
Masaa 24 unaenda kukomboa mateka sehemu au unaenda kuvamia nchi?.acha kuwa na akili ndogo
Putin ndio alipanga hivyo matokeo yake anavuliwa nguo! Kijana wa ze comedy ameamua kukaza na uzuri wananchi wamemuunga mkono kwa kupambana mpaka dakika ya mwisho
 
Mkuu vita sio kitu rahisi kama unavyo dhani.
Hizo silaha za Urusi unazo ziita dhaifu ndizo zimeifanya Syria kuwa shinda waasi waliokuwa wanatumia silaha za kimagharibi ,silaha za Urusi ndizo zilimfanya Marekani aikimbie Vietnam.


Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
Wananchi wameauma kusimama na taifa lao kupinga uvamizi. Hata akifanikiwa kufika Kiev bado wanajeshi wake watapata tabu maana wananchi wamekabidhiwa silaha kujilinda.
 
Sasa special operation alisema ya masaa 24 ndio hiyo imelamba wiki, kwenye huu ugomvi Urusi imedhihirisha udhaifu mkubwa sana, kainchi jirani yake kamemsumbua licha ya yeye kutoka na all-out-war, Marekani hufanya deployment za nchi za mbali na anapiga huko hadi kunakalika.

Naona Urusi atapoteza sana soko la silaha maana wanunuzi wanafuatiilia kwa mbali uwezo wake.
Ukraine kumbe sio ya mchezo.
Jamaa wamejaa ujasiri sana na moyo mkuu wa kulinda nchi yao.
 
Putin kishaminywa makende anatafuta pa kutokea na inaonekana hakujiandaa kiuchumi, ukiona central bank wameanza kuhaha ujue kinachofuata ni vita ya ndani, nasikia wamepandisha interest rate to 20% kutoka 9% na international bank zote sasa ni useless kutokana na sanctions alizopigwa, subiri warusi waanze kubeba pesa kwenye matoroli kwenda kununua mikate ndio utajua tumbo halina uzalendo
Leo amezuia raia kuhamisha pesa
 
Naongea kuhusu matamko ya huyo Putin, mwenyewe alianza kwa kusema ni special operation ya masaa 24, leo imeshindikana, hawezi kugeuza na pia kuingia ndani imekua mtihani.
Kadiri anavyo onyesha kulemewa ndivyo watu wa Ukrane wanapata mzuka.
Ugali una kawaida ya kupunguza uwezo wa kufikiri na kuelewa...usitumie nguvu nyingi ndg zangu nawajua
 
Tokea jumapili unaambiwa msafara wa kilometers 64 wa kijeshi wa urusi upo kilometers 20 tu kufika Kiev sasa sijui umenata kuingia Mjini?
 
Back
Top Bottom