bobby_Barbosa_9
JF-Expert Member
- Jul 29, 2019
- 631
- 1,268
Uko sahihi mkuu,Sio kweli., baada ya kumkabili osama bin laden hawakuwa tena na issue ya kufanya zaidi ya kuikalia ile nchi kijeshi lakini lengo lake likiwa limetimia kitamboo ndio mana biden kaona bora warudishe majeshi yao Afghan wajitawale wenyewe kwenye nchi yao tofauti na malengo ya russia Ukraine
Bahati mbaya sisi huku Africa hatuna tunachoweza kufanya zaidi ya kusubiri tu wakubwa waamue wanapigana au la.Vita ni noma ndugu yangu tumuombe MUNGU aviepushe! Kuna kila aina ya ukatili na uovu na machungu ya ajabu!
Tufikirie watoto wetu kabla yakufanya maamuzi ya kibinafsi!
Mpk Sasa wameshachukua eneo lenye ukubwa wa kmsq 125,000Eneo la Ukraine lilishikiliwa na Russia hadi muda huu inathibitisha kabisa Ukraine mashambulizi yameulemea licha ya kua anapewa msaada inaonekana hata huo msaada wenyewe anaopewa hawezi kuutumia kujikomboa hii vita imemuelemea anyooshe mikono juu au aendlee kuwa mkaidi asubiri nchi yote iwe chini ya Russia
Em tujuze akinyoosha mkono nini kitatokea after? Maana unaweza kuongea hivi Kama unajua malengo ya Putin.Eneo la Ukraine lilishikiliwa na Russia hadi muda huu inathibitisha kabisa Ukraine mashambulizi yameulemea licha ya kua anapewa msaada inaonekana hata huo msaada wenyewe anaopewa hawezi kuutumia kujikomboa hii vita imemuelemea anyooshe mikono juu au aendlee kuwa mkaidi asubiri nchi yote iwe chini ya Russia
😄😄 Mmetoka kupigwa na wavaa MAKUBAZI wa Afghanistan,kwani walikua wanatumia Silaha Hani mzito?😄😄Wewe huna pesa alafu unasema nina siraha za kuitishia dunia. 😁😁
Ukraine apewe siraha nzitonzito nayeye akaue raia wa urusi na kuharibu makazi yao na shughuli zao kama raia wake wanavyouliwa kwenye nchi yao.
Ninafarijika saaaana kuona wazungu nao Ni wakimbizi, asante Sana mh. Putin.Wanateseka sana jamaa[emoji22][emoji22][emoji22]View attachment 2251622
Sent using Jamii Forums mobile app
Naamini kuwa Ukraine foreigners wakutosha katika nyanja zote za kuvuta, ndo maana kaweza ku resist mpaka muda huu.Hawajapeleka long range misiles na sifikirii kama watakuwa na ujasiri wa kupeleka.
Sijaona kama amepeleka wanajeshi kuilinda Ukraine,..kwanini unadhani wanaogopa kupeleka wanajeshi?
Ahahahah[emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa ubalozi umemkosea nn
Waambie UKRAINE wakafiche silaha hapo ubalozini kama hujaona majivu tuuu!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama Hadi muda huu hujui lengo la Putin ni lipi huna tofauti na kondooEm tujuze akinyoosha mkono nini kitatokea after? Maana unaweza kuongea hivi Kama unajua malengo ya Putin.
Hahahaha hawa vijana wa 2000s akili wameweka mfukoni, sijui wamepewa nini na putinKwa hiyo Urusi inaweza kuzichakaza vibaya nchi zote za NATO? Na yenyewe ikabaki imesimama imara na Putin akuwa anaendelea kuwa Rais wa Urusi?
Sawa binadamu ndio utujuze sasa sisi kondoo[emoji3]Kama Hadi muda huu hujui lengo la Putin ni lipi huna tofauti na kondoo
Hawa vijana na story zao za vijiweni.. Hawa ndio wale wanasemaga Russia ana bomu likipiga marekan ardhi inajifunika[emoji16]Hahahaha hawa vijana wa 2000s akili wameweka mfukoni, sijui wamepewa nini na putin
Huhitaji kuwa na elimu ya chuo kikuu kujua kwamba,hakuna nchi yoyote chini ya jua inayoweza kupigana na jumuiya ya NATO na ikashinda. Kuna watu watakuja kutoa mfano wa Afghanistan hapa,niwaambie tu kuwa vita ya Marekani na Afghanistan iliyokuwa inaongozwa Taliban, alipgana Bush baada tukio la September 11, 2002, akiwaunga mkono Northern alliance waliokuwa wanapgana na Taliban. Na hao Taliban walishindwa vibaya sana wakiwa chini ya kiongozi wao Mullah Omar. Wanaujua vzr mziki wa dege la kimarekani aina ya B52 lilivyokuwa linafumua mahandaki huko Tolabora na Kandahar. Kuondoka kwa Marekani Afghanistan kwanza nikwa sababu za kisiasa(Democrat vs Republican) ndani ya Marekani. Pia usaliti ndani ya serikali yenyewe ya Afghanistan baada ya Marekani kuanza kupunguza na kuondoa vikosi vyake nchini Afghanistan.Hahahaha hawa vijana wa 2000s akili wameweka mfukoni, sijui wamepewa nini na putin
Silaha zisizojulikana?Hazina jina?Watu wanaona Kama masihara hivi lakini Kuna silaha ukiachana na nuclear Russia anazo
Kuandika tu hawajui, ushabiki umewajaa hawa vijana.Mtu unaita silaha 'siraha' halafu eti na wewe unafanya uchambuzi wa vita vya ulaya huko.
Bure kabisa
Ule msululu wa vifaru na armed cars Kama sio Javellin Hali ingekuwa mbaya sanaNi kama Javelin ilivyoharibu mipango ya Urusi
Tuambie ambazo hawazionyeshi[emoji2]Unafikili wanzionyesha zote wewe kiazi mbatata??
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] Democrats hoksUnawajua kgb !? Kamuulize baba Yako Biden analijua vizuri Hilo shirika .. kama watu waliweza kuhack uchaguzi mkuu wa USA na kumuweka Trump madarakani Hawa wezi kupata Siri za kijeshi linalo husu taifa pinzani