Una maisha magumu nini nduguHuyo jamaa wa urusi , sijui ndio putin au nan? Au vyovyote anavyoitwa
Nasikia ana bomu la nyuklia la kulipua dunia nzima si alilipue tu mchezo uishe, tufe wote duniani
Ningekuwa huyo jamaa sasa hiv ningekuwa nimeshalifyatua tear na nikijua lipo wapi? Naenda kulilipua ili watu wote duniani tufe tu, sasa tunafanya nn? Hapa duniani
Kuna baadhi ya wapumbavu wanafanya hii dunia kama yao yaani, wanachoamua wao ndio kiwe, haiwezekani bora tufe wote Mungu aamue kama ataanzisha viumbe vingine au laaahUna maisha magumu nini ndugu
Fanya uende milembe ukamuone bingwa wa tiba na afya ya akili aloooo...Huyo jamaa wa urusi , sijui ndio putin au nan? Au vyovyote anavyoitwa
Nasikia ana bomu la nyuklia la kulipua dunia nzima si alilipue tu mchezo uishe, tufe wote duniani
Ningekuwa huyo jamaa sasa hiv ningekuwa nimeshalifyatua tear na nikijua lipo wapi? Naenda kulilipua ili watu wote duniani tufe tu, sasa tunafanya nn? Hapa duniani
Acha kupenda ugali wewe , usiogope kufa… acha dunia ilipuliwe tufeFanya uende milembe ukamuone bingwa wa tiba na afya ya akili aloooo...
Kwa hiyo nikikuvalisha grunet uende sehemu ukalipue utaenda ?Sasa kwa maisha haya unasubiri nn? Sasa
Hakuna cha kusubirPole sana
Hakuna cha kusubirPole sana
mapema tuPole sana
Haya mabiti hata kwa S2kizzy mbona yapo
Mbwa Koko anaweka😂😂
Hhhhhhhhh ndo mana hujawa wewe sasa former kgb spy Vladimir Vladimirovich PutinNingekuwa huyo jamaa sasa hiv ningekuwa nimeshalifyatua tear na nikijua lipo wapi? Naenda kulilipua ili watu wote duniani tufe tu, sasa tunafanya nn? Hapa duniani
Mkuu, una akili za kigaidi kama... Mbona zipo njia nyingi za kujiua wewe mwenyewe?. Badala ya kusubiri nuke ya Rusia na uuwe halaiki na watoto wadogo ambao hawajui chochote.Acha kupenda ugali wewe , usiogope kufa… acha dunia ilipuliwe tufe
Umeona anachopambana nacho Trump. Kwa akili hizi za kigaidi hawapaswi kumiliki silaha hatari.Fanya uende milembe ukamuone bingwa wa tiba na afya ya akili aloooo...
Hiyo bangi ya usambaa ni mbaya kuliko zote na kwa bahati nzuri hao wenye hizo nyuklia hawaivuti katu.Huyo jamaa wa urusi , sijui ndio putin au nan? Au vyovyote anavyoitwa
Nasikia ana bomu la nyuklia la kulipua dunia nzima si alilipue tu mchezo uishe, tufe wote duniani
Ningekuwa huyo jamaa sasa hiv ningekuwa nimeshalifyatua tear na nikijua lipo wapi? Naenda kulilipua ili watu wote duniani tufe tu, sasa tunafanya nn? Hapa duniani
Acha uogaHiyo bangi ya usambaa ni mbaya kuliko zote na kwa bahati nzuri hao wenye hizo nyuklia hawaivuti katu.
What will a man gain if he destroys the whole world and eventually forfeits his own soul..!!??😛😛
After all God said no any human being who can destroy the miracle he created with his own hands.
So your wish will ever remain a reverie.
Baadhi ya wajinga wanafanya dunia kama yao inaudhi mkuuMkuu, una akili za kigaidi kama... Mbona zipo njia nyingi za kujiua wewe mwenyewe?. Badala ya kusubiri nuke ya Rusia na uuwe halaiki na watoto wadogo ambao hawajui chochote.