Putin atoa onyo ole wake atakayethubutu kuchukua uranium ya Iran bila ruhusa ,,kumekucha!

Putin atoa onyo ole wake atakayethubutu kuchukua uranium ya Iran bila ruhusa ,,kumekucha!

Huyo jamaa wa urusi , sijui ndio putin au nan? Au vyovyote anavyoitwa

Nasikia ana bomu la nyuklia la kulipua dunia nzima si alilipue tu mchezo uishe, tufe wote duniani

Ningekuwa huyo jamaa sasa hiv ningekuwa nimeshalifyatua tear na nikijua lipo wapi? Naenda kulilipua ili watu wote duniani tufe tu, sasa tunafanya nn? Hapa duniani

Unabii wa Bikira Maria huko Fatima Ureno mwaka 1917 ni kwamba kipindi cha nusu ya pili ya karne ya 21, kuna bomu litapigwa na litaangamiza theluthi 1 ya wanadamu wote. Na baada ya hapo Dunia itaingia kwenye utaratibu mpya kabisa wa maisha.

Kisha haitapita muda mrefu, kutatokea tetemeko litakaloitikisa Dunia kwa masaa 8 mfululizo na kuifanya Dunia kuyumba kwa 23 degrees. Kisha litafuatia giza la masaa 72 ambapo hakuna chombokitakachotoa mwanga isupokuwa mishumaa iliyobarikiwa tu.

Pua alisema kuwa umoja wa Urusi utasambaratika 1991 kwa sababu wameuacha uoendo wa Kristo na kueneza chuki, na kweli ilitokea.

Bila shaka hilo bomu litakaloangamiza theluthi 1 ya wanadamu wote litakuwa la nuclear.
 
Nashukuru mkuu maono kama haya nayapenda sanaa, niandikie vifungu vizuri nikavitafute kwenye biblia

Lipigwe tu hilo bomu na nafikiri mimi ndio nitaenda kulifyatua kama hao warusi wanaogopa kulifyatua
 
Ninavyo
Hhhhhhhhh ndo mana hujawa wewe sasa former kgb spy Vladimir Vladimirovich Putin
Ninavyojua ipo siku isiyo na jina mwamba atachoka ujinga ujinga atalilipua tu wewe subiri tu, utakuja hapa kunambia kipindi tumeshakufa wote dunia nzima
 
Mkuu, una akili za kigaidi kama... Mbona zipo njia nyingi za kujiua wewe mwenyewe?. Badala ya kusubiri nuke ya Rusia na uuwe halaiki na watoto wadogo ambao hawajui chochote.
Mkuu kinachoendelea duniani ni icho wajinga wajinga wanaingia vitani wanaua watoto na wanawake sasa si bora tufe wote tu au hauoni au hausikii mauaji huko
 
Sidhani kama kuna mtu saizi anamuogopa Putin. Putin kawa kama rais wa nchi yoyote ya ulimwengu wa tatu
 
Putin kwa mikwara mbuzi huwa yuko mbele sana. Sasa anapiga biti sahivi wakati Iran kala kichapo mara 2 zote alikuwa wapi mpaka babu wa watu Khaminei anauwawa?
 
Back
Top Bottom