Putin atoa onyo ole wake atakayethubutu kuchukua uranium ya Iran bila ruhusa ,,kumekucha!

Huyo jamaa wa urusi , sijui ndio putin au nan? Au vyovyote anavyoitwa

Nasikia ana bomu la nyuklia la kulipua dunia nzima si alilipue tu mchezo uishe, tufe wote duniani

Ningekuwa huyo jamaa sasa hiv ningekuwa nimeshalifyatua tear na nikijua lipo wapi? Naenda kulilipua ili watu wote duniani tufe tu, sasa tunafanya nn? Hapa duniani
 
Una maisha magumu nini ndugu
 
Fanya uende milembe ukamuone bingwa wa tiba na afya ya akili aloooo...
 
Hiyo ruhusa anayosema Putin inapatikana Moscow au Tehran?

Maana sasa hivi huwezi kujua nani ni bosi wa mwenzake kati ya Putin na Khamenei.
 
Putin chui wa kuchora. Marehemu Khamenei (sijui kama nimepatia jina la marehemu gaidi) aliwahi kusema kuwa "tusiwaamini sana Urusi, kwani bado ni waaminifu kwa mayahudi". Mzee aliona mbali. Simu moja tu ya Netanyahu, Putin hoi.
 
Hiyo bangi ya usambaa ni mbaya kuliko zote na kwa bahati nzuri hao wenye hizo nyuklia hawaivuti katu.

What will a man gain if he destroys the whole world and eventually forfeits his own soul..!!??๐Ÿ˜›๐Ÿ˜›

After all God said no any human being who can destroy the miracle he created with his own hands.

So your wish will ever remain a reverie.
 
Acha uoga
 
Mkuu, una akili za kigaidi kama... Mbona zipo njia nyingi za kujiua wewe mwenyewe?. Badala ya kusubiri nuke ya Rusia na uuwe halaiki na watoto wadogo ambao hawajui chochote.
Baadhi ya wajinga wanafanya dunia kama yao inaudhi mkuu

Mtu akisema kauli kama Izo mnashtuka kwa uoga wenu wa kuogopa kufa

Ila wajinga wachache naanzisha magonjwa na kuyasambaza mnawaona wazuri, alaf wanatengeneza dawa kuja kutoa misaada kwa mikopo mikubwa

Ukweli kwamba nikijua ilo bomu lilipo naenda kulifyatua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ