mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Rais Putin wa Urusi ameuponda mfumo wa ulinzi wa anga wa marekani ambao utapelekwa ukraine. Amesema ni mfumo wa kizamani na mwarobaini wake upo. Asema hauwezi hata kuufikia mfumo wa S300 wa Urusi, achilia mbali baba lao S400. Na ujue Urusi ana pia S500 ambayo hiyo haiuzi ni kwa ajili ya matumizi yake tu!
Kuna mfumo wa NASAMS toka marekani ulisifiwa sana wakati unapelekwa ukraine lakini haukufua dafu bado miundo mbinu muhimu ya ukraine/Critical infrastructure inaharibiwa mara kwa mara na makombora na drones za urusi. Pia Ujerumani ilipeleka air defense yake huko ukraine iitwayo IRIS-T defense system aliyosifia sana na pia haikufua dafu wala haikupunguza kilio cha Zelensyky kuomba omba air defense nzuri zaidi.
Na sasa hivi hutasikia wanazisifia! Kwa hiyo hata hizo Patriot system za toka enzi ya vita vya ghuba baada ya kitambo kidogo hazitasikika bali kilio cha kipigo ndicho kitasikika zaidi!!
Russian President Vladimir Putin said on Thursday the Patriot air defense that the United States is supplying to Ukraine was an old weapons system that Russia would be able to counter.
Putin told reporters that the Patriot was “quite old” and did not work like Russia’s S-300 system.
”OK, we will take this into account and an antidote will always be found,” he said.