Jackal
JF-Expert Member
- Apr 10, 2012
- 9,971
- 13,608
Propaganda za magharibi;Umedanganywa na propaganda za magharibi. Putin keshateka eneo kubwa la ukraine na kulimeza rasmi kuwa limekuwa sehemu ya Urusi halafu unasema amedharaulika!! Mshindi huwa anateka!! Pia Putin anapigana na NATO yote na wanashangaa amewezaje kustahimili pamoja na vikwazo vyote hivyo!! Wao ndo wanalia hali mbaya ya kiuchumi na kila leo maandamano kama yanavyoendelea huko uingereza!!
Putin kachukua ikulu ya Kyiv,Zelensky sio tena raisi wa Ukraine baada ya msafara wa vifaru wa kilometa 64 kuingia Kyiv miezi 9 iliyopita🤔