Putin aziponda Patriot missile air defense, asema ni mfumo wa kizamani na mwarobaini wake upo

Hiyo ni ndoto ya mchana!! Marekani haamini kuona urusi haiishiwi silaha mataifa mengi ya magharibi yameshaanza kukiri kuishiwa silaha!! Patriot ni karata yake ya mwisho na kwa kawaida ukitembelea karata ya mwisho au gia ya mwisho kinachobakia hapo ni kusubiri majanga!! Hakuna air defense nyingine kwa marekani anayoitegemea zaidi ya Patriot ambayo imeshindwa kuhakikisha ulinzi wa visima vya mafuta vya Saudi Arabia dhidi ya waasi wa Yemen!! Wakati kwa Urusi, mbali na S300 inayotamba, pia kuna S400, na S500 ambayo hajaiweka sokoni ni kwa ajili ya Urusi tu!!
Yani ukiacha Patriot Marekani hana air defense nyingine?! Are u sure Bro!!?

Unaijua THAAD wewe?! Hii kitu Rada yake inaona mpk 2000km. Muulize mchina kwanini alikua analalama mpk kuiwekea South Korea vikwazo vya kibiashara baada ya Marekani kuweka THAAD pale SK.

THAAD Inatumia Teknolojia ya Hit to kill ambayo Russia ameiweka pia kwenye system Yao mpya ya S-500.
 
Rais Putin wa Urusi ameuponda mfumo wa ulinzi wa anga wa marekani ambao utapelekwa ukraine. Amesema ni mfumo wa kizamani na mwarobaini wake upo. Asema hauwezi hata kuufikia mfumo wa S300 wa Urusi, achilia mbali baba lao S400. Na ujue Urusi ana pia S500 ambayo hiyo haiuzi ni kwa ajili ya matumizi yake tu!

Kuna mfumo wa NASAMS toka marekani ulisifiwa sana wakati unapelekwa ukraine lakini haukufua dafu bado miundo mbinu muhimu ya ukraine/Critical infrastructure inaharibiwa mara kwa mara na makombora na drones za urusi. Pia Ujerumani ilipeleka air defense yake huko ukraine iitwayo IRIS-T defense system aliyosifia sana na pia haikufua dafu wala haikupunguza kilio cha Zelensyky kuomba omba air defense nzuri zaidi.

Na sasa hivi hutasikia wanazisifia! Kwa hiyo hata hizo Patriot system za toka enzi ya vita vya ghuba baada ya kitambo kidogo hazitasikika bali kilio cha kipigo ndicho kitasikika zaidi!!

Russian President Vladimir Putin said on Thursday the Patriot air defense that the United States is supplying to Ukraine was an old weapons system that Russia would be able to counter.

Putin told reporters that the Patriot was “quite old” and did not work like Russia’s S-300 system.

”OK, we will take this into account and an antidote will always be found,” he said.
Kweli kabisa!
 
Hivi unavyodhani urusi inatumia makombora ya scud ya toka miaka ya 60? Hayo makombora ndiyo aliyokuwa ana uwezo nayo Sadam Hussein kuyanunua!! Ndio maana Putin anasema Patriot ni mfumo wa kizamani sana toka enzi ya vita vya Ghuba!!
Unadhani utaeleweka?
 
Hizo ni propaganda za Ukraine!! Unajua Ukraine anazo pia hizo S300 kutokea enzi za Soviet. Kwa hiyo ana manaki mengi tu ya S300 ndizo alionesha na kudai ametungua za Urusi. Unakumbuka hata kombora la S300 lililoshindwa kukabiliana na missile za urusi lilienda kuangukia Paland na Zelensky akasema hiy ni S300 za Urusi, na mwisho wa siku ikabainika ni za Ukraine. Urusi ndiye aliyeziunda na anajua namna ya kuzi-disable!! Ndio maana japo alikuwa nazo nyingi hakuweza kufaidika nazo!!
System zimebomolewa Kherson,Kherson ilikua chini ya Russia tangu March/April...sasa hizo System zinakuaje za Ukraine?!

Haya tufanye hizo ni propaganda na hizi air defense za hapa chini je?!

#Ukraine: Three more previously unseen Russian air defence losses from September- a 9A331 Tor-M1 TLAR, a 9A331M Tor-M2 TLAR, and a 9A317 Buk-M2 TELAR. From the appearance, they were hit by missile strikes.

#Ukraine: After more than half a year passed since the battle for Snake Island finished, another Russian loss from there was revealed: a Pantsir-S1 air defence system was destroyed there by the Ukrainian army, and has been left to rot.
 
Hivyo vimekuwa up-graded sana tofauti na hizo Patriots ambazo ni za ghali sana bila sababu yoyote! Ngoja tuone, sijui atatumia kombora la patriot lenye thamani ya dola m4 kushabulia drone yenye thamani ya dola elfu 20!! Hiyo ni dilema ya mwaka!!
Patriot zinapelekwa kutungua ballistic missile na Cruise missiles. UK watapeleka ant aircraft guns Kwa ajili ya kutungua hizo Shaheed za $20000.

Kalibr cruise missiles moja Bei yake ni $6.5m
Patriot missile Bei yake ni $4m-5m
 
Katika ulimwengu wa air defense system Marekani iko nyuma sana dhidi ya Urusi ndio maana mataifa hata yaliyo chini ya NATO kama Uturuki yamejinunulia S400 hata kama Marekani alinuna sana!! Mataifa kama India yalishaipiga chenga patriot siku nyingi yakajiagizia S400 toka Urusi. Hivi hujiulizi, ilikuwaje kambi ya Marekani nchini Iraq ilipigwa vibaya na missiles za Iran wakati ina ulinzi wa anga? Hata China inategemea S400 kwenye ulinzi wa anga!! Zaidi ya hiyo patriot labda wamshawishi Israel ikubali kutoa ulinzi wake wa anga wa Iron Dome!! Israel ililazimika kuhamia kwenye teknologia yake ya Iron dome baada ya Patriot system kushindwa kukabiliana na makombora ya wapiganaji wa kipalestina!! Ni suala la muda tu kilio cha Zelensky kitarudia pale pale!!
Muwe mnasoma kwanza kabla ya kuwa chawa wa vitu msivyojua. US iligoma kuuza Patriot kwa Turkey, kwa kuwa Turkey ilitaka offer ya vitu vingi kwa gharama nafuu. US haina njaa na inauza silaha kwa vigezo, ikagoma. Msemaji wa Turkey alisema "we were forced" sasa hapo tuulize wewe kama S-400 ni bora kwa nini Turkey ianze kuomba kwa Marekani, igomewe ndio iende kwa Russia. Na hao wengine kina Europe na China hawana njaa kufanya tech transfer. Marekani hafanyi joint production kiholela
IMG_20221223_200229.jpg
 
Muwe mnasoma kwanza kabla ya kuwa chawa wa vitu msivyojua. US iligoma kuuza Patriot kwa Turkey, kwa kuwa Turkey ilitaka offer ya vitu vingi kwa gharama nafuu. US haina njaa na inauza silaha kwa vigezo, ikagoma. Msemaji wa Turkey alisema "we were forced" sasa hapo tuulize wewe kama S-400 ni bora kwa nini Turkey ianze kuomba kwa Marekani, igomewe ndio iende kwa Russia. Na hao wengine kina Europe na China hawana njaa kufanya tech transfer. Marekani hafanyi joint production kiholelaView attachment 2456086
Nilishamjibu kule Mwanzo tayari. Uturuki alikwenda kununua S-400 baada ya kupigwa Chini na Marekani kuhusu kununua Patriot. Nchi Kama India,China na Zingine ambazo zinakimbilia kununua S-400 inajulikana kwamba hata siku moja haziwezi kuuziwa Patriot hata Kama zikienda na fedha Cash,badala yake wanakwenda kuchota hizo Cheap S-400 ambazo hazina masharti yoyote yale hata Tanzania ikiwa na Cash basi inauziwa S-400 tofauti na Marekani ambapo hata Kama una Cash unaweza usiuziwe Silaha. Tangu Mwaka 2016 Uturuki inalialia iuziwe F-16 New Model lakini mpaka leo bado, ilifikia wakati Uturuki ikatishia kwenda kununua Mig na Su Za Urusi ili kuikomoa Marekani.

Mwisho

Linapokuja Suala la ununuzi wa Silaha,Basi Urusi na China huwa ni Second and third Choices kwa wanunuzi baada ya kukataliwa kununua kutoka First Choice Marekani. Hilo mpaka Sasa lipo wazi.
 
Bajeti ya ulinzi ya Marekani ni dola bilioni 800.
Mpaka sasa ameweka dola bilioni 20 tu ambazo ni sawa na 2.5% tu ya bajeti yake yote
Hivyo vimekuwa up-graded sana tofauti na hizo Patriots ambazo ni za ghali sana bila sababu yoyote! Ngoja tuone, sijui atatumia kombora la patriot lenye thamani ya dola m4 kushabulia drone yenye thamani ya dola elfu 20!! Hiyo ni dilema ya mwaka!!
 
Yani ukiacha Patriot Marekani hana air defense nyingine?! Are u sure Bro!!?

Unaijua THAAD wewe?! Hii kitu Rada yake inaona mpk 2000km. Muulize mchina kwanini alikua analalama mpk kuiwekea South Korea vikwazo vya kibiashara baada ya Marekani kuweka THAAD pale SK.

THAAD Inatumia Teknolojia ya Hit to kill ambayo Russia ameiweka pia kwenye system Yao mpya ya S-500.
Hiyo THAAD kama haujui ni kwa ajili ya Intercontinental ballistic Missiles, siyo kwa ajili air defense kwenye combat zone. Ni kwa ajili ya ku-intercept kwenye HIGHER ALTITUDE. Mrusi ana S700 kwa matumizi hayo!! Ndiyo maana hutamsikia Zelensky akizitaka hizo!! Kwa hiyo kwa matumizi ya air defense kwenye combat zone amerika haina nyingine bora zaidi ya Patriot!! Muwe mnaelewa vizuri haya mambo!!
 
Muwe mnasoma kwanza kabla ya kuwa chawa wa vitu msivyojua. US iligoma kuuza Patriot kwa Turkey, kwa kuwa Turkey ilitaka offer ya vitu vingi kwa gharama nafuu. US haina njaa na inauza silaha kwa vigezo, ikagoma. Msemaji wa Turkey alisema "we were forced" sasa hapo tuulize wewe kama S-400 ni bora kwa nini Turkey ianze kuomba kwa Marekani, igomewe ndio iende kwa Russia. Na hao wengine kina Europe na China hawana njaa kufanya tech transfer. Marekani hafanyi joint production kiholelaView attachment 2456086
Bado S400 ni bora zaidi kuliko Patriots ambazo imethibitika kushindwa kulinda vizuri mipaka ya Israel dhidi ya makombora ya wapiganaji wa kipalestina, pia ilishindwa kulinda visima vya mafuta vya Saudi Arabia dhidi ya waasi wa YEMEN. Ujue Saudi Arabia alinunua Patriots maalumu kwa ajili ya kulinda visima vyaka vya mafuta visihujumiwe. Lakini vimekuwa vikishambuliwa na missiles za kawaida tu za hao waasi Yemen!!
 
Muulize Putin kuhusu vi Kombora vyake vya SCUD alivyompatia Saddam Hussein vilifanywa Nini na Patriot baada ya kuvirusha mfurulizo kuelekea nchini Israel na Kuwait.

Kitu cha kwanza SCUD zilikuwa zinaundwa na Wairaq wenyewe sio Warusi - Wairaq walipewa ujuzi wa kuziunda na Warusi wenyewe na zilikuwa silaha za zamani sana.Niliona kwa macho yangu mwenyewe jinsi Partiot zilivyokuwa zinashindwa kukabiri supersonic speed za SCUD zinapokuwa kwenye phase us mwisho ilifika hatua mpaka Israel kutaka kuingia vitani baada ya kuchoshwa na mashambulizivya mara kwa mara na SCUD missiles za Saddam, Waisrael walianza kuvaa mpaka face MASKS - America iliwabembeleza sana Waisrael wasiingie vitani kusaka SCUD za Saddam - kwa nini Wamerika wafanye hivyo kama wengekuwa na uhakika wa ufanisi wa ADS za Patriot??
 
Hiyo THAAD kama haujui ni kwa ajili ya Intercontinental ballistic Missiles, siyo kwa ajili air defense kwenye combat zone. Ni kwa ajili ya ku-intercept kwenye HIGHER ALTITUDE. Mrusi ana S700 kwa matumizi hayo!! Ndiyo maana hutamsikia Zelensky akizitaka hizo!! Kwa hiyo kwa matumizi ya air defense kwenye combat zone amerika haina nyingine bora zaidi ya Patriot!! Muwe mnaelewa vizuri haya mambo!!

Mkuu Acha kutupiga kamba,THAAD ni Kwa ajili ya kutungua long range ballistic missiles zikiwa kwenye terminal phase wala sio anti-ICBM system.

Mrusi hana S700,hiyo S500 haijamaliza halafu arukie kwenye S700!!!!?

Marekani ina air defenses za kutosha kuanzia Patriot, THAAD,Aegis Ashore, SM-2, SM-3,SM-6.

Mfumo wa Urusi wa kutungua ICBM unaitwa A-135 wala sio S700 kama unavyotaka kutuongopea. S700 haiexist yaani HAIPO.
 
Bado S400 ni bora zaidi kuliko Patriots ambazo imethibitika kushindwa kulinda vizuri mipaka ya Israel dhidi ya makombora ya wapiganaji wa kipalestina, pia ilishindwa kulinda visima vya mafuta vya Saudi Arabia dhidi ya waasi wa YEMEN. Ujue Saudi Arabia alinunua Patriots maalumu kwa ajili ya kulinda visima vyaka vya mafuta visihujumiwe. Lakini vimekuwa vikishambuliwa na missiles za kawaida tu za hao waasi Yemen!!
Ndio maana nakwambia ujifunze kabla ya kuwa chawa, utaharibu kutia ujuaji na hujui.

Lini Israel imeanza kutumia Patriot kulinda anga lake? Kina Arrow 3, David's sling na Iron Dome ni za nani kama sio Israel?

Lini Patriot imekuwa system ya kuzuia suicide drones. Au lini S-400 imetumika kuzuia suicide drones na rockets?

Kwa akili hizi wewe ukipewa kiroba cha sukari utakodisha semi truck kukitoa Manzese kwenda Temeke wakati bodaboda zipo.
 
Hiyo THAAD kama haujui ni kwa ajili ya Intercontinental ballistic Missiles, siyo kwa ajili air defense kwenye combat zone. Ni kwa ajili ya ku-intercept kwenye HIGHER ALTITUDE. Mrusi ana S700 kwa matumizi hayo!! Ndiyo maana hutamsikia Zelensky akizitaka hizo!! Kwa hiyo kwa matumizi ya air defense kwenye combat zone amerika haina nyingine bora zaidi ya Patriot!! Muwe mnaelewa vizuri haya mambo!!
S-700 za Mrusi ndio zipi hizo kaziunda lini? Kwanini usichangie vitu unavyojua kama kuuza mayai na kupika maandazi kuliko vitu hujui kabisa
 
Mkuu Acha kutupiga kamba,THAAD ni Kwa ajili ya kutungua long range ballistic missiles zikiwa kwenye terminal phase wala sio anti-ICBM system.

Mrusi hana S700,hiyo S500 haijamaliza halafu arukie kwenye S700!!!!?

Marekani ina air defenses za kutosha kuanzia Patriot, THAAD,Aegis Ashore, SM-2, SM-3,SM-6.

Mfumo wa Urusi wa kutungua ICBM unaitwa A-135 wala sio S700 kama unavyotaka kutuongopea. S700 haiexist yaani HAIPO.
Rejea tena ufahamu wako kuhusu THAAD!! Ni wapi ziliwahi kutumika kwenye uwanja wa vita hata inayomhusu marekani mwenyewe? ICBM ni long range ballistic missile zinazovuka bara hadi bara!!
 
Wakati SAUDI ARABIA anahesabu kuwa mabilioni aliyoyatumia kununua Patriot system ni hasara, kuna watu bado wanadanganyika na propaganda za mabeberu yanayolenga kupiga pesa tu!! Na kiendacho kwa mganga hakirudi!!

The billions Saudi Arabia spends on air defenses may be wasted in the age of drone warfare​

By Tim Lister, CNN

CNN —
Saudi Arabia has spent billions on state-of-the-art air defense and early warning systems, but a mix of cruise missiles and drones was able to penetrate its airspace on Saturday, inflicting substantial damage on the world’s largest oil processing plant at Abqaiq.
But it also illustrates a bigger problem: the age of drone warfare is a massive challenge to governments around the world.
The cruise missiles used in the attacks were re-tooled versions of a Russian design from the 1970s – and drones are still the poor man’s missile even if they are getting more sophisticated. In other words, 5% of global oil supply was taken out by weapons worth not even millions – let alone billions – of dollars.
A US defense official told CNN that Saudi and US missile defense systems did not detect the launch nor engage the missiles.
Exclusive: Zarif threatens 'all-out war' in case of military strike on Iran | CNN

But ballistic missiles, which leave and then re-enter the atmosphere, are not the current problem.
Saudi Arabia has six battalions of US-made Patriot batteries designed to take out incoming missiles.

FAHAMU: Saudi Arabia ina battalions sita za Patriot batteries, na kila battalion moja ina battery nne(4), kwa hiyo Saudi Arabia ina patriot batteries 24, na hazikumsaidia kuepuka kipigo!! Bado humu kuna watu wanadhani Ukraine inayopewa battery moja tu ya Patriot itaweza kumsaidia dhidi ya Urusi!!

Kwa wasiofahamu cruise missiles na drones zilizotumiwa na waasi wa Yemeni zilitengenezwa Urusi!!

The cruise missiles used in the attacks were re-tooled versions of a Russian design from the 1970s
– and drones are still the poor man’s missile even if they are getting more sophisticated. In other words, 5% of global oil supply was taken out by weapons worth not even millions – let alone billions – of dollars.
 
What a brilliant last paragraph!! It goes" The cruise missiles used in the attack were just retooled, repeat a re-tooled version of a Russian design from the 1970s" and yet the hyped American ADF failed miserably to take out even a single of an incoming missile -

Leo hii ndio watu wana tujia na stori za ajabu kwamba eti battery moja ya Patriot inaweza kulinda mji mzima wa Kiev, kweli!!
 
Back
Top Bottom