Putin: Hatutaondoa wanasayansi wetu wanaofanya kazi katika vinu vya nyuklia nchini Iran

That means hakuna hatari ndio maana wataendelea kubaki.

Kwa kiufupi tu ni kwamba hakutakuwa na mashambulio zaidi katika vinu hivyo vya nyuklia.

Kuna mtu ameshatupa taulo.
Mleta mada hajamwelewa Putin. Jitafutie hiyo habari uisome uelewe.

Kiwanda kinacholengwa na Israel ni cha Fordow! Hiki unambiwa kipo umbali wa mita kadhaa chini ya ardhi na kipo milimani huko.

Sasa kuna kiwanda mji mwingine kimejengwa na Urusi na kinasimamiwa na Urusi.

Putin amesema aliongea na Israel kuhusu hakikisho la usalama wa wafanyakazi wa Urusi zaidi ya 200 katika kiwanda hicho na Israel wakajibu watalizingatia.

Tafuta taarifa kupitia Aljezira uijisomee maana nikikwambia BBC utasema ni propaganda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…