hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,381
- 80,393
So why hicho kiwanda wakiache wakati agenda yao ni kwamba wanapinga Iran kuwa na viwanda vya nyuklia !??Mleta mada hajamwelewa Putin. Jitafutie hiyo habari uisome uelewe.
Kiwanda kinacholengwa na Israel ni cha Fordow! Hiki unambiwa kipo umbali wa mita kadhaa chini ya ardhi na kipo milimani huko.
Sasa kuna kiwanda mji mwingine kimejengwa na Urusi na kinasimamiwa na Urusi.
Putin amesema aliongea na Israel kuhusu hakikisho la usalama wa wafanyakazi wa Urusi zaidi ya 200 katika kiwanda hicho na Israel wakajibu watalizingatia.
Tafuta taarifa kupitia Aljezira uijisomee maana nikikwambia BBC utasema ni propaganda.