gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Putin anasikitika Iran haombi msaada wa kutungua makombora, anasema wakiuhitaji basi chapu tuAu Putin anatafuta sababu ya kudunda mtu.
👀
Putin anasikitika Iran haombi msaada wa kutungua makombora, anasema wakiuhitaji basi chapu tuAu Putin anatafuta sababu ya kudunda mtu.
👀
Israel wanadai wameshambulia hicho kinu (siyo kiwanda) ila taarifa zinasema hakuna athari za maanaMleta mada hajamwelewa Putin. Jitafutie hiyo habari uisome uelewe.
Kiwanda kinacholengwa na Israel ni cha Fordow! Hiki unambiwa kipo umbali wa mita kadhaa chini ya ardhi na kipo milimani huko.
Sasa kuna kiwanda mji mwingine kimejengwa na Urusi na kinasimamiwa na Urusi.
Putin amesema aliongea na Israel kuhusu hakikisho la usalama wa wafanyakazi wa Urusi zaidi ya 200 katika kiwanda hicho na Israel wakajibu watalizingatia.
Tafuta taarifa kupitia Aljezira uijisomee maana nikikwambia BBC utasema ni propaganda.
Pia Putin alisema Iran haijaomba msaada kwao, kama wataomba wataangalia hatuna gani wachukue. Pia akasema Viwanda vilivyoko chini ya aridhi huko Iran Bado vinazalisha siraha kama kawaida hakuna kilichopata madhara.Mleta mada hajamwelewa Putin. Jitafutie hiyo habari uisome uelewe.
Kiwanda kinacholengwa na Israel ni cha Fordow! Hiki unambiwa kipo umbali wa mita kadhaa chini ya ardhi na kipo milimani huko.
Sasa kuna kiwanda mji mwingine kimejengwa na Urusi na kinasimamiwa na Urusi.
Putin amesema aliongea na Israel kuhusu hakikisho la usalama wa wafanyakazi wa Urusi zaidi ya 200 katika kiwanda hicho na Israel wakajibu watalizingatia.
Tafuta taarifa kupitia Aljezira uijisomee maana nikikwambia BBC utasema ni propaganda.
Wa bonyokwa? Au huyuhyuRihanna ananisumbua sana PM, ananitaka kimapenzi.
Putin alikuwa anaongelea viwanda vya nyukilia! Wala hakuongelea viwanda vya siraha.Pia Putin alisema Iran haijaomba msaada kwao, kama wataomba wataangalia hatuna gani wachukue. Pia akasema Viwanda vilivyoko chini ya aridhi huko Iran Bado vinazalisha siraha kama kawaida hakuna kilichopata madhara.
Na pia walitaka waform joint venture na Iran ya kutengeneza siraha lakini Iran ilikataa na hata ku supply ADS Iran ilikataa pia.
Kwahio mzigo wote unaopigwa ni wa wairani
Iran alikuwa na vinu vingi sana!Israel wanadai wameshambulia hicho kinu (siyo kiwanda) ila taarifa zinasema hakuna athari za maana
Putin anasubiri Ayatollah amuombe msaada wakati walitiliana saini mmoja akishambuliwa mwingine anaingia kati?Putin anasikitika Iran haombi msaada wa kutungua makombora, anasema wakiuhitaji basi chapu tu
Israel mikwala mingi tu,kwa nini anataka trump aingilie kama anaweza yote hayo?..hivyo vinu alivyoshambulia watu wanaendelea na kaziIran alikuwa na vinu vingi sana!
Vilivyoshambuliwa na Israel Vipo lakini baba lao ni hilo cha Fordow kiko mbali jangwani milimani huko hakuna hata mtu na kipo chini ya Ardhi.
Bomu pekee linaloweza kuharibu hicho kiwanda liko USA na linabebwa kwa ndege ya B-2
Lakin Israel anasema bila hata ya hilo bomu yeye anaweza kutuma makomando wake wakatege vilipuzi ndani huko huko..
Kwa hiyo mpka sasa kuna options hizo mbili kwa ajili ya kuharibu hicho kinu
Hawakuwa na mkataba huo, acheni kuzusha, najua utambishia hadi Putin mwenyewePutin anasubiri Ayatollah amuombe msaada wakati walitiliana saini mmoja akishambuliwa mwingine anaingia kati?
Putin mhuni sana
Unapenda UGOMVI kuliko kula 😊 😅 Umenikumbusha udogoni tulikua na clue yetu.Haya ndo mambo ninayo yapenda mm
Putin ana fupa lake.Hawakuwa na mkataba huo, acheni kuzusha, najua utambishia hadi Putin mwenyewe
Kwa hiyo wewe unabishana hata na Iran wenyewe?Israel mikwala mingi tu,kwa nini anataka trump aingilie kama anaweza yote hayo?..hivyo vinu alivyoshambulia watu wanaendelea na kazi
Unascreen habari badala yakuleta habari nzima. Au tukusaidie, sie wengine hatuna upande lkn tunahitaji zije habari za kweli bila kuzichuja.Putin alikuwa anaongelea viwanda vya nyukilia! Wala hakuongelea viwanda vya siraha.
Kwanza Putin hawezi kujiingiza Iran maana ana fupa lake kule Ukrain ana hangaika nalo.
Alishindwa kumsaidia Asad kule Syria ataweza Iran?
Wewe mwongo acha kuumba storyMleta mada hajamwelewa Putin. Jitafutie hiyo habari uisome uelewe.
Kiwanda kinacholengwa na Israel ni cha Fordow! Hiki unambiwa kipo umbali wa mita kadhaa chini ya ardhi na kipo milimani huko.
Sasa kuna kiwanda mji mwingine kimejengwa na Urusi na kinasimamiwa na Urusi.
Putin amesema aliongea na Israel kuhusu hakikisho la usalama wa wafanyakazi wa Urusi zaidi ya 200 katika kiwanda hicho na Israel wakajibu watalizingatia.
Tafuta taarifa kupitia Aljezira uijisomee maana nikikwambia BBC utasema ni propaganda.
Huwa nacheka sana wapuuzi wanapochambua mambo kirahisi. Vita havipiganwi hivyo jamani, hizo siri nani atakuwa mjinga ajisemee tuu?Iran alikuwa na vinu vingi sana!
Vilivyoshambuliwa na Israel Vipo lakini baba lao ni hilo cha Fordow kiko mbali jangwani milimani huko hakuna hata mtu na kipo chini ya Ardhi.
Bomu pekee linaloweza kuharibu hicho kiwanda liko USA na linabebwa kwa ndege ya B-2
Lakin Israel anasema bila hata ya hilo bomu yeye anaweza kutuma makomando wake wakatege vilipuzi ndani huko huko..
Kwa hiyo mpka sasa kuna options hizo mbili kwa ajili ya kuharibu hicho kinu
Ewaaaa...... akaongeza pia kusema kumshakia Irani kuhusu kutengeneza bomu la nyuklia ni sahihi na pia kuzingatia usalama wa Israel ni sahihi.Mleta mada hajamwelewa Putin. Jitafutie hiyo habari uisome uelewe.
Kiwanda kinacholengwa na Israel ni cha Fordow! Hiki unambiwa kipo umbali wa mita kadhaa chini ya ardhi na kipo milimani huko.
Sasa kuna kiwanda mji mwingine kimejengwa na Urusi na kinasimamiwa na Urusi.
Putin amesema aliongea na Israel kuhusu hakikisho la usalama wa wafanyakazi wa Urusi zaidi ya 200 katika kiwanda hicho na Israel wakajibu watalizingatia.
Tafuta taarifa kupitia Aljezira uijisomee maana nikikwambia BBC utasema ni propaganda.
Hapa ndio natambua nguvu ya propaganda na umuhimu wakumiliki vyombo vingi vya habari,kwa namna nguvu ya Israel ilivyokuzwa, sikuwa na imani kabisa kama vita hivi vitafikisha siku 5 kabla Iran haijaangamizwa.Putin anasikitika Iran haombi msaada wa kutungua makombora, anasema wakiuhitaji basi chapu tu
Putin wamemkosa!? Mtu ana tembea hadharani ana safiri mpaka ktk nchi ambazo ni washirika wao na ana Rudi Russia bila kufanywa lolote wewe unasema anajificha humu kweli Kuna vilaza wengi now daysPutin pia ako kwenye list ndio maana nayeye anajificha sana wamesha mkosa kosa mara kadhaa