So why hicho kiwanda wakiache wakati agenda yao ni kwamba wanapinga Iran kuwa na viwanda vya nyuklia !??Mleta mada hajamwelewa Putin. Jitafutie hiyo habari uisome uelewe.
Kiwanda kinacholengwa na Israel ni cha Fordow! Hiki unambiwa kipo umbali wa mita kadhaa chini ya ardhi na kipo milimani huko.
Sasa kuna kiwanda mji mwingine kimejengwa na Urusi na kinasimamiwa na Urusi.
Putin amesema aliongea na Israel kuhusu hakikisho la usalama wa wafanyakazi wa Urusi zaidi ya 200 katika kiwanda hicho na Israel wakajibu watalizingatia.
Tafuta taarifa kupitia Aljezira uijisomee maana nikikwambia BBC utasema ni propaganda.
๐๐๐ DadekiPia Putin alisema Iran haijaomba msaada kwao, kama wataomba wataangalia hatuna gani wachukue. Pia akasema Viwanda vilivyoko chini ya aridhi huko Iran Bado vinazalisha siraha kama kawaida hakuna kilichopata madhara.
Na pia walitaka waform joint venture na Iran ya kutengeneza siraha lakini Iran ilikataa na hata ku supply ADS Iran ilikataa pia.
Kwahio mzigo wote unaopigwa ni wa wairani.
Unamaanisha Mleta mada hana elimu dunia ndiyomaana kimombo kinampiga chenga au siyo Mkuu?Mleta mada hajamwelewa Putin. Jitafutie hiyo habari uisome uelewe.
Kiwanda kinacholengwa na Israel ni cha Fordow! Hiki unambiwa kipo umbali wa mita kadhaa chini ya ardhi na kipo milimani huko.
Sasa kuna kiwanda mji mwingine kimejengwa na Urusi na kinasimamiwa na Urusi.
Putin amesema aliongea na Israel kuhusu hakikisho la usalama wa wafanyakazi wa Urusi zaidi ya 200 katika kiwanda hicho na Israel wakajibu watalizingatia.
Tafuta taarifa kupitia Aljezira uijisomee maana nikikwambia BBC utasema ni propaganda.
Cha kushangaza zaidi, kila uharibifu wanaoufanya ndani ya Iran, Netapaka anaongea kwenye vyombo vya habari na kuuhakikisha ulimwengu kuwa "kila hatua wanayofanikisha ni kwaushiriano kamili wa Marekani;.Israel mikwala mingi tu,kwa nini anataka trump aingilie kama anaweza yote hayo?..hivyo vinu alivyoshambulia watu wanaendelea na kazi
Kiwanda kipo kwa Maslahi ya Urusi na ndio maana kinasimamiwa na Urusi na kuna Warusia 200 ambapo Putin ameomba hakikisha la usalama wao toka kwa IsraelSo why hicho kiwanda wakiache wakati agenda yao ni kwamba wanapinga Iran kuwa na viwanda vya nyuklia !??
Putin anaelekea kufeli mipango yake huko ukrein,Mleta mada hajamwelewa Putin. Jitafutie hiyo habari uisome uelewe.
Kiwanda kinacholengwa na Israel ni cha Fordow! Hiki unambiwa kipo umbali wa mita kadhaa chini ya ardhi na kipo milimani huko.
Sasa kuna kiwanda mji mwingine kimejengwa na Urusi na kinasimamiwa na Urusi.
Putin amesema aliongea na Israel kuhusu hakikisho la usalama wa wafanyakazi wa Urusi zaidi ya 200 katika kiwanda hicho na Israel wakajibu watalizingatia.
Tafuta taarifa kupitia Aljezira uijisomee maana nikikwambia BBC utasema ni propaganda.
Hana hiyo jeuriIli Warusi wamwage ubongo wa Netanyahu? ๐คฃ
Unaota wewe.Taratibu utasikia USA kaahirisha kupeleka majeshi yake kujiunga na Israel Kwa sababu........
Hizi tambo nimeanza kuzisikia mara nyingi sana lakinimwisho wa siku Israel anakuwa mshindi.Ili Warusi wamwage ubongo wa Netanyahu? ๐คฃ
Huyo Putin amemshindwa Ukraine, ndo amuweze Israel?Au Putin anatafuta sababu ya kudunda mtu.
๐
Soon watageuzwa kuwa PutoutPutin amesema Russia haina mpango wa kuwaondoa mamia ya wanasayansi wake wanaofanya kazi katika vinu vya nyuklia nchini Iran.
Itakuwaje sasa, eeeeh?
View: https://x.com/BRICSinfo/status/1935659750152355862
JUST IN: President Putin says hundreds of Russian nuclear experts will continue working at Iranian power plant."We are not leaving."
Myahudi hawezi kurudi nyuma.Putin amesema Russia haina mpango wa kuwaondoa mamia ya wanasayansi wake wanaofanya kazi katika vinu vya nyuklia nchini Iran.
Itakuwaje sasa, eeeeh?
View: https://x.com/BRICSinfo/status/1935659750152355862
JUST IN: President Putin says hundreds of Russian nuclear experts will continue working at Iranian power plant."We are not leaving."
Ila wew jamaa, hivi huoni hata aibu mwaka wa ngapi huu unasema putin atamalizwa. Dah acute psychosis with maniac disorder ni mbaya sana.Putin pia ako kwenye list ndio maana nayeye anajificha sana wamesha mkosa kosa mara kadhaa