Putin hawezi kushida hii vita, anamalizwa mdogo mdogo

ward41

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2022
Posts
749
Reaction score
2,533
Utawala wa USA ndo wamwisho. Baada ya huo kuna utawala wa URUMI (European Union + NATO+ USA)
Huu utawala maandalizi yake tayari ktk ulimwengu wa Siri. Hizi bases za USA anazoweka kila pembe ya dunia ni maandalizi ya huo utawala. Lengo ni kumpa nguvu za kijeshi mtawala ajayo ma kuvunjavunja tawala zote ziwe chini yake.

Huu utawala utadhibiti mamlaka zote za dunia kuwa chini ya mtu mmoja.

Ukiaangalia kwa mbali kwa jicho la ndani unaona jinsi China, Russia, Iran zinavyobanwa na huu utawala. Mambo yameanza chinichini na utawala wa URUMI.

Na hili jambo li karibu mno kuliko wengi wanavyofikiri.

Soon tunaingia kwenye utawala wa mtu mmoja, serikali moja. Hakuna mwanadamu atakuwa salama chini ya uso wa dunia

Utakuwa utawala wa kikatili mno tujihadhari, tumtafute Yesu.
 
Tunashukuru kwa taarifa. Ila samahani wewe upo kwa Mwamposa, Mwingira , Mashimo au nabii Tito
 
Urumi ilishaanguka kitambo,
Umoja wa Ulaya umetekwa na Mmarekani na mataifa mengi ni Vassal state.
Japan na Korea kusini ni occupied.

Ila Sasa independent na free state nazo si haba, hivyo si rahisi kwa huo utawala wako wa kusadikika.

Hata yesu akija leo hatoweza kufanya chochote, kumbuka kipindi Cha Herode walimpiga misumali, Sasa kipindi hichi sijui watamgeuza Zombies
 
Utawala wa USA ndo wamwisho. Baada ya huo kuna utawala wa URUMI (European Union + NATO+ USA)
Huu utawala maandalizi yake tayari ktk ulimwengu wa Siri. Hizi bases za USA anazoweka kila pembe ya dunia ni maandalizi ya huo utawala. Lengo ni kumpa nguvu za kijeshi mtawala ajayo ma kuvunjavunja tawala zote ziwe chini yake.

Huu utawala utadhibiti mamlaka zote za dunia kuwa chini ya mtu mmoja.

Ukiaangalia kwa mbali kwa jicho la ndani unaona jinsi China, Russia, Iran zinavyobanwa na huu utawala. Mambo yameanza chinichini na utawala wa URUMI.

Na hili jambo li karibu mno kuliko wengi wanavyofikiri.

Soon tunaingia kwenye utawala wa mtu mmoja, serikali moja. Hakuna mwanadamu atakuwa salama chini ya uso wa dunia

Utakuwa utawala wa kikatili mno tujihadhari, tumtafute Yesu.
Mambo ya Wasabato haya
 
Ulichokiandika hapa na kutokana na mfumuko wa habari mrisho zisizo na utafiti, vijana, wazee na watoto wasio na uelewa wa dunia ilivyo hapa hawataweza kuelewa na wakielewa bado kuna mzigo unawalemea kuelewa hii kitu ya NWO.
 
Utawala wa USA ndo wamwisho. Baada ya huo kuna utawala wa URUMI (European Union + NATO+ USA)
Huu utawala maandalizi yake tayari ktk ulimwengu wa Siri. Hizi bases za USA anazoweka kila pembe ya dunia ni maandalizi ya huo utawala. Lengo ni kumpa nguvu za kijeshi mtawala ajayo ma kuvunjavunja tawala zote ziwe chini yake.

Huu utawala utadhibiti mamlaka zote za dunia kuwa chini ya mtu mmoja.

Ukiaangalia kwa mbali kwa jicho la ndani unaona jinsi China, Russia, Iran zinavyobanwa na huu utawala. Mambo yameanza chinichini na utawala wa URUMI.

Na hili jambo li karibu mno kuliko wengi wanavyofikiri.

Soon tunaingia kwenye utawala wa mtu mmoja, serikali moja. Hakuna mwanadamu atakuwa salama chini ya uso wa dunia

Utakuwa utawala wa kikatili mno tujihadhari, tumtafute Yesu.
Kuhusu dunia kwenda kwenye utawala mmoja ni sahihi, lakini eti tumtafute Yesu ni upuuzi mtupu!
 
Utawala wa USA ndo wamwisho. Baada ya huo kuna utawala wa URUMI (European Union + NATO+ USA)
Huu utawala maandalizi yake tayari ktk ulimwengu wa Siri. Hizi bases za USA anazoweka kila pembe ya dunia ni maandalizi ya huo utawala. Lengo ni kumpa nguvu za kijeshi mtawala ajayo ma kuvunjavunja tawala zote ziwe chini yake.

Huu utawala utadhibiti mamlaka zote za dunia kuwa chini ya mtu mmoja.

Ukiaangalia kwa mbali kwa jicho la ndani unaona jinsi China, Russia, Iran zinavyobanwa na huu utawala. Mambo yameanza chinichini na utawala wa URUMI.

Na hili jambo li karibu mno kuliko wengi wanavyofikiri.

Soon tunaingia kwenye utawala wa mtu mmoja, serikali moja. Hakuna mwanadamu atakuwa salama chini ya uso wa dunia

Utakuwa utawala wa kikatili mno tujihadhari, tumtafute Yesu.
Wanakuja wafuasi wa mud kubishana....
 
Urumi ilishaanguka kitambo,
Umoja wa Ulaya umetekwa na Mmarekani na mataifa mengi ni Vassal state.
Japan na Korea kusini ni occupied.

Ila Sasa independent na free state nazo si haba, hivyo si rahisi kwa huo utawala wako wa kusadikika.

Hata yesu akija leo hatoweza kufanya chochote, kumbuka kipindi Cha Herode walimpiga misumali, Sasa kipindi hichi sijui watamgeuza Zombies
Kwanza nikupe elimu. Yesu anaerud ni mfalme na hatakanyaga hapa ardhini, atakuwa mawinguni, atatuma malaika zke kote dunian kukusanya wateule so yeye haji kama binadamu bali mfalme mwenye mamlaka tena kila jicho litamuona na sharti kila adui yake ajisalimiahe kwake. Dui wa mwisho ni mauti.
 
Y3su atakapotaka kurudi duniani aseme mapemaaa ili aelekezwe pa kushukia vinginevyo anaweza kushukia upande wa KOREA KASKAZIN afu kumbe KIDUKU anatest HYPERSONIC MISSILE akafanyiwa sublimation
 
Utawala wa USA ndo wamwisho. Baada ya huo kuna utawala wa URUMI (European Union + NATO+ USA)
Huu utawala maandalizi yake tayari ktk ulimwengu wa Siri. Hizi bases za USA anazoweka kila pembe ya dunia ni maandalizi ya huo utawala. Lengo ni kumpa nguvu za kijeshi mtawala ajayo ma kuvunjavunja tawala zote ziwe chini yake.

Huu utawala utadhibiti mamlaka zote za dunia kuwa chini ya mtu mmoja.

Ukiaangalia kwa mbali kwa jicho la ndani unaona jinsi China, Russia, Iran zinavyobanwa na huu utawala. Mambo yameanza chinichini na utawala wa URUMI.

Na hili jambo li karibu mno kuliko wengi wanavyofikiri.

Soon tunaingia kwenye utawala wa mtu mmoja, serikali moja. Hakuna mwanadamu atakuwa salama chini ya uso wa dunia

Utakuwa utawala wa kikatili mno tujihadhari, tumtafute Yesu.
Yesu ni ncha ya mkuki haipigwi konzi...hii mipango dhalmu ya NATO na washirika wake kamwe haiwezi fanikiwa..Yesu si wa mashoga,Kumbuka Mungu ni Pendo,Mungu sio Demokrasia.uchumi wa ujanja wa kuchapisha pesa umeshitukiwa....Russia kawakaribisha jangwani vitani
,wao wanaua watoto GAZA. Naona wamesahau nguvu ya nuklia.Tahadhari kwao ..miji yao ikiguswa hawataweza tena kuijenga.dunia imejanjaruka hakuna wa kulima bure.
 
Back
Top Bottom