ward41
JF-Expert Member
- Apr 3, 2022
- 749
- 2,533
Utawala wa USA ndo wamwisho. Baada ya huo kuna utawala wa URUMI (European Union + NATO+ USA)
Huu utawala maandalizi yake tayari ktk ulimwengu wa Siri. Hizi bases za USA anazoweka kila pembe ya dunia ni maandalizi ya huo utawala. Lengo ni kumpa nguvu za kijeshi mtawala ajayo ma kuvunjavunja tawala zote ziwe chini yake.
Huu utawala utadhibiti mamlaka zote za dunia kuwa chini ya mtu mmoja.
Ukiaangalia kwa mbali kwa jicho la ndani unaona jinsi China, Russia, Iran zinavyobanwa na huu utawala. Mambo yameanza chinichini na utawala wa URUMI.
Na hili jambo li karibu mno kuliko wengi wanavyofikiri.
Soon tunaingia kwenye utawala wa mtu mmoja, serikali moja. Hakuna mwanadamu atakuwa salama chini ya uso wa dunia
Utakuwa utawala wa kikatili mno tujihadhari, tumtafute Yesu.