Ile gari ilikuwa Kwa ajili ya Putin peke yake
Kim Jong Un alikuwa na gari yake
Sasa Putin sijui alishtuka Nini alasema tupande wote hii hii Mimi na wewe Sipandi mwenyewe may be Kuna machale yalimcheza au alitaka wakae mle ndani waongee mambo Yao ya Siri sana na wamalizie mle ndani akihofia yakiongelewa ukumbini yaweza pepeluka
Kwa hiyo security detail na protocol ikabidi ibadilishwe ghafla
Ila Hongera timu zote za Russia na Korea walikuwa sharp ndani ya muda mfupi sana kujipanga ki.protocol na security details
Waweza Kuwa wameongea ndani ya gari na kudainiana mikataba yote kule ndani ya gari ikiwa kwenye msafara Ili huko nje watakayoongea ruksa hata waandishi wa habari kuhudhuria