Putin na Kim Jong Un wakibishana nani kuwa wa kwanza kuingia kwenye gari

Putin na Kim Jong Un wakibishana nani kuwa wa kwanza kuingia kwenye gari

Ile gari ilikuwa Kwa ajili ya Putin peke yake

Kim Jong Un alikuwa na gari yake

Sasa Putin sijui alishtuka Nini alasema tupande wote hii hii Mimi na wewe Sipandi mwenyewe may be Kuna machale yalimcheza au alitaka wakae mle ndani waongee mambo Yao ya Siri sana na wamalizie mle ndani akihofia yakiongelewa ukumbini yaweza pepeluka
Kwa hiyo security detail na protocol ikabidi ibadilishwe ghafla

Ila Hongera timu zote za Russia na Korea walikuwa sharp ndani ya muda mfupi sana kujipanga ki.protocol na security details

Waweza Kuwa wameongea ndani ya gari na kudainiana mikataba yote kule ndani ya gari ikiwa kwenye msafara Ili huko nje watakayoongea ruksa hata waandishi wa habari kuhudhuria
Umefikiri kwa kina sana.
 
Rais wa Urusi Vladimir Putin akiwa ziarani huko Korea Kaskazini ameonekana akiwa anabishana na mtawala wa nchi hiyo Kim Jong Un maarufu kama Kiduku kuhusu nani kuwa wa kwanza kuingia kwenye gari iliyoandaliwa kuwasafirisha wawili hao kwa pamoja. Itazame video hapa
View attachment 3020590
Madikteta hawaaminiani maamae
 
Rais wa Urusi Vladimir Putin akiwa ziarani huko Korea Kaskazini ameonekana akiwa anabishana na mtawala wa nchi hiyo Kim Jong Un maarufu kama Kiduku kuhusu nani kuwa wa kwanza kuingia kwenye gari iliyoandaliwa kuwasafirisha wawili hao kwa pamoja. Itazame video hapa
View attachment 3020590
Wanapeana heshima maana wa kwanza kuingia ni anayeheshimiwa zaidi.akili ndogo ndo inahoji jambo kama hili.
 
Hawa ni watawala wadhalimu,
Screenshot_20230324-091126.png
 
Kwahiyo sheria ya uvaaji wa hii suti ni kufunga kifungo kimoja??...(samahani wandugu mambo ya siasa za mabeberu siyajui)
 
Back
Top Bottom