DesertStorm
JF-Expert Member
- Nov 22, 2015
- 3,131
- 2,537
Kwahiyo wanaouwa watoto gaza, watu wasio na hatia na kuvuruga nchi za watu mfano libya, Syria, yemen, msumbiji, congo n.k sio madikteta! Obama na washirika wake wametuulia kiongozi wetu gadafi, je! Hao sio madikteta!😁😁😁 Madikteta huwa wana maisha ya tabu sana