DesertStorm
JF-Expert Member
- Nov 22, 2015
- 3,131
- 2,537
Soon utaolewa na mwarabu
Chuki zitakumaliza, badilika kijana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Soon utaolewa na mwarabu
Kuna tofauti ya kuvuruga protokali kwa sababu ya mashaka na kufuata protokali ambayo ni sehemu ya ulinzi rasmi.Vipi na wale wanaobeba na magari yao kwenye ndege kila wanaposafiri
Hizo ni story tu, hakuna sababu yoyote Rais wa Marekani asile chakula alichoandaliwa na Waziri mkuu/Mfalme wa Uingereza, Rais wa Ufaransa au Waziri mkuu wa Canada.Hata US president hanywi Hali chochote ktk nchi aliyofikia. Huwa wanaandaa vyakula vyao wenyewe
Inawezekana ikawa story au ni kwa nchi ambazo unfriendly ones. Niliona ktk documentary moja hiyo story ikanipa mashaka sana. Labda walimaanisha nchi amabzo siyo ally.Hizo ni story tu, hakuna sababu yoyote Rais wa Marekani asile chakula alichoandaliwa na Waziri mkuu/Mfalme wa Uingereza, Rais wa Ufaransa au Waziri mkuu wa Canada.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umevurugwaa wee!!Kiboko ya mashoga
Sio kwamba wanabisha coz haujui wanachoongea, labda Putin anamkaribisha Kim kwenye gari alilompa zawadi na hawajawahi kuonana tokea hapo, na pia Kim anamkaribisha Putin kwenye gari kwasababu ni mgeni wake...Rais wa Urusi Vladimir Putin akiwa ziarani huko Korea Kaskazini ameonekana akiwa anabishana na mtawala wa nchi hiyo Kim Jong Un maarufu kama Kiduku kuhusu nani kuwa wa kwanza kuingia kwenye gari iliyoandaliwa kuwasafirisha wawili hao kwa pamoja. Itazame video hapa
View attachment 3020590
Kabisa mfano Ona hapa wakiwa hapo Korea Leo Putin na Rais Kim Jong Un wakiondoka na gari wakiwa wawili tu Putin akiwa dereva na Kim Jong Un akiwa abiria kwenye gari ya kirusi naona Walikuwa na mazungumzo Yao binafsi Siri wanajua wao"In the world of spies, the greatest battle is not fought with guns, but with secrets."
😁😁😁 Madikteta huwa wana maisha ya tabu sanakuna video niliona wameandaliwa vinywaji wote kila mtu akawa anamwangalia mwenzake aanze mwishowe hawakunywa
Kabisa mfano Ona hapa wakiwa hapo Korea Leo Putin na Rais Kim Jong Un wakiondoka na gari wakiwa wawili tu Putin akiwa dereva na Kim Jong Un akiwa abiria kwenye gari ya kirusi naona Walikuwa na mazungumzo Yao binafsi Siri wanajua wao
Ona Putin akiwa kwenye usukani
View: https://youtu.be/kbR7NqyMgso?si=WDG6nfk_XFPNN6SD
Ukiwa jasusi unajihami kila kituRais wa Urusi Vladimir Putin akiwa ziarani huko Korea Kaskazini ameonekana akiwa anabishana na mtawala wa nchi hiyo Kim Jong Un maarufu kama Kiduku kuhusu nani kuwa wa kwanza kuingia kwenye gari iliyoandaliwa kuwasafirisha wawili hao kwa pamoja. Itazame video hapa
View attachment 3020590
Wote hao ni mafia, na hapo walikuwa wamekutana, hivyo timing ndio silaha yao kuu.Rais wa Urusi Vladimir Putin akiwa ziarani huko Korea Kaskazini ameonekana akiwa anabishana na mtawala wa nchi hiyo Kim Jong Un maarufu kama Kiduku kuhusu nani kuwa wa kwanza kuingia kwenye gari iliyoandaliwa kuwasafirisha wawili hao kwa pamoja. Itazame video hapa
View attachment 3020590
Lugha waliokuwa wanatumia sijaifahamWalikuwa wanatumia lugha gani?