Ile gari ilikuwa Kwa ajili ya Putin peke yakeRais wa Urusi Vladimir Putin akiwa ziarani huko Korea Kaskazini ameonekana akiwa anabishana na mtawala wa nchi hiyo Kim Jong Un maarufu kama Kiduku kuhusu nani kuwa wa kwanza kuingia kwenye gari iliyoandaliwa kuwasafirisha wawili hao kwa pamoja. Itazame video hapa
View attachment 3020590
Walikuwa wanapiga tu stori haoRais wa Urusi Vladimir Putin akiwa ziarani huko Korea Kaskazini ameonekana akiwa anabishana na mtawala wa nchi hiyo Kim Jong Un maarufu kama Kiduku kuhusu nani kuwa wa kwanza kuingia kwenye gari iliyoandaliwa kuwasafirisha wawili hao kwa pamoja. Itazame video hapa
View attachment 3020590
Marafiki makatili kweli, yanapendana sana mauaji ya watuRais wa Urusi Vladimir Putin akiwa ziarani huko Korea Kaskazini ameonekana akiwa anabishana na mtawala wa nchi hiyo Kim Jong Un maarufu kama Kiduku kuhusu nani kuwa wa kwanza kuingia kwenye gari iliyoandaliwa kuwasafirisha wawili hao kwa pamoja. Itazame video hapa
View attachment 3020590
Putin anapenda Sana kubadili protokali, kahofia ya rais wa iranIle gari ilikuwa Kwa ajili ya Putin peke yake
Kim Jong Un alikuwa na gari yake
Sasa Putin sijui alishtuka Nini alasema tupande wote hii hii Mimi na wewe Sipandi mwenyewe may be Kuna machale yalimcheza au alitaka wakae mle ndani waongee mambo Yao ya Siri sana na wamalizie mle ndani akihofia yakiongelewa ukumbini yaweza pepeluka
Kwa hiyo security detail na protocol ikabidi ibadilishwe ghafla
Ila Hongera timu zote za Russia na Korea walikuwa sharp ndani ya muda mfupi sana kujipanga ki.protocol na security details
Waweza Kuwa wameongea ndani ya gari na kudainiana mikataba yote kule ndani ya gari ikiwa kwenye msafara Ili huko nje watakayoongea ruksa hata waandishi wa habari kuhudhuria
Mabeberu ndo wauwaji wakuuMarafiki makatili kweli, yanapendana sana mauaji ya watu
Ukishakua kAchero kila MDA machàle yazma yakucheze🤣🤣🤣🤣jamaa huwa hawaaminiani sijui ni huwa wanafanya vituko kwa makusudi au ni vipi
Jiwe tulimsahau hivyo hivyo kisa kujiachia mno, adui wa ndani ni mbaya kuliko wa njeUnakuaje Rais wa taifa kubwa hivyo halafu unaishi kama digi digi porini huiamini timu yako ya usalama?!
Putin akili mingi sana, kaona kama ni ajali umeitega Basi twenzetu tukafe wore😀Hahahaa ila kali yani kiduku anamkaribisha putin karibu bwana Putin nae mgeni huyo nae anamkaribisha mwenyeji karibu bwana
Hawa ni watawala wadhalimu, ni kitu Cha kawaida kabisa kwa Watu wadhalimu kutokumwakini mtu yoyote yule. Wanahofia kwamba huenda anaweza kufanyiwa udhalimu kama ambavyo yeye mwenyewe amekuwa akiwafanyia Watu wengine.Rais wa Urusi Vladimir Putin akiwa ziarani huko Korea Kaskazini ameonekana akiwa anabishana na mtawala wa nchi hiyo Kim Jong Un maarufu kama Kiduku kuhusu nani kuwa wa kwanza kuingia kwenye gari iliyoandaliwa kuwasafirisha wawili hao kwa pamoja. Itazame video hapa
View attachment 3020590
Putin akili mingi sana, kaona kama ni ajali umeitega Basi twenzetu tukafe wote😀