Bangi mbaya sanaRais wa Urusi Vladimir Putin akiwa ziarani huko Korea Kaskazini ameonekana akiwa anabishana na mtawala wa nchi hiyo Kim Jong Un maarufu kama Kiduku kuhusu nani kuwa wa kwanza kuingia kwenye gari iliyoandaliwa kuwasafirisha wawili hao kwa pamoja. Itazame video hapa
View attachment 3020590
Bila NATO , waarabu wangeliibakiza dunia na dini yao peke yao!Kweli vichaa ni wengi hawahawa NATO ambao wamevamia nchi nyingi wameuawa watu wengi Afrika na uarabuni?
Hata US president hanywi Hali chochote ktk nchi aliyofikia. Huwa wanaandaa vyakula vyao wenyewekuna video niliona wameandaliwa vinywaji wote kila mtu akawa anamwangalia mwenzake aanze mwishowe hawakunywa
Desturi za kiarabu/kiislamu hizo, na wao wameanza kuyaiga mdogo mdogo kwa waarabu/waislamu. Ni heshima kubwa kufanya hivyoRais wa Urusi Vladimir Putin akiwa ziarani huko Korea Kaskazini ameonekana akiwa anabishana na mtawala wa nchi hiyo Kim Jong Un maarufu kama Kiduku kuhusu nani kuwa wa kwanza kuingia kwenye gari iliyoandaliwa kuwasafirisha wawili hao kwa pamoja. Itazame video hapa
View attachment 3020590
Madikteta huwa hawaamiani.Ila hawa jamaa baba 😅 inamaana hata wao hawaaminiani
Dumb and Dumber....Rais wa Urusi Vladimir Putin akiwa ziarani huko Korea Kaskazini ameonekana akiwa anabishana na mtawala wa nchi hiyo Kim Jong Un maarufu kama Kiduku kuhusu nani kuwa wa kwanza kuingia kwenye gari iliyoandaliwa kuwasafirisha wawili hao kwa pamoja. Itazame video hapa
View attachment 3020590
Upuuzi! North Korea Hamna huo upuuzi wa kiaarabuDesturi za kiarabu/kiislamu hizo, na wao wameanza kuyaiga mdogo mdogo kwa waarabu/waislamu. Ni heshima kubwa kufanya hivyo
Kama putin na Kim ni madhaalim, je makafiri wa kizayuni, mmarekani na washirika wake wameuwa watoto/civilians utasemaje? Rais wetu wa afrika marhum Ghaddafi ameuawa chini ya utawala wa obama na washirika wake, halafu unakuja kusema putin na kim ni madhaalim! Sometimes ushabiki wekeni pembeni, ongea uhalisia wenyewe.Hawa ni watawala wadhalimu, ni kitu Cha kawaida kabisa kwa Watu wadhalimu kutokumwakini mtu yoyote yule. Wanahofia kwamba huenda anaweza kufanyiwa udhalimu kama ambavyo yeye mwenyewe amekuwa akiwafanyia Watu wengine.
Kama walivyo Wamarekani mpaka wanatembea na gari zao popote waendapo duniani.Hawa ni watawala wadhalimu, ni kitu Cha kawaida kabisa kwa Watu wadhalimu kutokumwakini mtu yoyote yule. Wanahofia kwamba huenda anaweza kufanyiwa udhalimu kama ambavyo yeye mwenyewe amekuwa akiwafanyia Watu wengine.
Kwahiyo wana upuuzi wa nani?Upuuzi! North Korea Hamna huo upuuzi wa kiaarabu
Dunia ya leo hata ukiwa mwema ukikaa kizembe zembe unapigwa tukioHawa ni watawala wadhalimu, ni kitu Cha kawaida kabisa kwa Watu wadhalimu kutokumwakini mtu yoyote yule. Wanahofia kwamba huenda anaweza kufanyiwa udhalimu kama ambavyo yeye mwenyewe amekuwa akiwafanyia Watu wengine.
Ahahaaa...! Unawachokoza Warusi wa namtumbo. Soon Putin ataopolewa kwenye shimo la chooMarafiki makatili kweli, yanapendana sana mauaji ya watu
If this was the case, huoni kwamba walinzi binafsi wa Kim Jong Un walipata shida sana? Kukubali kiongozi wenu aendeshwe na dereva Mrussia ninaamini walikuja na convoy yao ya gari na dereva kutoka Kremlin. Pia wakati gari inaondoka ulinzi wa ndani ya gari unakuwa ni wa warusi? Wakorea walikubali vipi hilo?? Ingekuwa Mimi ni Kim ningepiga chini idara yangu ya usalama.Ile gari ilikuwa Kwa ajili ya Putin peke yake
Kim Jong Un alikuwa na gari yake
Sasa Putin sijui alishtuka Nini alasema tupande wote hii hii Mimi na wewe Sipandi mwenyewe may be Kuna machale yalimcheza au alitaka wakae mle ndani waongee mambo Yao ya Siri sana na wamalizie mle ndani akihofia yakiongelewa ukumbini yaweza pepeluka
Kwa hiyo security detail na protocol ikabidi ibadilishwe ghafla
Ila Hongera timu zote za Russia na Korea walikuwa sharp ndani ya muda mfupi sana kujipanga ki.protocol na security details
Waweza Kuwa wameongea ndani ya gari na kusainiana mikataba yote kule ndani ya gari ikiwa kwenye msafara Ili huko nje watakayoongea ruksa hata waandishi wa habari kuhudhuria
Edited, original video haikua hivyokuna video niliona wameandaliwa vinywaji wote kila mtu akawa anamwangalia mwenzake aanze mwishowe hawakunywa
Vipi na wale wanaobeba na magari yao kwenye ndege kila wanaposafiriUnakuaje Rais wa taifa kubwa hivyo halafu unaishi kama digi digi porini huiamini timu yako ya usalama?!
Ni complex situation sababu Kim Jong un mwenyewe alikubali kuingia Sasa kwenye situation kama hiyo walinzi wake wangefanyaje kukaba raisi wao Kwa nguvu asiingie gari ya Putin au ? Wangemkaba kumlazimisha asipande gari ya Putin warusi wangecharuka kuwa kwenye hiyo gari wameweka Nini? Kungetokea varangati sio la kitoto pale na Putin angegeuza ndege kurudi Urusi na uhusiano na Korea ungekufaIf this was the case, huoni kwamba walinzi binafsi wa Kim Jong Un walipata shida sana? Kukubali kiongozi wenu aendeshwe na dereva Mrussia ninaamini walikuja na convoy yao ya gari na dereva kutoka Kremlin. Pia wakati gari inaondoka ulinzi wa ndani ya gari unakuwa ni wa warusi? Wakorea walikubali vipi hilo?? Ingekuwa Mimi ni Kim ningepiga chini idara yangu ya usalama.
Soon utaolewa na mwarabuKwahiyo wana upuuzi wa nani?
Hujaishi na waarabu, wala kutembelea nchi zao tu hujawahi, sasa utabishana na mtu ambae ameshawahi kutembelea baadhi!