Umesoma shule ipiCancer ipi?
Kwa faida ya nani nguruwe wewe?Huyo ni tapeli la kisiasa!
chanzo cha cancer ni kimoja hata iwe maeneo tofautiCancer ziko nyingi sana. Cancer ipi au zote?
Hauna akiliHuyo ni tapeli la kisiasa!
Lofa sana huyu jamaa, kichefuchefu tuukisikia wamagharibi huwa unawashwa washwa matqo
Nani alikufundisha hivyo??chanzo cha cancer ni kimoja hata iwe maeneo tofauti
JPMNani alikufundisha hivyo??
Yule aliyepeleka mapapai kupimwa na kipimo cha Corona?
MafenesiYule aliyepeleka mapapai kupimwa na kipimo cha Corona?
Wewe endelea kunywa ethanol hapo kibera mambo ya medicine na wewe wapi na wapi? Usiingilie fani za watu bro.Ni utapeli na kutafuta asikike, saratani zipo aina nyingi sana na hamna namna ya kuzikabili zote, pia ikumbukwe saratani ni disorder ya kwenye cells, sio mdudu.
Genetic error au mutation, sasa chanjo itafanyaje kazi...
Labda kama anaongea kuhusu treatment vaccine ya mtu aliyeathirika tayari.
Chanzo cha saratani kinajulukana, ni inflammation ya immune system (kinga ya asili ya mwili kutofanya kazi vizuri). Wote tunapata saratani kila siku ila immune system inaziharibu hizo seli zilizoharibika. Makampuni ya madawa hayataki ukweli huo ujulukane kwasababu yatafilisika. Kumbuka dhana ya uganga wa kimagharibi ni kuondoa dalili badala ya kuutibu ugonjwa.Halafu cancer mpaka leo ngumu kutibu sababu mpaka leo haijulikani chanzo cha cancer ni nn?
Ngoma wacha ibakie, kuchezeana sehemu za siri Mungu hapendi.Chanjo ya ngoma vipi hawakuipata?
Hawa tusiwaamini sana, wanaweza zindua chanjo ya kuua ulimwengu, mimi sitachanja hiyo chanjo yao kwa kweliRais Putin amesema leo kwamba nchi yake ya Urusi iko mbioni kizundua chanjo dhidi ya Saratani ama Cancer.
---
MOSCOW, Feb 14 (Reuters) - President Vladimir Putin said on Wednesday that Russian scientists were close to creating vaccines for cancer that could soon be available to patients.
Putin said in televised comments that "we have come very close to the creation of so-called cancer vaccines and immunomodulatory drugs of a new generation".
"I hope that soon they will be effectively used as methods of individual therapy," he added, speaking at a Moscow forum on future technologies.
Reuters
Samahani, ulichanja ile ya uviko?Hawa tusiwaamini sana, wanaweza zindua chanjo ya kuua ulimwengu, mimi sitachanja hiyo chanjo yao kwa kweli
Ww unachanganya mada ujueChanzo cha saratani kinajulukana, ni inflammation ya immune system (kinga ya asili ya mwili kutofanya kazi vizuri). Wote tunapata saratani kila siku ila immune system inaziharibu hizo seli zilizoharibika. Makampuni ya madawa hayataki ukweli huo ujulukane kwasababu yatafilisika. Kumbuka dhana ya uganga wa kimagharibi ni kuondoa dalili badala ya kuutibu ugonjwa.
Wakula tunavyokula ni zaidi ya virutubisho, vina genetic codes ambazo zina taarifa ya kiasi gani cha kemikali (hydrocarbons) zilizopo. Vyakula vingi vya kisasa vinakemikali za ziada (kutoka kwenye mbolea, mbegu za GMO n.k), hizi zinafanya vyakula kuwa na kimikali (chain za hydrocarbons) ambazo ni tofauti na zile za asilia.
Mwili unapojaribu kumenyenya vyakula hivi, unashindwa kuvunja vunja kemikali zote kwa kuwa hauna taarifa zake za ziada (zile zisizo za asili). Hizi kemikali zisizovunjika zinabaki zikizunguka mwilini, baadhi zinakuwa sumu na kuharibu mfumo wa kijikinga (immune system) na kusababisha saratani.
Ww unachanganya mada ujue
Kuvimba kwa kinga za mfumo wa mwili ni lymphadenophaty
Na lymphadenopathy ni sign ya eneo hilo huenda likawa na cancer kiufupi umeelezea dalili
hii ni body response reaction and not a cause
View attachment 2907426
YesSamahani, ulichanja ile ya uviko?
Uliamini vipi chanjo ya mRNA ambayo haikuwa na human trials?