PUTIN vs NETANYAHU: Njooni tumalize ubishi wa miamba hii miwili ya dunia

Sawa.
Japokuwa Niko Ngyeke Kyela-Mbeya nikiwa shambani kwangu Kwa ajili ya kilimo Cha mihogo, lakini nikuhakikishie kwamba "Nitakuwa wa mwisho kuamini kwamba U. S. A intelligence organs ni dhahifu kiasi hicho kama ambavyo unataka kutuaminisha hapa". Over.


β€œEverything that is happening with Trump is the persecution of a political rival for political reasons. That’s what it is. And this is being done in front of the public of the United States and the whole world.” Putin 2023
 
Ngoja waje 6 park na Faiza fox Wana Majibu yako subiri kidogo wapi lunch
 
Hata wewe mkuu una sifa zilizotukuka sana. Kuna watu katika huu huu uzi wameparuana huko juu, kisa Netanyahu, Hamas na Putin. Lakini wewe umekuwa ukiandika comment zako kwa ustad mkubwa ndo maana uliona watu wengi tumekuwa tukikujibu na kufuatilia kile unachopost.

Shukran mkuu. Mko wa chache sn watu wa aina yako.
 
Ukraine ni nchi kubwa mkuu yenye silaha zote ambazo nchi kubwa inazo isipokuwa nyuklia tu ndo alinyang'anywa kijanja na wababe wa dunia. Putin kusema ataikamata kyv kwa masaa machache ilikuwa mbinu tu za kijeshi ili kumnyong'onyesha adui mapema, lakini alijua kama haitokuwa rahisi kivile.

Kuhusu kuiteka kyv ya ni kweli hajaiteka kyv lakin ameshamega maeneo kibao ya Ukraine na kuyahamishia katika territory yake. Na mpaka leo Nato nzima wakishirikiana na Marekani wameshinda kuyarejesha maeneo hayo mikononi mwa zelensky. Na uwezo huo hawana, labda Ukraine yenyewe ikubali kushindwa na kuingia makubaliano na Urusi ya kusitisha au kuacha kabisa vita.
 
Na uwezo huo hawana,
Hawana kivipi? Issue ni kuepuka nuclear holocaust kama Putin ata retaliate. Its simple NATO ikipeleka majeshi kabisa on the ground hawawezi kushindwa kwa Putin ila madhara ya vita yatakua makubwa mnoo itasambaa ulaya nzima.
 
Kijana sijui umezaliwa baada ya mwaka 2016, au umeanza kufuatilia international news miaka hii miwili iliyopita.

Hebu soma hizo taarifa zilizotolewa na FBI wenyewe nchini Marekani.
View attachment 2996847View attachment 2996848
Interference ya kwenye campaigning kwa kutarget wapiga kura kadhaa kwenye mitandao ya kijamii na sio kuiba kura. Kingine hata Obama alifanya kitu hicho same to Cambridge Analytica nao waliingilia chaguzi za Kenya 2013, US 2020 etc na ndio maana Mark Zuckerberg pia alihojiwa na Congress. So msitafute excuses au scapegoats
 
Putin is the greater by far than Netanyahu.
1. Putin ana ardhi ya kutosha kuliko nchi nyingine yoyote duniani. Russia is a continent not a country. Anaongoza. Netanyahu ana ardhi kidogo.
2. Kutokana na namba 1 basi anakuwa na rasilimali lukuki zaidi ya niwezavyo kuoroshesha.
3. Putin anaongoza federation la watu zaidi ya 140M. Netanyahu wanafika wangapi?
4. Putin anaongoza nchi iliyowahi kutoa wagunduzi na wanasayansi wa mambo yaliyoleta civilization ya dunia hii.
5. Putin akitaka kupigana, hupigana na nchi ambayo iko well established kama ilivyokuwa Georgia, Ukraine siyo tuvikundi tudogo twa watu wasiokuwa na Taifa wala establishment zinazoeleweka.
6. Putin hategemei msaada wa silaha kutoka Marekani, Uingereza na Ujerumani. Putin anaziharibu silaha hizo pale Ukraine.
 
Hawana kivipi? Issue ni kuepuka nuclear holocaust kama Putin ata retaliate. Its simple NATO ikipeleka majeshi kabisa on the ground hawawezi kushindwa kwa Putin ila madhara ya vita yatakua makubwa mnoo itasambaa ulaya nzima.
Sasa si unaona pia itakua aibu kwao nchi zaidi ya 25 kupigana na nchi moja?
Hata dunia itawashangaa sana.
 
Uchambuzi wako ni mzuri sana mkuu. Mpaka hapo sina cha kuongeza.
 
Ya lazima niheme. We unafikiri kulipumulia zee kama Netanyahu mgongo mchezo!

Kila mtu anajua kama Israel ushoga ni ruhusa na ni utamaduni wao. Alaf waarab ndio mabahasha wao wakubwa. Ukikataa kulipumulia shoga la kiyahudi linakupa kesi ya ugaidi ili likukomoe.

Netanyahu na wajinga wenzake wanaliwa tobo kama kawaida, japo wewe unawaona kama vile ni miungu yako.
 
Putin wa kumfananisha na LGBT kweli!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…