PUTIN vs NETANYAHU: Njooni tumalize ubishi wa miamba hii miwili ya dunia

HAo waisrael wanaohangaika na mgambo hadi wamepoteana , kama waliweza kupigwa na mgambo wa hezbollah 2006 bado watoto wadogo sana kwenye anga za vita
tatizo anapigana na migambo wanaojichanganya na watoto na wamama kuwakinga akiwafumua kisawasawa wanapiga kelele umoja wa mataifa kwamba wanashambulia watoto yani wanambinu zakijinga sana.
 
tatizo anapigana na migambo wanaojichanganya na watoto na wamama kuwakinga akiwafumua kisawasawa wanapiga kelele umoja wa mataifa kwamba wanashambulia watoto yani wanambinu zakijinga sana.
2006 walipigana na hezbollah mpakani mwa lebanon uso kwa uso fuatilia nini kilitokea pamoja na kupewa silahazote kali na washirika wake waliishia kuaibika hadi marekani kaenda kuomba ceasefire umoja wa mataifa, na badala ya hapo mkuu wa majeshi wa israel akajiuzulu
 
tatizo anapigana na migambo wanaojichanganya na watoto na wamama kuwakinga akiwafumua kisawasawa wanapiga kelele umoja wa mataifa kwamba wanashambulia watoto yani wanambinu zakijinga sana.
Vipi kuhusu Hezbollah ambao waliwatandika waisrael mwaka 2006 mpaka Marekani akamua waitwe kwenye mazungumzo kumaliza vita.

Na hata hii leo bado hezbulla wanafurumisha mizinga kuelekea Israel na bado Israel imefyata.

Obvious kwa Hamas wanajifanya wana nguvu kwa sababu wanatumia silaha za kupewa na nchi nyingine, huku Hamas wakitumia za kwao tu, lakin miezi 8 mateka hawajaokolewa bado.
 
Mkuu utafikiri tunafikiria pamoja. Na mimi nimeandika hivyo hivyo ktk comment ya #23
 
Netanyahu anachomzidi Putin ni ile sura yake nzito kama kinyesi na ya kigaidi inayotisha.

Putin yule ni alien sio mtu, jamaa anacheka na kutabasamu muda wote lakini namba chafu.
Unaambiwa hata marais wengine huwa wanatamani moment kuonana na Putin yaani na wao huwa wakimuona wanamshangaa kama sisi na kujiuliza hivi huyu ndiye Putin mwenyewe?

Acha kumlinganisha Putin na ujinga.
 
Hapa kuna uhakika wa Putin kumgaragaza Netapaka vibaya sana 😂😂
 
Unakosea sana kumlinganisha President Putin na PM Netanyahu

Netanyahu ni Bwana Mdogo sana kwa Putin

Since 1945, Baada ya vita ya pili ya Dunia, hakujawahi tokea kiongozi kama Putin kwenye hii Dunia, labda huko zamani sana.

Lakini katika hii modern world (Dunia baada ya vita ya 2 ya Dunia), hakuna kiongozi kama Putin.
 
Wote wauwaji, Putin kabomoa shule na hospitali ngapi huko Ukraine?
 
Its true mkuu. Labda mungine ambae anaweza kusogea sogea karibu na Putin kisifa ni yule raisi wa China.

Jamaa mnacheka vizuri, lakini ukiingia anga zake unafinywa kimya kimya.
 
Israel katili na hana msamaha. Kisasi na amenyooka sio muongo muongo.
 
HAWA VIONGOZI KUWALINGANISHA KTK UTENDAJI INALETA UKAKASI SANA.
SABABU NETENYAU NA BARAZA LAKE HAWANA MAAMUZI KTK SERIKARI YAO
WANATEGEMEA MAGHARIBI. LABDA KAMA TUNGELINGANISHA BIDEN NA VLADIMIR PUTIN.
Kweli kabisa mkuu. Netanyahu ni mchumba tu, hana ujanja wowote wa kufanya maamuzi ya kujitegemea yeye kama yeye. Ni lazima apate kwanza ruhusa kutoka Magharibi.

Ila Putin hangoji maamuzi kutoka nje wala ndani. Anachoamua ndo hicho hicho hakigeuziki asilani.
 
Israel katili na hana msamaha. Kisasi na amenyooka sio muongo muongo.
Hayo yote anayafanya kwa ruhusa ya magharibi, ila Russia hawana ukatili wa kishamba shamba. Ukizingua wanakushughulikia wao kama wao bila kuhitaji msaada kutoka kwa yoyote.
 
Netanyahu mwenyewe akimuona Putin anamshangaa, Putin ni superstar wa maraisi wote duniani.
Netanyahu huwa anaishi kwa kujificha ficha akiogopa kuangushwa na maadui zake. Ila Putin anaenda popote anapopataka yeye bila kumhofia mtu wala nchi yoyote.

Hivi nje ya Marekani ni nchi gani nyingine ambayo Netanyahu ashawahi kutembelea? Hebu nikumbushe mkuu, maana jamaa anajifungia sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…