tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,863
- 19,626
Best usiwe unasafiri na familia yote,mjigawe nusu watangulie wengine wafuataYes,tena huwa ninakodi dereva mzoefu kwenda Mwanza na familia yangu.Tunafika salama na kurudi salama kabisa.Tena huwa ni safari tamu kupumnzika njiani kama kote,tunalala Singida kesho yake haoo Mwanza na nguvu mpya.