Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,559
- 11,180
Kwa uzoefu wangu mdogo wa kuendesha "highway" aka mkoa kwa mkoa, yaani hata gari likupite kwa kasi ya jabu huku wewe ukiendesha speed ya kawaida lazima utalikuta mbele limebananishwa na malori linahangaika ku-overtake maana kila likichungulia kuna chombo kinakuja na mbele take kuna Lori 3 zimeongozanaSahvi watu wengi wanaendesha magari ovyo tu
Mtu anakimbiza gari bila sababu yoyote
Ova