Umenena vyema sana Mkuu,Kila siku tunapiga kelele suala la upanuzi wa barabara ya Morogoro road, line mbili za kupishana zitaendelea kusababisha ajali kila siku
Kuna haja ya upanuzi wa hivi barabara serikali iangalie hili ni muhimu sana maana hizi barabara inatumiwa sana na magari mengi na ndio inayofungua nchi.