Pwani: Magari yagongana uso kwa uso, wanne wafariki

Yule mmeru alipata ajali same akafariki?
 
Duh. Diana huyo??? Au Sia??? Au Nora???
 
Okay
 
Aseehhh ..pole sana kaka!Sasa huyo turn boy gari ilimshinda au ilikuaje mpk akishindwa kukaa upande wake?!!
Napata Picha ingekua ndo mko darajani sasa afu analeta huo uhuni si angewaua
 
MAMA ALIYEPOTEZA WANAWE WANNE NI UCHUNGU MTUPU.

Pichani ni Liliani Msuya, Mama mzazi wa watoto wanne waliofariki katika ajali ya gari, Mbwewe Chalinze mkoani Pwani walipokuwa wanaenda msibani Kilimanjaro, akionekana ni mwenye majonzi na uchungu nyumbani kwake kijiji cha Kisangeni, Wilaya ya Mwanga Mkoani Kilimanjaro.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mhhhh
 
Mmhh...maisha haya kaviacha mmewe atarithi na watoto ,ataoa mke mwingine azitumbuuuueeeeeeee
 
Madereva wengi hawajui na hawana tactics za uendeshaji wa Magari usiku, wazoefu huwa tunatanguliza tanker, au gari ndogo private huku Tuki-keep distance ya Mita 20-50 Kwa mwendo huwa NI mkubwa kidogo 80-120 Km/hour...
 
Aseeehhh...viatu vyake vinabanaaa sanaaaaaa
Mungu amtie faraja yaani daahhhh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…