Peaceforever
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 2,030
- 2,200
Duh! Vipi tena ndugu, tuko na msiba, ila yote maisha tu!Umejenga majumba makubwa Tabata, kisirisiri ili mumewe asijue, sasa sijui itakuaje? Kamq nakiona vile kibenten chake kikiwa tajiri[emoji23].
Mumewe alikua haongei chochote kwake cz pesa hana[emoji2955]
Natoka muda wowote saa yeyeto, naenda nchi za njee nakaa miezi hadi mwaka, sitaki mume unipangie pesa ni zangu elimu ni yangu[emoji2955]
Precision kwenda same?hii ni ajali kama ajali nyingine kwani swala la ndege au gari ni swala la uchaguzi tu, kila mtu atakufa tuache porojo kwenye misiba ya watuKabisa,uzembe wa hali ya juu.Sijui kwa nini dada zake hata walimwamini.Halafu wana hela si wangepanda hata précision air jamani.
Kwaiyo uiipanda daladla ndo haiwezi kjpata ajali mzes?Yawezekana kabisa. Hakuna kitu hatarishi kuendesha gari unasinzia ama umelewa. Angeweka gari pembeni alale.
Precision si unashuka Moshi,then unapanda basi.Ajali ya kizembe.Precision kwenda same?hii ni ajali kama ajali nyingine kwani swala la ndege au gari ni swala la uchaguzi tu, kila mtu atakufa tuache porojo kwenye misiba ya watu
Unajua kutoka moshi hadi same kilomita ngapi?au kwakuwa una mdomo wa kuongea unabwabwaja tu,haya vipi na kutoka moshi hadi same pia huwa watu hawapati ajali?Precision si unashuka Moshi,then unapanda basi.Ajali ya kizembe.
Which is mechanical failure. Wao wamesha conclude ni human error,.Kuna uwezekano mkubwa Prado ilichomoka tairi ya mbele na kuacha njia.
Maana Prado kwa kuchomoka tairi...
Ndo hapo sasa mnaharibu,suala panafikika kwa basi ama la?Au wangetafuta dereva, periodUnajua kutoka moshi hadi same kilomita ngapi?au kwakuwa una mdomo wa kuongea unabwabwaja tu,haya vipi na kutoka moshi hadi same pia huwa watu hawapati ajali?
Kwahiyo wewe huwa husafiri kwa private car ama?Ndo hapo sasa mnaharibu,suala panafikika kwa basi ama la?Au wangetafuta dereva, period
Yes,tena huwa ninakodi dereva mzoefu kwenda Mwanza na familia yangu.Tunafika salama na kurudi salama kabisa.Tena huwa ni safari tamu kupumnzika njiani kama kote,tunalala Singida kesho yake haoo Mwanza na nguvu mpya.Kwahiyo wewe huwa husafiri kwa private car ama?
Kwahiyo huyo dreva wako mzoefu ndio hawezi kupata ajali?Yes,tena huwa ninakodi dereva mzoefu kwenda Mwanza na familia yangu.Tunafika salama na kurudi salama kabisa.Tena huwa ni safari tamu kupumnzika njiani kama kote,tunalala Singida kesho yake haoo Mwanza na nguvu mpya.
Akikujibu nitagKwahiyo huyo dreva wako mzoefu ndio hawezi kupata ajali?
Usahihi ni Mzumbe kampasi ya Dar(Upanga).Walitokea dar
Ni kweli ila madhara yanaweza Kuwa na kinga boss. Kuukwepa mwendo wa ngiri mkia juu ni kinga mojawapo ya kupunguza madhara inapotokea ajali.Ajali haina kinga.
Mara nyingine unapokuwa na gari kubwa unaweza kuwa na kiburi fulani fulan hivi nakumbuka kuna mdada ana bmw x5 sasa akawa anasema yaani hii gari yangu hii mkoa wowote Tanzania ni kufumba na kufumbua maana hii ni gari ya safari hata ukimaliza kisahani still upo comfortable🤣😂 na "nikisafiri huwa nshawapanga traffic kabisaa" sasa fikiri mtu wa namna hii ana safari ndefu atazingatia kweli usalama barabarani? Kiukweli njia za bongo dreva inabidi uwe na tahadhari nyingi sanaaa haijalishi una gari imara kiasi gani! hizi njia moja lane mbili opposite side ajali ni sekunde tu. Kingine uchovu aisee hii ni inauwa wengi mnoo nakumbuka kuna siku nilikuwa na safari ndefu ijumaa nimetoka job late night halaf nimechokaaa asubuh alfajiri nikalianzisha aisee baada ya masaa kadhaa ya kudrive yaan nilikuwa full mchovu macho mazitoo full kuona duble duble dah nikapaki pembeni nikatafuta duka nikapiga grandmalt nikatulia dakika kadhaaa nikaona mwili umerudi mahala pake ndo nikaendelea na safari na mwendo mdomdo. Halafu sometime if mtu una pesa why kuhangaika na prado michagga? Director tena ABSA unaachaje sasa kuwa na mkoko konki then unatafuta dreva konki master anakudrive au unachukua mwewe mpe dreva atangulie na mkoko mkutane location. Prado ilimuua jamaa angu sina hamu nazo na kwa kuwa alikuwa ana nyazifa polisi basi njian ilikuwa hakuna traffic wa kumghasi yaani ni full kibati dakika chache kabla ya ajali mkewe alimpigia umefika wapi? marehemu kwa sifa akamwambia mkewe nimeshaingia Same, mke akashangaa sanaaa akamsihi mume apunguze speed maana kawahi mnoooo aisee dakik chache baadae ndo hivyo parapanda ikalia😩😩.Kabisa,uzembe wa hali ya juu.Sijui kwa nini dada zake hata walimwamini.Halafu wana hela si wangepanda hata précision air jamani.
Huyu unaemzungumzia ni yupi kati ya wale wadada? [emoji56]Umejenga majumba makubwa Tabata, kisirisiri ili mumewe asijue, sasa sijui itakuaje? Kamq nakiona vile kibenten chake kikiwa tajiri[emoji23].
Mumewe alikua haongei chochote kwake cz pesa hana[emoji2955]
Natoka muda wowote saa yeyeto, naenda nchi za njee nakaa miezi hadi mwaka, sitaki mume unipangie pesa ni zangu elimu ni yangu[emoji2955]
Hizo gari hapanaa kuna siku niliendesha ya ofisi yaan ilikuwa nikikanyaga mafuta ile inaanza speed 50 na kuendelea gari inapoteza balansi halafu inakuwa kama inapaa hivi yaan njia nzima nakomaa na starring gari isitoke barabarani aisee hatari sana hizo ndingaNakuambia Prado sio gari ni takataka bin uchafu....hata bila kukata mguu Hua zinakata na kiuno😀😀hasa kwenye njia za changarawe...