Pwani: Magari yagongana uso kwa uso, wanne wafariki

Speed zinatumaliza. Laiti ungelikuwa unaoyaona yajayo, ungeendesha speed 50 uchelewe kufika ila ufike. Poleni sana wahusika.
Na mafuta utumie mengi pia, speed 50 unaijua Mzee ukiendesha kwenda mikoani, hapo in kuendesha speed unayoimudu na kufuata alama za barabarani. Kubwa zaidi kama huna uzowfu kwa safari za mbali aka njia kuu usiendeshe au safari mchana. Huyo possibly ni usingizi akahama njia na hakuwa anakwepa kitu
 
Aisee...
 
Na mafuta utumie mengi pia, speed 50 unaijua Mzee ukiendesha kwenda mikoani, hapo in kuendesha speed unayoimudu na kufuata alama za barabarani.
Ni kweli mkuu km50/h kama unaenda mbali ni changamoto ila mafuta yanaliwa sana ukiendesha above 119km/h. Ila 50-119km/h consumption ni nzuri. Speed nzuri ni 80km/h pale vibao vinaporuhusu.

Kubwa zaidi kama huna uzowfu kwa safari za mbali aka njia kuu usiendeshe au safari mchana.
Sahihi. Na hata kama una uzoefu, ni bora kuutumia badala ya kuupuuza ukaanza kukimbia hovyo.
Huyo possibly ni usingizi akahama njia na hakuwa anakwepa kitu
Usingizi ni hatari. Hata mm imeshanitokea mara mbili sababu ya kujiona nina uzoefu. Sasa hivi nina adabu na barabara.
 
Kama ww umejua kwann wengine wasijue au ndio kiben ten chenyewe?
 
Ufanyaji kazi wa jeshi la polisi unanikumbusha enzi za sekondari ktk somo la History Kuna points ukiwa nazo kichwan basi hufeli mtihani nazo ni:
-Poor infrastructure
-Lack of capital
-Cheap labor nk
 
Kwahiyo huyo dreva wako mzoefu ndio hawezi kupata ajali?
Humu wajuaji wengi sana, hawajui visababishi vya ajali ni vingi sana kwa barabara zetu. Mdosi mmoja aliwahi kumuajiri dereva wa Jeshi mstaafu, jamaa alikuwa vizuri sana kwenye usukani, mwisho wa siku ajali ikawatafuna familia nzima, tena ikisababishwa na uzembe wa dereva wa coaster
 
Mimi ninahisi atakuwa Diana,yule kaolewa na Msukuma.Diana ni mfanya biashara na alikuwa anasafiri kwenda nje ya nchi mara nyingi. Sia anafanya kazi NSSF ni ngumu kwenda nje miezi,Nora anafanya kazi Mzumbe Uni,ni ngumu pia kusafiri miezi kwenda nje.
Mama Mageta ?! Hapana.

Biashara alizokuwa anafanya:
1. Upishi kwenye mashughuli (ndio biashara kuu aliyokuwa anafanya muda wote)
2. Duka la nafaka Tuangoma( alifunga baada ya muda)
3. Alikuwa analima nyanya katika kiwanja cha jirani yake(kwa msimu)

Kwamba alikuwa anasafiri kwenda nje ya nchi na kukaa miezi au mwaka kabisa, Hapana pia. Wana kikundi cha akina mama kule Tuangoma, hajawahi kukosa hata siku, yeye akiwa kama mwenyekiti.

Mama Mageta alikuwa ni wale majirani waliostaarabika sana.

Apumzike kwa Amani.
 
Pole sana ndugu yangu kwa uliyoyapitia.
 
Duuh kwa hiyo ni laana ya baba???
 
Poleni sana

Ova
 
Yaani hii kama ina ukweli hata mimi nimeshakutana nazo 2 zimechoka mguu moja wa mbele, mbona magari mengine nadra kuona hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…