Pwani: Magari yagongana uso kwa uso, wanne wafariki

Sahvi watu wengi wanaendesha magari ovyo tu
Mtu anakimbiza gari bila sababu yoyote

Ova
Kwa uzoefu wangu mdogo wa kuendesha "highway" aka mkoa kwa mkoa, yaani hata gari likupite kwa kasi ya jabu huku wewe ukiendesha speed ya kawaida lazima utalikuta mbele limebananishwa na malori linahangaika ku-overtake maana kila likichungulia kuna chombo kinakuja na mbele take kuna Lori 3 zimeongozana
 
Surely you are a driver, unaweza toka na gari Dar mtu na spidi zake unamkuta tu pahala kazuiliwa.
 
Wengi wetu tuna overtake kwa papara sana mimi marafiki zangu wa karibu wananishangaa mbona naendesha gari kezee zee sana wananiacha lakini nawakuta mbele wanavyopaparika ku overtake wanachungulia mara wanarudi mimi nakua nyuma yao tu nawazoom sasa nikikaa mimi kulia nawakata wote kisha nasimamia ukucha 160 kwa saa wananikuta mbele kwenye mgahawa namalizia kula
 
Da aisee mnakimbia sana, mi 100 waga ni top kwangu.. kama nasafiri usiku halafu hamna tochi nacheza kati ya 80-90 na ninawahi freshi tu
 
Da aisee mnakimbia sana, mi 100 waga ni top kwangu.. kama nasafiri usiku halafu hamna tochi nacheza kati ya 80-90 na ninawahi freshi tu
Tatizo kampuni yetu uki delay sana barabarani unaeza ukaekwa benchi kwamimi usiku mwisho 100 nikiwa pekeangu lakini convoy gar 4 kuendela tunafatana 150 lkn tunaambizana tutembee kwa tahadhari ya hali ya juu sana kwa sababu usiku one mistake is ACCIDENT
 
Ndio hivyo mkuu
 
Hapo sawa kama kazi yako ina demand hivyo.. ila kwa sisi wa class D sionagi maana ya kwenda zaidi ya 100 labda kama mtu ana emergency kweli..
 
Mkuu ikoje kwani?
 
Alafu usiku ukimtanguliza mtu inapendeza maana atakusaidia ku-block mwanga wa mbele alafu ndo kipimo cha Barabara maana akilivaa shimo /speed bumb unaona anavyorushwa au akipunguza na wewe unapunguza, kikubwa ni "ku-keep distance" na taa za gari za breki na parking za gari ya mbele ziwe zinafanya kazi na iwe inakwenda speed ambayo na wewe unaimudu. Sio kuongozana na VIETEEE alafu gari lako halina kifua
 
Mzee kawapoteza watoto wote wanne kwa wakati mmoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…