Wa Nyang'au wa Kijani. Hakuna aliyekufa. Unataka wenzako wafe ili wewe unufaike na nini?May their souls RIP 🙏
Hilo gari nililiona Jana limepostiwa' kuwa limebeba mashabiki wa Simba... Lakini hata Kam ni abiria basi wanalikuwa wanaenda Dar Kwa Shughuli ya Simba.Pole hata bila picha ungetafuta uhakika wa habari huenda ni abiria tu ila wamevaa jersey za Simba #wapone haraka#
Drivers wajitahidi kuwa makini wote tushakubaliana njia zetu si nzuri umakini lazima uongezeke
Basi wapone haraka.Wa Nyang'au wa Kijani. Hakuna aliyekufa. Unataka wenzako wafe ili wewe unufaike na nini?
Dah mbaya sanaNa nimeona kwenye page ya shabiki maarufu wa Simba Aggy anasema Kuna ajali mbili , na ktk mojawapo mtu mmoja ameaga Dunia😭
Umepata wapi taarifa za vifo? Uzi haujasema kama kuna vifo. Ila ajali imetokea na nimeiona kule istagram. Lakini boda pia hamna taarifa za vifo.May their souls RIP 🙏
Hii inahusiana vipi na ajali? Hivi wewe jamaa uko Sawa kweli?Ukishabikia sanaaaa Simba na Yanga. kichwani lazima zipungue.
KUNA VIJANA WENGI MNO AKILI ZIMEWARUKA KABISA, HAWANA FUTURE WAO NI KUWAZA SIMBA NA YANGA TU.....
MSIPOTEZE MUDA NA UPUUZI WA SIMBA NA YANGA.
HIZO TIMU NI VYOMBO VYA PROPAGANDA VYA SELIKALI KUWAPOTEZA MABOYA.
MY MESSAGE
MWENYE MASIKIO NA ASIKIE
Mbona inaonyesha wewe ndio zimepungua kidogo?Ukishabikia sanaaaa Simba na Yanga. kichwani lazima zipungue.
KUNA VIJANA WENGI MNO AKILI ZIMEWARUKA KABISA, HAWANA FUTURE WAO NI KUWAZA SIMBA NA YANGA TU.....
MSIPOTEZE MUDA NA UPUUZI WA SIMBA NA YANGA.
HIZO TIMU NI VYOMBO VYA PROPAGANDA VYA SELIKALI KUWAPOTEZA MABOYA.
MY MESSAGE
MWENYE MASIKIO NA ASIKIE
Maisha Yao Chaguo Lao.Ukishabikia sanaaaa Simba na Yanga. kichwani lazima zipungue.
KUNA VIJANA WENGI MNO AKILI ZIMEWARUKA KABISA, HAWANA FUTURE WAO NI KUWAZA SIMBA NA YANGA TU.....
MSIPOTEZE MUDA NA UPUUZI WA SIMBA NA YANGA.
HIZO TIMU NI VYOMBO VYA PROPAGANDA VYA SELIKALI KUWAPOTEZA MABOYA.
MY MESSAGE
MWENYE MASIKIO NA ASIKIE
Sasa Ina Uhusiano gani na ajali... Fal kweli wewe!Ukishabikia sanaaaa Simba na Yanga. kichwani lazima zipungue.
KUNA VIJANA WENGI MNO AKILI ZIMEWARUKA KABISA, HAWANA FUTURE WAO NI KUWAZA SIMBA NA YANGA TU.....
MSIPOTEZE MUDA NA UPUUZI WA SIMBA NA YANGA.
HIZO TIMU NI VYOMBO VYA PROPAGANDA VYA SELIKALI KUWAPOTEZA MABOYA.
MY MESSAGE
MWENYE MASIKIO NA ASIKIE
Pole zao na welldone mkuu kwa KUTOCHUKUA PICHA,u done the right thing,karibu lingusenguse nikupe mbeta ya ulanziKuna taarifa kuwa mashabiki wa Simba kutoka Mbeya wamepata ajali maeneo ya Vigwaza Pwani, wakiwa njiani kuelekea Dar, kushuhudia mechi ya Simba na Ahly.
Ajali hii imetokea baada ya gari lao kigongana na roli Alfajiri ya Leo!
Mungu wape wepesi ndugu zetu!
Tutaendelea kupata taarifa kamili kutoka Eneo la tukio.
Tumeoita hapo na sikutaka kuchukua picha Kwa sababu za kimaadili.
Najua Kuna watu watataka picha !
Acha upumbavu,kwani umeambiwa Kuna aliyefariki?mchawi mkubwa weweMay their souls RIP 🙏