Pwani: Mashabiki wa Simba kutoka Mbeya, Wapata ajali Vigwaza!

Pwani: Mashabiki wa Simba kutoka Mbeya, Wapata ajali Vigwaza!

Mie nawazaga hivi Hawa mashabiki wanalipwaga Bei gani. Yaani mie nipoteze muda kumtizama mwanaume mwenzangu anafanya kazi yake.
Mfano hapo Kuna hao jamaa wa Simba watawasaidia ama inakuwaje Ni sawa na mlevi wa pombe,sigara,ngono,cocaine and heroin
 
Kulikuwa na haja gani ya kutoka Mbeya hadi Dar kisa mpira wa dk 90.

Unawaacha watoto yatima.
Nguvu kazi ya Taifa inapotea.

AKILI
Watu wanatoka Europe. Wanalipa mamilion kuja kutazama nyumbu, simba , Tembo hapo Serengeti

Wewe unadhani kwenye tv hawawaoni au hakuna picha zao huko

Kila mtu kuna kitu anapenda acha kubeza na kuona mashabiki waliokufa wamekufa kwa mambo ya kijanga

Wewe ndo mjinga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom