Pwani: Mtambo wa kuvuna maji lita milioni moja kwa Saa, wakamatwa katika chanzo cha maji cha mto Ruvu

Ameanza leo kuvuta hayo maji?
 
I see a hustler here damn maji yote hayo anamwagilia nn ? Tumekaa zetu mjini tu white collar jobs tunachomekea na kinyonga tai tunashindia maji lita moja na nusu tu af muhuni yuko zake chobingo huko anafanya yaje
 
Inavyo onekana, mfumo wetu wa kusimamia taratibu za mabonde haukuwa unafanya kazi (hadi kusubiri matamko ya Waziri/Rais) hivyo; natamani mchina wa watu asikaushiwe mazao yaliyopo shambani ila awekewe utaratibu wa kumsaidia aweze kuivisha na kuvuna kile kilichopo shambani tayari... Kilimo ni kigumu sana jamani
 
Yan viongozi tulio nao sio kabisa. Ni bendera fata upepo, ukilima shida, ukivuna shida, ukiuza mazao yako pia shida, kila kitu probleme
Wanakera sana
Hapo wanataka kuaminisha watu kuwa huyo jamaa ndio chanzo cha yote. Mtu kashapambana kitaluni huko kaleta miche shambani hatia ya kuhudumia miche anakuja mtu kumkwamisha
 
Movie Kama movie zingine tu
 
Hawa si ndio wawekezaji mliowaita waje kuwekeza

Sasa kosa lake lipo wap kama amewekeza kwenye kilimo cha umwagiliaji then mnamkata?

Bongo kweli nyoso
 
Si analipa kodi lakini kwahiyo tuwaambia wawekezaji huku hata kilimo cha kumwagilia ni mtihanii
 
Anakamatwa ili iwaje huyo si muwekezaji? Acha aendelee kuwekeza mazao yasije kukauka
 
tulikubaliana tusiwabughudhi wawekezaji au mm ndo nimesahau!!Tena tukasema Sasa Tanzania ni mahala salama kwa wawekezaji !!! sijui lini hapakuwa salama!!!!shwain kqbisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…