Pwani: Mtambo wa kuvuna maji lita milioni moja kwa Saa, wakamatwa katika chanzo cha maji cha mto Ruvu


 
Si mnasema mama yenu anaupiga mwingi...ndio huu sasa....
Eti anafungua nchi....kichekesho cha mwaka...
Uongozi si mchezo.
We miss you kiongozi shupavu JPM..R.I.E.P
Umetuachia majanga huku
 
 
Kuna mmoja kasema ng'ombe za wafugaji zinasababisha uhaba wa maji. Sasa sijui anataka ng'ombe wasinywe maji?
JamiiForums mobile app
Eti anasema ng'ombe mmoja kwa siku anakunywa lita 400 za maji nikajiuliza sasa hao ng'ombe wameanza kunywa maji awamu hii ya sita ? Dah jamaa sijui wanauchukuliaje asee🤔
 
Unakuta ana heka 10 hapo zinakunywa maji tu
 
Hii ndio tunaita "give a dog a bad name and kill it"
Wanataka kutuaminisha huyo "mchina"ndio kaleta balaa la maji na umeme Nchini??
Hapa washenzi wanatengeneza Ajenda,Ili kutupoteza tusiwaangalie wanavyofanya madudu,
Leo Samia anakodisha watu kutoka bara kwenda Zenj kumshangilia,nimekuta watu kibao bandarini
 
Mkuu KEROZENE,
Methali ya kua uyaone ipo kwa ajili ya Watanzania tu maana kabla hujafa utakumbana na viroja vya viongozi wa Tanzania mpaka utapanuka moyo.
Baada ya Sinema ya Ng'ombe kunywa Lita 40 kubuma na kukosa watazamaji wamekuja na hii ya Mchina, na hapo aliyetoa kibali atawajibishwa kihunihuni ili kufumba macho mashabiki wajinga wanaounga mkono kila linalosemwa na viongozi bila kuchuja. Walipoleta la Ng'ombe kunywa Lita 40 nikajiuliza mwalimu wangu wa Agriculture alikuwa Kiazi aliponiambia kiwango kikubwa cha maji anayokunywa Ng'ombe kwa siku yanapatikana kwenye majani anayokula na akiwa na kiu anaongezea kiasi, lakini juzi tunaambiwa Ng'ombe wetu wanakunywa ndoo 2 kubwa za maji na wakati mwingine wakimaliza hizo mbili wanaomba tena. Wanatuona Mazuzu kwa vile wako kwenye nafasi ya kutumia vyombo vya habari kueneza uongo na wametunga sheria Kali ukitumia vyombo hivyo kuwapinga unakamatwa kwa uchochezi au sheria ya takwimu.
 
Nisiwe mnafiki.

Mchina anayesemekana amekamatwa akilima kilimo cha umwagiliaji Ruvu anastashili kupongezwa. Katutia aibu. Kimsingi sisi Watanzania tunastahili kuona aibu kwa mchina kutoka kwao kuja kulima mboga Ruvu.

Miaka ya nyuma Nyerere aliwahi kusema kosa pekee la wizi ambalo angeweza kumsamehe mtu ni pale ambapo mtu huyo angekamatwa kaiba mbolea ya samadi kutoka zizi la jirani yake.

Mamlaka za bonde la mto Ruvu zipo. Miaka yote hazikumuona mpaka leo ndio aje kutangazwa? Si ajabu zilimpa vibali. Alilima wazi wazi. Bila kificho. Mamlaka zione aibu.
Kila mara tunapiwa kelele na viongizi kuhusu umuhimu wa kilimo cha umwagiliaji.

Wanataka kilimo gani zaidi ya hicho anachotuonyesha mchina? Mchina anaweza kumaliza kweli na kusababisha maji ya Ruvu yapungue? Maji ni muhimu kama yalivyo mazao ya mboga mboga anayolima mchina.

Tumpongeze mchina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…