Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Wanawaza jinsi ya kuiba chaguzi tu, yaani muda huu wanahubiri 2025 twende na SSH? Wapi? Akienda alikoenda nanihii?Kuishauri serikali ya CCM n sawa na kupoteza muda wako buree mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanawaza jinsi ya kuiba chaguzi tu, yaani muda huu wanahubiri 2025 twende na SSH? Wapi? Akienda alikoenda nanihii?Kuishauri serikali ya CCM n sawa na kupoteza muda wako buree mkuu
Nitakuwa wa mwisho Kuamini Uigizaji huu ambao KEROZENE sioni Aibu na Siogopi kuuita kuwa ni wa Kipumbavu na Viongozi wa Tanzania wenye dhamana mbalimbali acheni kutufanya Watanzania ni Mataahira wakati nyie ndiyo Chanzo Kikuu hasa cha hii Changamoto ya Maji na hata ile ya Umeme pia.
Na mlivyo Wanafiki leo mnajifanya Kumkamata huyu Mwekezaji wa Kilimo wa Kichina kuwa anachepusha Maji mengi ( kama si yote ) ya Mto Ruvu ili Kumwagilia Mashamba yake halafu upande wa pili mkikaa Majukwaani mnahubiri Tanzania ni nchi ya Kilimo na mnawakaribisha Wakulima kuja Kuwekeza katika Sekta hiyo ( hii )
Hivi nyie Viongozi wenye dhamana ( hasa hii ya Sekta ya Maji ) mmeshajiuliza ni kwanini nchi zingine hazina Mito mingi wala Vyanzo vya Maji vya Kutosha, lakini hakuna Mgawo wa Maji, Uhaba wa Maji na bado Watu ( Wawekezaji Wakubwa ) tu Wanalima na nchi zao zinapiga Maendeleo na kutuacha Tanzania ambayo Wiki Mbili zijazo inasheherekea Miaka yake 60 ya Uhuru?
Mnavaa Suti huku mkiwa Mazuzu hasa!!
Si mnasema mama yenu anaupiga mwingi...ndio huu sasa....Nitakuwa wa mwisho Kuamini Uigizaji huu ambao KEROZENE sioni Aibu na Siogopi kuuita kuwa ni wa Kipumbavu na Viongozi wa Tanzania wenye dhamana mbalimbali acheni kutufanya Watanzania ni Mataahira wakati nyie ndiyo Chanzo Kikuu hasa cha hii Changamoto ya Maji na hata ile ya Umeme pia.
Na mlivyo Wanafiki leo mnajifanya Kumkamata huyu Mwekezaji wa Kilimo wa Kichina kuwa anachepusha Maji mengi ( kama si yote ) ya Mto Ruvu ili Kumwagilia Mashamba yake halafu upande wa pili mkikaa Majukwaani mnahubiri Tanzania ni nchi ya Kilimo na mnawakaribisha Wakulima kuja Kuwekeza katika Sekta hiyo ( hii )
Hivi nyie Viongozi wenye dhamana ( hasa hii ya Sekta ya Maji ) mmeshajiuliza ni kwanini nchi zingine hazina Mito mingi wala Vyanzo vya Maji vya Kutosha, lakini hakuna Mgawo wa Maji, Uhaba wa Maji na bado Watu ( Wawekezaji Wakubwa ) tu Wanalima na nchi zao zinapiga Maendeleo na kutuacha Tanzania ambayo Wiki Mbili zijazo inasheherekea Miaka yake 60 ya Uhuru?
Mnavaa Suti huku mkiwa Mazuzu hasa!!
#HABARI BODI ya Maji Bonde la Wami/Ruvu imemkamata mkulima mkubwa raia wa China anayefanya kilimo cha umwagiliaji Kijiji cha Kidogozelo Kitongoji cha Migudeni wilayani Chalinze akivuta Maji katika Mto Ruvu kwa kutumia mashine yenye uwezo wa kuvuta maji Lita milioni moja kwa saa.
Nipashe
Eti anasema ng'ombe mmoja kwa siku anakunywa lita 400 za maji nikajiuliza sasa hao ng'ombe wameanza kunywa maji awamu hii ya sita ? Dah jamaa sijui wanauchukuliaje asee🤔Kuna mmoja kasema ng'ombe za wafugaji zinasababisha uhaba wa maji. Sasa sijui anataka ng'ombe wasinywe maji?
JamiiForums mobile app
Matambiko yenyewe wanachaji milioni 15, umaskini juu ya umaskini!Sisi kama Taifa tumelaaniwa mahali,labda ni kule kuacha Matambiko ya Asili.
Huu upumbavu imezidi sasaNa ndiyo maana KEROZENE nawaita hao Viongozi ni Wapumbavu mno na sana tu Ndugu.
Unakuta ana heka 10 hapo zinakunywa maji tuMchina ameshaangushiwa jumba bovu huko[emoji1787]
Kwamba ana shamba la mbogamboga ambalo pampu ikifunguliwa linasababisha mgao wa maji Dar es salaam mzima.
Lita milioni moja Kwa saa,hiyo mashine akiifungulia si inasababisha mafuriko shambani!!?[emoji1787]
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Hii ndio tunaita "give a dog a bad name and kill it"#HABARI BODI ya Maji Bonde la Wami/Ruvu imemkamata mkulima mkubwa raia wa China anayefanya kilimo cha umwagiliaji Kijiji cha Kidogozelo Kitongoji cha Migudeni wilayani Chalinze akivuta Maji katika Mto Ruvu kwa kutumia mashine yenye uwezo wa kuvuta maji Lita milioni moja kwa saa.
Nipashe
Mkuu KEROZENE,Nitakuwa wa mwisho Kuamini Uigizaji huu ambao KEROZENE sioni Aibu na Siogopi kuuita kuwa ni wa Kipumbavu na Viongozi wa Tanzania wenye dhamana mbalimbali acheni kutufanya Watanzania ni Mataahira wakati nyie ndiyo Chanzo Kikuu hasa cha hii Changamoto ya Maji na hata ile ya Umeme pia.