Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,273
- 13,567
hahahahahMCHINA AKAMATWA AKILIMA RUVU
hicho kichwa cha habari😜😜😜
🤣🤣 shamba linakunywa maji mpaka chainizi na mchicha vinaomba pooUnakuta ana heka 10 hapo zinakunywa maji tu
Lita milioni moja kwa saa!tatizo hii nchi hata uongo hawajui kuutunga.Wanataka kudanganya kuwa ukosefu wa maji kasababisha yeye?
Walikuwa hawajui?
Kwa mujibu wa ulichoandika, Washenzi ni Wachina na wanaokosea ni Serekali. Hebu soma tena ulichoandika!. Hata kukakaa kimya nayo pia ni post. Watanzania bado tuna safari ndefu zaidi ya tunavyodhani.Hao washenzi wanatakiwa warudishwe kwao serikali inakosea sana kuwaruhusu kujazana hapa kwetu.
Vinatapika maji🤣🤣 shamba linakunywa maji mpaka chainizi na mchicha vinaomba poo
Huyo waziri ndio waziri wa hovyo kuwahi kutokea akichuana na waziri wa afya..#HABARI BODI ya Maji Bonde la Wami/Ruvu imemkamata mkulima mkubwa raia wa China anayefanya kilimo cha umwagiliaji Kijiji cha Kidogozelo Kitongoji cha Migudeni wilayani Chalinze akivuta Maji katika Mto Ruvu kwa kutumia mashine yenye uwezo wa kuvuta maji Lita milioni moja kwa saa.
Nipashe
Huyu Kasesera si alipigwa chini?
1M litres/hr ndiyo uwezo wa mashine.
Je yeye anatumia maji Lita ngapi kwa siku?
Umeandika nini hapo maana sijaelewa kabisaIpo Sheria ya Bonde la Ruvu na matumizi ya maji kama ana vibari amepona kama ana Vibari amepotea kama mwana Nzilaha
Hahaha! Wanajua sisi ni matahira labdaLita milioni moja kwa saa!tatizo hii nchi hata uongo hawajui kuutunga.
Kama bichwa limejaa kinyesi huwezi kuelewa tafuta utachokielewa usipoteze muda wako.Kwa mujibu wa ulichoandika, Washenzi ni Wachina na wanaokosea ni Serekali. Hebu soma tena ulichoandika!. Hata kukakaa kimya nayo pia ni post. Watanzania bado tuna safari ndefu zaidi ya tunavyodhani.
Matambiko ni ghali Ndugu,unakumbuka Wamasai walivyokuwa wanapandisha Ng'ombe mia na zaidi kwenye Mlima Oldonyo lengaiMatambiko yenyewe wanachaji milioni 15, umaskini juu ya umaskini!