Pwani: Mtambo wa kuvuna maji lita milioni moja kwa Saa, wakamatwa katika chanzo cha maji cha mto Ruvu

Pwani: Mtambo wa kuvuna maji lita milioni moja kwa Saa, wakamatwa katika chanzo cha maji cha mto Ruvu

Mm nampongeza Mchina na namkabidhi binti yangu bikra kama bonus ya kazi yake ya kilimo.
Ametuonesha kuwa kilimo ni uti wa mgongo,sio sisi wabongo wengi tunadhani kilimo ni kwa wale chokambaya na wasio na elimu.
 
Hii ni propaganda dhaifu ya maCCM kutafuta excuse baada ya kushindwa kitu kidogo sana cha kuwapatia wananchi maji ndani ya miaka 60 ya uhuru.

MaCCM yalisema kuwa wananchi hawahitaji katiba bali wanahitaji maji na umeme.Hayo maji na umeme viko wapi sasa?
 
Nilidhani serikali inahimiza kilimo cha umwagiliaji. Wampe Mchina zawadi
 
Sio fair kabisa,,,,, mnanyanyasa sana wageni, kwani shida iko wapi hapo? Au ndio gia za kumpiga hela eti maana ndiyo zenu,,,Mtu anajitafutia riziki yake ajikimu na familia yake na asomeshe watoto, huko alikotoka maisha yamempiga akajionea aje bongo,,, mpumbavu mmoja anaelipwa mamilioni per month na marupurupu anaenda kumuondoa huyu masikini. Aise ninyi viongozi msipojirekebisha na kumuogopa Mungu mtaishia kufa vifo vibaya sana.
 
Hao washenzi wanatakiwa warudishwe kwao serikali inakosea sana kuwaruhusu kujazana hapa kwetu.
Kwa mujibu wa ulichoandika, Washenzi ni Wachina na wanaokosea ni Serekali. Hebu soma tena ulichoandika!. Hata kukakaa kimya nayo pia ni post. Watanzania bado tuna safari ndefu zaidi ya tunavyodhani.
 
#HABARI BODI ya Maji Bonde la Wami/Ruvu imemkamata mkulima mkubwa raia wa China anayefanya kilimo cha umwagiliaji Kijiji cha Kidogozelo Kitongoji cha Migudeni wilayani Chalinze akivuta Maji katika Mto Ruvu kwa kutumia mashine yenye uwezo wa kuvuta maji Lita milioni moja kwa saa.

Nipashe
Huyo waziri ndio waziri wa hovyo kuwahi kutokea akichuana na waziri wa afya..
 
1M litres/hr ndiyo uwezo wa mashine.

Je yeye anatumia maji Lita ngapi kwa siku?

Sawa na kumkamata raia na kumtuhumu kuendesha chombo speed 260 kisa ndio kinachoonekana kwenye odometer kama mwendo wa juu kabisa chombo kinaweza kwenda. Wakati huo jamaa anatembea mwendo wa 70km/ h
 
Kwa mujibu wa ulichoandika, Washenzi ni Wachina na wanaokosea ni Serekali. Hebu soma tena ulichoandika!. Hata kukakaa kimya nayo pia ni post. Watanzania bado tuna safari ndefu zaidi ya tunavyodhani.
Kama bichwa limejaa kinyesi huwezi kuelewa tafuta utachokielewa usipoteze muda wako.
 
Matambiko yenyewe wanachaji milioni 15, umaskini juu ya umaskini!
Matambiko ni ghali Ndugu,unakumbuka Wamasai walivyokuwa wanapandisha Ng'ombe mia na zaidi kwenye Mlima Oldonyo lengai

Sasa piga hesabu fanya kila Ng'ombe shiling milioni.
 
Back
Top Bottom