Q-Net na Forever Living zimenipotezea marafiki zangu wa karibu

Kuna dem amenitafuta sana wiki ya pili hii simjui ila anapiga simu anasema tuonane kuna ishu ya maana tukajadili lakini hasemi ni nini.sasa namvutia upepo tu amesema weekend hii tukutane makumbusho.ila nazani ni mhizi mambo
Afu kutumika kwa mabinti kwenye hizi business ni mchezo wao, mana kuna binti mmoja alinichomesha nauli toka kimanga tabata hadi makumbusho kwenye kale kagorofa ka stendi kwenda kuniambia huo utumbo. Pumbavu kabisa.
 
Kwenye RED unauhakika gani kuwa hao noi vijana wa CHUO, maana mtu yeyote aweza kujitambulisha kuwa ni kijana wa CHUO wakati SIYO!
Wakati nipo chuo 2014 kuna bahadhi ya wanachuo wenzangu jamaa zangu kabisa walijiunga forever living na waliunganishwa na bahadhi ya assistant lecturer, ambao siku moja walinialika kwenye semina yao.
 
Chunguza mkuu usije jutia hizo laki 6 kwa usawa huu buku tu ikikupotea inakuharibu atmosphere ya mind yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wanaitaji pesa nyingi za haraka ndio maana hata beting imekuwa kazi kama kazi zingine
Bosi wetu karibu anastaafu halafu naye kanasa Kwa Hawa wajinga na inaonekana wanaendelea kumla tu.Sasa Bosi naye kashawishi watu wake wa Jirani ofisini wawili mmoja kanasa mwingine watu walimtonya mapema kwamba utapotea.Sasa hapa watu wanamwambia Yule aliyetonywa kuwa akamstue Bosi kuwa anaibiwa,naye anaogopa jinsi ya kumfikia Bosi na kumuelezea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watamla hadi pension na hiki kikokotoo kipya na report ya CAG inavyovuruga watu,
 
Ila mbwembwe ndo wanazo jamani.Ni balaaa.Nikikumbuka nacheka peke yng.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si tofautishi issue hizi na 'kamari' ! Unagawa ela zako na muda wako bure kabisa ili wengine wajifunze makosa kwako. Too bad!!
 
Kwenye RED unauhakika gani kuwa hao noi vijana wa CHUO, maana mtu yeyote aweza kujitambulisha kuwa ni kijana wa CHUO wakati SIYO!
Vijana wa vyuo vikuu ndio wengi mimi mwaka huu kuna mtu aliita nikafika mikocheni mchana eti salam GOOMORNING nikajua nishakiingia, nilikasirika sana that day hadi leo simu yangu haioni na yeye hanitafuti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…